min -me
JF-Expert Member
- Jul 20, 2022
- 23,322
- 64,738
Hiyo miji ni ya wapalestina na dunia nzima inajuaHivi kuna taifa duniani litakubali miji yake irushiwe maroketi ? Kuna dini zinafuga haya makundi ya kigaidi kwenda kuichokoza israel
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hiyo miji ni ya wapalestina na dunia nzima inajuaHivi kuna taifa duniani litakubali miji yake irushiwe maroketi ? Kuna dini zinafuga haya makundi ya kigaidi kwenda kuichokoza israel
Hizi ndio picha na video?
Video na picha tinazoziona wala hazipigwa na Aljazerr wala bbc, bali zinachukuliwa na raia wa kawaida tu wenye smart phone.Swali zuri sana, Juzi tumeshuhudia jeshi la Israel wakivamia kituo cha habari cha Aljazeer kilichoko Haifa ili wasitoe habari zinazowasibu Israel baada ya kichapo kutoka kwa Lebanon, waliwapa dakika 10 tu kukunja mambo yao na kituo kimefungwa sasa unategemea habari zitapenya kutoka wapi
Israel hutrack raia wanapiga picha vipigo vyaoVideo na picha tinazoziona wala hazipigwa na Aljazerr wala bbc, bali zinachukuliwa na raia wa kawaida tu wenye smart phone.
Siku hizi hata ujitahidi vipi huwezi kuzuia watu kuchukua video na picha
Endelea kusubili jibuIsrael akipiga tunaona video na picha!
Nyie video na picha ziko wapi?
Hii habari ingesomeka hivi Kwa kiswahili.
Hapana dunia kubwa sana mkuu sema tu mabepari na radicals siioni burundi ,na uganda kwa huu muktadhautani utani vita itazagaa sio mashariki ya kati ni duniani maana itaongeza mzuka kwa Urusi kumchapa Ukraine, mwisho wa siku wote tunajikuta tuna hangaika
China amewataka raia wake waondoke haraka Israeli,Kwa Nini hakuwataka waondoke Lebanon?,kipi anachikijua kitakachofatia Israeli?Sio China tu ,mimi pamoja na familia yangu tupo pamoja na hezbollah.
Nakubaliana na wewe kwamba Israel hawana namna kubana taarifa kule kufunga kituo it is good for nothing wanahangaika tu, habari tunazoVideo na picha tinazoziona wala hazipigwa na Aljazerr wala bbc, bali zinachukuliwa na raia wa kawaida tu wenye smart phone.
Siku hizi hata ujitahidi vipi huwezi kuzuia watu kuchukua video na picha
Yan hawa Israel wa mchongo wabondwe tu😁China amewataka raia wake waondoke haraka Israeli,Kwa Nini hakuwataka waondoke Lebanon?,kipi anachikijua kitakachofatia Israeli?
Ile vita Kule mda flani ni Kama maigizo hivi, Hezbollah wananikosha,ndege zikondoka kwenda kushambulia,zikirudi zinakuta ule uwanja ushabomolewa wanaenda kutua syprus Kwa dharula🤣🤣🤣
"Hizbollah imefanya mashambulizi kadhaa ya maroketi SIKU MOJA BAADA YA SHAMBULIZI LA ISRAEL".Hii habari ingesomeka hivi Kwa kiswahili.
Hezbollah imerusha makombora kadhaa kuelekea Mashariki mwa Israel, siku moja baada ya Israel kufanya mashambulizi ya anga kulenga kundi hilo la kijeshi ndani ya Lebanon na kuua karibia watu 500 na kujeruhi wengine 1600 -shambulio kubwa zaidi kufanywa nchini (Lebanon)humo kwa siku moja kwa miongo miwili Sasa.
Wewe mwenzetu umetafsirije kwani?
Maana ilikuwaje ulitafsiri kama Israel ndiyo wameshambuliwa?
Nimekupa taarifa mbadala wa picha na video.Hizi ndio picha na video?
Source zingine si hizo zimeletwa??Leta source yako. Tunajua Al Jazeera wamefungiwa. Lakini lakini Bado wanapata taarifa za Israel.
Huwa nakusisitiza usisahau kunywa supu ukate kilevi.Hivi kuna taifa duniani litakubali miji yake irushiwe maroketi ? Kuna dini zinafuga haya makundi ya kigaidi kwenda kuichokoza israel
Dunia ipi inajua kwa sababu taifa la palestina halijawahi kuwepo? Hata kwenye qoroanHiyo miji ni ya wapalestina na dunia nzima inajua
Hizi stori mnazodanganyana madrasa kila lawama mumtupie marekani hata wewe ukiacha na mkewe umlaumu marekaniHuwa nakusisitiza usisahau kunywa supu ukate kilevi.
Kama isingekua uvamizi wa USA na Israel hapo mashariki ya kati basi hivyo vikundi visingekuwepo.
Na kuna siku nilikuuliza unajua kitu kinaitwa DAMASCUS CRISIS 1958!??
Unajua nani alihusika??
Shida JF imejaa mashudu ya mahindi kama wewe mnaondoa ladha ya majadiliano.
basi duniani mtakuwa mmebaki viumbe ambao hamna akili hata punje!.. hakuna vita ya dunia sasahivi acheni kuamini hicho kitu na akitokea yoyote akaashiria kutaka vita ya dunia itokee nikuhakikishie tu huyo mtu ataondoshwa haraka sana na utashangaa!utani utani vita itazagaa sio mashariki ya kati ni duniani maana itaongeza mzuka kwa Urusi kumchapa Ukraine, mwisho wa siku wote tunajikuta tuna hangaika
Nilitegemea hili jibu kwasababu huna hoja we ni mashudu ya mahindi.Hizi stori mnazodanganyana madrasa kila lawama mumtupie marekani hata wewe ukiacha na mkewe umlaumu marekani
Baada ya mashambulizi makubwa hapo jana yaliyofanywa Lebanon na jeshi La Israel kwenye maeneo IDF iliyosema ni zaidi ya 1300.
Muda huu Hizbullah wanarusha mvua ya maroketi kuelekea vituo vya kijeshi vya Israel.
Kwa mujibu wa matangazo hayo ya moja kwa moja makombora mawili kati ya hayo yameangukia baharini uwelekeo zilipo meli za kivita za Marekani kwenye bahari ya Mediterranean.
Waziri wa mambo ya nje ya China amesema taifa lake liko pamoja na Lebanon katika kulinda heshima yake.
Kwa upande wa Uturuki japo vita vimeanza rasimi na kuua watu karibu 500 bado inatoa tahadhari kuwa vita hivi vinatishia kuliingiza eneo zima la mashariki ya kati katika vita vipana z aidi.
Israel attacks Lebanon live: Hezbollah fires missiles at Israeli airbases