Muda huu Hizbullah yazichakaza airbases za Israel. China yasema ipo pamoja na Lebanon kujilinda

Muda huu Hizbullah yazichakaza airbases za Israel. China yasema ipo pamoja na Lebanon kujilinda

Kambi ipi ya Israel ilishambuliwa? Weka ushahidi
Kambi ya Haifa ililipuliwa jumapili.
Japo taarifa za shambulio la jana hazijatoka kikamilifu kwasababu Israel imepiga marufuku vyombo vya habari kuripoti kuanzia jumapili.
Picha ya jumapili hii hapa.
Screenshot_2024-09-23-12-23-36-80_40deb401b9ffe8e1df2f1cc5ba480b12.jpg
 
Kwahiyo raia wa Israel anayezuiwa na serikali yake kusambaza madhara ya makombora kwa vitisho unadhani atafanya hivyo?

Ukiona Mazayuni yanakiri madhara fulani basi zidisha mara kumi ndiyo madhara halisi kwasababu ni kawaida kwa mataifa ya mashog,a kuendekeza propaganda kuliko uhalisia.
Lini serekali ya Israel imezuia watu kupiga picha au kuchukuwa video.
 
Kwahio Kambi za kijeshi za Israeli zimechakaa tayari!
 
Kambi ya Haifa ililipuliwa jumapili.
Japo taarifa za shambulio la jana hazijatoka kikamilifu kwasababu Israel imepiga marufuku vyombo vya habari kuripoti kuanzia jumapili.
Picha ya jumapili hii hapa.View attachment 3105310
Umenijibu tofauti na huyo jamaa niliemuuliza hilo swali, sikatai kuwa kambi za jeshi zinaweza kushambuliwa, nimemwambia aweke ushahidi wa kambi za Israel zilizoshambuliwa baada ya Iran kurusha makombora kama alivodai
 
basi duniani mtakuwa mmebaki viumbe ambao hamna akili hata punje!.. hakuna vita ya dunia sasahivi acheni kuamini hicho kitu na akitokea yoyote akaashiria kutaka vita ya dunia itokee nikuhakikishie tu huyo mtu ataondoshwa haraka sana na utashangaa!
sawa mwana familia wa kiongozi wa dunia
 
In Safed, she said, “stores are empty, there’s no tourism, no business, and no events.”

Hezbollah, she said, had destroyed hundreds of trees in the Birya Forest outside Safed, so “nobody is visiting.”

“Most people live in stress and worry,” Shababo said. “My blood pressure goes up every time I hear a siren.”

She said that during the Second Lebanon War in 2006, her son’s house in Safed was hit directly by a Hezbollah Katyusha rocket.

“If he hadn’t been in his bomb shelter, he would have been killed.”
 
Israel na washirika wake wamejisahau sana hawajui kuwa Dunia imebadilika sana,Dhulma Kwa wapalestina ikiendelea na mataifa jirani kuishi Kwa shida na vitisho ikiwepo Iran Yemen Syria na Lebanon mataifa hayo nayeishi Kwa tabu na vikwazo vya Kila aina Toka Kwa washirika wa Israel nao wanatafuta pa kupumulia ndio haya yanayotokea Leo,Syria kapolwa ardhi yake Dunia kimya ila akirusha Bomu anaitwa gaidi ili kuhalalisha kupigwa kwake marekani watabeba makombora kumpelekea Israel akaue watu ndicho kinachofanyika sasa na chanzo Cha mgogoro kutanuka ni vita vya gaza Lebanon,Yemen wanamsapot ndugu yao anayeishi Kwa kufungwa mikono Wala hajulikani kama taifa hana jeshi Wala serikali ya kueleweka,Leo utasikia walowezi wanevunja majumba ya wapalestina kujenga makazi yao na wapalestina Saba wameuliwa Dunia kimya kama haipo nao wakipata makombora ya kienyeji kujitetea walau tuheshimiane huitwa magaidi na Dunia huwaacha kama wakorofi hawatakiwi kuishi na wengine huhalalisha kupigwa kwao ni suala la muda Leo tunaona palestina wanaweza kuunda makombora nyumbani na Iran,Lebanon Yemen huu ni mwanzo itafika wakati watatengeneza guided missile za kisasa ndipo tutaelewa lkn chanzo ni dhulma tunaiona na kujifanya hatuoni,zama za kupigana vichakani imepitwa tumebaki waafrika kwenye vita hizo sasa ni zama za makombora ukihitaji kusafisha ndio unatuma jeshi la ardhi na Israel hilo linamfikirisha kwasasa kuingia Lebanon na akithubutu Yemen na Syria Iraq atakutana nao nao wanasubiri hilo ili waanze kama aliweza kumpiga mpalestina huku kamfunga mikono asifikiri wote watamchekea Dunia imebadilika mno Israel iache dhulma dhidi ya palestina ili awe na amani UN waliwahi kutoa pendekezo ili kumaliza mgogoro huo,Israel inachofanya ni kuua hovyo mpaka wasiohusika hajui binadamu akifiwa na watu wake muhimu haoni thamani ya kuishi nae huona Bora afe sisi tulio na amani ukifiwa na mama huoni thamani ya kuishi unatamani kufa sembuse umeua familia ya mtu Bado uhisi ataogopa kufa Kisa umemtisha ananisumbua tu hata apige nyuklia pale Lebanon au gaza akamaliza wote Bado waliopo nje ya nchi zao watarudi na kulipiza kisasi kifupi amani ya Israel haitopatikana kama gaza ataendelea kufanya uonevu dhidi ya wapalestina,Muislamu hujengwa ndani yake kutokuipenda Dunia sana huishi hivyo wengine wenye kuipenda utawasikia wapigwe tu hao wapalestina mpaka wanyooshe mkono wakijisahau na wao Toka waseme hivyo hawana hata uhakika wa siku Moja mbele Israel itende haki na Dunia ikemee wanaopata shida watoto,wanawake na wazee ili Kila mmoja afurahie siku chache alibarikiwa kuishi haya ya Mimi Bora kuliko mwingine yaachwe.
 
Baada ya mashambulizi makubwa hapo jana yaliyofanywa Lebanon na jeshi La Israel kwenye maeneo IDF iliyosema ni zaidi ya 1300.

Muda huu Hizbullah wanarusha mvua ya maroketi kuelekea vituo vya kijeshi vya Israel.
Kwa mujibu wa matangazo hayo ya moja kwa moja makombora mawili kati ya hayo yameangukia baharini uwelekeo zilipo meli za kivita za Marekani kwenye bahari ya Mediterranean.

Waziri wa mambo ya nje ya China amesema taifa lake liko pamoja na Lebanon katika kulinda heshima yake.

Kwa upande wa Uturuki japo vita vimeanza rasimi na kuua watu karibu 500 bado inatoa tahadhari kuwa vita hivi vinatishia kuliingiza eneo zima la mashariki ya kati katika vita vipana z aidi.

Israel attacks Lebanon live: Hezbollah fires missiles at Israeli airbases

Basi Hizibulaa wataichakaza kabisa Israel, kumbe wanasaidiwa hadi na Wachina!
 
Nimetafuta wapi " Airbase" au ndege za Israel zimeshambuliwa na kuchakazwa, sijaona.
Ukiwa unatafuta kwa njia ya Google au Western media au badhi ya media za kiarabu huwezi kupata sababu media kama hi na CNN wanasema Hezbullah wamerudishwa miaka 20 ya nyuma kwa kipigo cha Israel 😄 vichekesho vitupu?

View: https://youtu.be/-HPUVjdqoR8?si=w3U43t_Rl1ifIQqi

Huko Israel kuna waka moto wanajiharia wanaogopa Hezbullah asipige kiwanda cha chemical akikilipua hicho ndio utaona watakavyo pupukutika

View: https://youtu.be/ElTK02UrLYw?si=AOfjgfuFEbuAEy8K
 
Lini serekali ya Israel imezuia watu kupiga picha au kuchukuwa video.
Fuatilia global issues utaelewa usisubiri kila kitu uhadithiwe.

Hujui kwamba at the first time Israel iliposhambuliwa na Iran walisema 99% ya makombora na drones zilidunguliwa kabla hazijatua kwenye ardhi ya Israel?

Baadae wakaja kusema 64% ya makombora na drones vilidunguliwa angani. Sasa huoni hapo kuna uongo na Iran alisema more than 80% ya drones na missiles vilipiga target na tulishuhudia vyuma vya Muajemi vikipepea juu kidogo ya paa la bunge la taifa la Israel.
 
Back
Top Bottom