Mtwara: Maafisa Saba(7) wa Polisi wafikishwa Mahakamani kwa tuhuma za mauaji ya Kijana aliyekuwa akiwadai zaidi ya Tsh milioni 33.7

Mtwara: Maafisa Saba(7) wa Polisi wafikishwa Mahakamani kwa tuhuma za mauaji ya Kijana aliyekuwa akiwadai zaidi ya Tsh milioni 33.7

With all my respect kwako mkuu,chanzo chako ni gazeti hili la chooni!!!!gazeti hili nililiona ni uchafu lilipokoma kuandika to press watawala waseme ukweli mwandishi wao Azory Gwanda yupo wapi,na hadi leo gazeti hili limeshamsahau pamoja na familia yake!ohooo lipo wapi gazeti la Mfanyakazi, motomoto, Rai(sio uchafu huu wa sasa)Family mirror?
Pinga kwa akili basi habari iliyoandikwa.

Kutolipenda gazeti hilo ni tatizo lako binafsi.
 
With all my respect kwako mkuu, chanzo chako ni gazeti hili la chooni!!!!gazeti hili nililiona ni uchafu lilipokoma kuandika to press watawala waseme ukweli mwandishi wao Azory Gwanda yupo wapi, na hadi leo gazeti hili limeshamsahau pamoja na familia yake!ohooo lipo wapi gazeti la Mfanyakazi,motomoto,Rai(sio uchafu huu wa sasa) Family mirror?
Yaani wewe mmoja ndio utushawishi ati tulione gazeti pendwa kuwa ni uchafu? Kaaaazi kwelikweli.
 
Shocking askari zaidi ya saba kufanya uhalifu bila other chain of command kujua, vyombo vingine kuto detect na kuzuia tena yakitokea na kuanzia kwenye kuta za chombo muhimu kiusalama! Upo umuhimu CID itolewe Polisi iunde kitu kama FBI itaongeza kidogo check and balance.
 
With all my respect kwako mkuu, chanzo chako ni gazeti hili la chooni!!!!gazeti hili nililiona ni uchafu lilipokoma kuandika to press watawala waseme ukweli mwandishi wao Azory Gwanda yupo wapi,na hadi leo gazeti hili limeshamsahau pamoja na familia yake!ohooo lipo wapi gazeti la Mfanyakazi, motomoto, Rai (sio uchafu huu wa sasa)Family mirror?
Mbona uko nje ya mada mzee

Ova
 
Certified criminals hao

Ova
 
Inasikitisha sana.

Kazi ya Jeshi la Polisi ni KULINDA RAIA na MALI ZAO. Huyu Mtu kaporwa Mil.70 na kisha Akauawa na Askari

Kwanini Mzee Sirro Usiwajibike kwa MAOVU ya VIJANA WAKO?

View attachment 2094725
Sidhani hata kama Mwaka umepita toka suala la Hamza wa Daraja la Salenda na Polisi halijaisha, tunasikia tena suala la Polisi na issue ya Madini na Uuaji? Haya yatokeayo si kwa bahati mbaya, ila ni mtandao wa kujipatia mali kwa kutumia nguvu uliojengeka ktk Jeshi letu la Polisi kwa mtazamo wangu.

Kwa mantiki hiyo, nadhani hii sio kwa bahati mbaya, bali nao wanafanya hivyo kwa kuiga namna kundi fulani linavyojipatia mali kutokana na nafasi zao walizo nalo. Kama Nchi, lazima tufahamu kuwa tuendako si salama, na kwa wanausalama wetu (Polisi) kuna shida kwa sasa.

Liongelewe wazi na hatua zichukuliwe haraka.
 
Inasikitisha sana.

Kazi ya Jeshi la Polisi ni KULINDA RAIA na MALI ZAO. Huyu Mtu kaporwa Mil.70 na kisha Akauawa na Askari

Kwanini Mzee Sirro Usiwajibike kwa MAOVU ya VIJANA WAKO?

View attachment 2094725

8079F9FB-8B42-42AD-AB2E-B6A743B603CB.jpeg
 
Sidhani hata kama Mwaka umepita toka suala la Hamza wa Daraja la Salenda na Polisi halijaisha, tunasikia tena suala la Polisi na issue ya Madini na Uuaji? Haya yatokeayo si kwa bahati mbaya, ila ni mtandao wa kujipatia mali kwa kutumia nguvu uliojengeka ktk Jeshi letu la Polisi kwa mtazamo wangu.

Kwa mantiki hiyo, nadhani hii sio kwa bahati mbaya, bali nao wanafanya hivyo kwa kuiga namna kundi fulani linavyojipatia mali kutokana na nafasi zao walizo nalo. Kama Nchi, lazima tufahamu kuwa tuendako si salama, na kwa wanausalama wetu (Polisi) kuna shida kwa sasa. Liongelewe wazi na hatua zichukuliwe haraka.

Hii ni hatari sana kwa usalama wa nchi na mali zao. Kwa mtaji huu, maendeleo tutayasikilizia Bibi-sea ama tu luninga yetu ya ^6-A Tea-V!^
 
With all my respect kwako mkuu, chanzo chako ni gazeti hili la chooni!!!!gazeti hili nililiona ni uchafu lilipokoma kuandika to press watawala waseme ukweli mwandishi wao Azory Gwanda yupo wapi,na hadi leo gazeti hili limeshamsahau pamoja na familia yake!ohooo lipo wapi gazeti la Mfanyakazi, motomoto, Rai (sio uchafu huu wa sasa)Family mirror?
Polisi wengi ni majambazi wendy unifomu
 
Inasikitisha sana.

Kazi ya Jeshi la Polisi ni KULINDA RAIA na MALI ZAO. Huyu Mtu kaporwa Mil.70 na kisha Akauawa na Askari

Kwanini Mzee Sirro Usiwajibike kwa MAOVU ya VIJANA WAKO?

View attachment 2094725
Polisi wetu wamekuwa vibaka na majambazi kwa mda mrefu sana.

Serikali ya CCM inayajua haya ila inayanyamazia kwa sababu polisi ni washirika wao wakubwa kisiasa, angalia jinsi viongozi wakubwa wa polisi wanavyopangana mahakamani kutoa ushahidi wa uongo kesi ya mbowe na wenzake!
 
Inasikitisha sana.

Kazi ya Jeshi la Polisi ni KULINDA RAIA na MALI ZAO. Huyu Mtu kaporwa Mil.70 na kisha Akauawa na Askari

Kwanini Mzee Sirro Usiwajibike kwa MAOVU ya VIJANA WAKO?

View attachment 2094725
Policeccm ni wauaji wakubwa,vifo vingi vimetokea kuanzia 2015 chini ya meko,yani police walipewa nguvu kubwa sana mana jpm alikua anawategemea kutawala...angalia maiti za viroba,lwajabe,ben saanane,kanguye hatukuwahi kusikia ccm wakilalamikia mauaji haya....wameua sana kwa baraka za watawala ccm
 
Polisi wengi ni majambazi wendy unifomu
Ndani ya mada ila kwa upande wa pili wa coin,unaleta mada hapa chanzo chake ni gazeti la Mwananchi!habari za kutoka gazeti hili always ninazuchukulia with a pich of salt!hazina ukweli na nyingi ni za kinafiki.
 
... TPF kwa sasa ndio wazalishaji wakubwa wa magenge hatari kwa usalama wa wananchi na mali zao! In short mahali wanakopatikana majitu yasiyo na maadili kabisa kwa sasa ni ndani ya TPF.

Wanaopiga kelele TPF inatakiwa kufumuliwa na kuundwa upya wana hoja nzito sana. Who oversees TPF performance? Hili swali ni muhimu sana kipindi hiki kuliko wakati mwingine wowote.
 
Ndani ya mada ila kwa upande wa pili wa coin,unaleta mada hapa chanzo chake ni gazeti la Mwananchi!habari za kutoka gazeti hili always ninazuchukulia with a pich of salt!hazina ukweli na nyingi ni za kinafiki.
Leta gazeti lako unalodhani ndiyo yenye habari za kweli. Kama Uhuru iliwahi kutuhumiwa, sijui unamaanisha lipi ?!
 
Back
Top Bottom