masopakyindi
Platinum Member
- Jul 5, 2011
- 18,207
- 13,839
Pinga kwa akili basi habari iliyoandikwa.With all my respect kwako mkuu,chanzo chako ni gazeti hili la chooni!!!!gazeti hili nililiona ni uchafu lilipokoma kuandika to press watawala waseme ukweli mwandishi wao Azory Gwanda yupo wapi,na hadi leo gazeti hili limeshamsahau pamoja na familia yake!ohooo lipo wapi gazeti la Mfanyakazi, motomoto, Rai(sio uchafu huu wa sasa)Family mirror?
Kutolipenda gazeti hilo ni tatizo lako binafsi.