Webabu
JF-Expert Member
- Apr 29, 2010
- 8,870
- 14,258
Baada ya mashambulizi makubwa hapo jana yaliyofanywa Lebanon na jeshi La Israel kwenye maeneo IDF iliyosema ni zaidi ya 1300.
Muda huu Hizbullah wanarusha mvua ya maroketi kuelekea vituo vya kijeshi vya Israel.
Kwa mujibu wa matangazo hayo ya moja kwa moja makombora mawili kati ya hayo yameangukia baharini uwelekeo zilipo meli za kivita za Marekani kwenye bahari ya Mediterranean.
Waziri wa mambo ya nje ya China amesema taifa lake liko pamoja na Lebanon katika kulinda heshima yake.
Kwa upande wa Uturuki japo vita vimeanza rasimi na kuua watu karibu 500 bado inatoa tahadhari kuwa vita hivi vinatishia kuliingiza eneo zima la mashariki ya kati katika vita vipana z aidi.