Muda huu Hizbullah yazichakaza airbases za Israel. China yasema ipo pamoja na Lebanon kujilinda

Muda huu Hizbullah yazichakaza airbases za Israel. China yasema ipo pamoja na Lebanon kujilinda

Fuatilia global issues utaelewa usisubiri kila kitu uhadithiwe.

Hujui kwamba at the first time Israel iliposhambuliwa na Iran walisema 99% ya makombora na drones zilidunguliwa kabla hazijatua kwenye ardhi ya Israel?

Baadae wakaja kusema 64% ya makombora na drones vilidunguliwa angani. Sasa huoni hapo kuna uongo na Iran alisema more than 80% ya drones na missiles vilipiga target na tulishuhudia vyuma vya Muajemi vikipepea juu kidogo ya paa la bunge la taifa la Israel.
Ulishuhudia wewe na nani? Basi sawa kama ulishuhudia wewe ngoja tukuamini.
 
Propaganda ni nyingi sana ktk hii vita tunaloliona ni kulipamba IDF kwamba limeshambulia na limeuwa raia karibu 500 wa Lebanon lkn kwa upande mwengine tunaambiwa Hezbollah imefanya mashambulizi kwenye maakazi ya watu lkn tunaambia hakuna mtu aliyekufa. Hebu tufunguwe page ya bbcswahili tutashuhudia hili.
 
Nickson
Kwa taarifa yako tu Israel na IDF hairuhusu habari yoyote itoke/itangaze kuhusu vita na media yoyote itakayo kwenda kingumbe amri basi haitaruhusiwa kufanya ndani Israel na hili tunashuhudia Al Jazeera imefungiwa kufanya kazi ndani ya nchi
 
Lebanon mpaka muda huu anachapika kichapo cha mbwa koko....mamayeee anayepaprish vita Iran yuko pembeni akiangalia wanzie wakichakazwa[emoji1787][emoji1787]
 
Kwetu wapi mkuu..... waarabu tushawaonya hawana huwezo wa kubattle na Israel
SINTOSHANGAA HAWA WARABU SIKU WAKIMALIZWA MABOYA SANA HAWAWEZI AKILI KUBWA KAMA ISRAEL HAWA YULE MSENGE SIJUI ALLAH KAWAPOTOSHA
 
Baada ya mashambulizi makubwa hapo jana yaliyofanywa Lebanon na jeshi La Israel kwenye maeneo IDF iliyosema ni zaidi ya 1300.

Muda huu Hizbullah wanarusha mvua ya maroketi kuelekea vituo vya kijeshi vya Israel.
Kwa mujibu wa matangazo hayo ya moja kwa moja makombora mawili kati ya hayo yameangukia baharini uwelekeo zilipo meli za kivita za Marekani kwenye bahari ya Mediterranean.

Waziri wa mambo ya nje ya China amesema taifa lake liko pamoja na Lebanon katika kulinda heshima yake.

Kwa upande wa Uturuki japo vita vimeanza rasimi na kuua watu karibu 500 bado inatoa tahadhari kuwa vita hivi vinatishia kuliingiza eneo zima la mashariki ya kati katika vita vipana z aidi.

Israel attacks Lebanon live: Hezbollah fires missiles at Israeli airbases

udini mbaya sana sana
 
Lebanon mpaka muda huu anachapika kichapo cha mbwa koko....mamayeee anayepaprish vita Iran yuko pembeni akiangalia wanzie wakichakazwa[emoji1787][emoji1787]
Usichokijua kuanzia jumanne Hizbollah imekua inarusha maroketi Israel hadi leo hii siku tatu mfululizo.
Kwa hali kuonekana mbaya jana USA,UK na France wameomba kuwe na ceasefire ya wiki tatu kujadili amani ya kudumu.
Jiulize kwanini USA na washirika wameomba majadiliano ya ceasefire!?
 
Wametoma rocket nyingi lakini zimekua off target kutokana na IRONE DOME. israel wamtuma chache tu wamekufa 500 majerui 2000 na ushee
 
Back
Top Bottom