Muda huu Hizbullah yazichakaza airbases za Israel. China yasema ipo pamoja na Lebanon kujilinda

*Iran ameenda USA New York UN headquarters.
Hajaenda kwa ziara yake kwa USA hapana.UN ndio imempeleka mkuu.
Sasa unadhani italeta maana USA ingemzuia Iran kuhudhuria makao makuu ya UN!?
Mambo hayaendi kama mwanzo mkuu,safari hii USA na Israel wametema sana mabungo na athari zimeonekana.
*Anti-Semitism iliongezeka duniani kote dhidi ya Israel.
*Mataifa mengi yaligoma kuunda coalition na USA dhidi ya Yemeni pale red sea Baab Al mandib.
*Raia wa USA na UK wazungu asili yao waliandamana dhidi ya serikali zao kuikingia kifua Israel.
Hatua ilipofikia USA anaonekana anapoteza ushawishi duniani siku hadi siku.
Wapi nimesema kaenda ziara?
Hapo UN headquarters sio soil ya US?

Sawa waligoma, nini kimebadilika?
 
Wapi nimesema kaenda ziara?
Hapo UN headquarters sio soil ya US?

Sawa waligoma, nini kimebadilika?
Nilichomaanisha Iran kukanyaga US ni kwaajili ya UN tu.
Yamebadilika mengi sana mkuu.
Hivi wewe huyaoni kaka yaliyobadilika!?

Mkuu 🙏🙏🙏 leo inatosha nakukimbia supu ya kuku imeisha yote tumboni.
 
Kosugi hali ni mbaya sana kwa Israel, wameathiliwa pakubwa na mashambulizi ya hezbollah.
Cha kushangaza mbona hezbollah wanaomba intervention ya Iran?
Pia kuna wapiganaji elfu 40 toka Syria, iraq na Yemeni wameingia Golan kusapoti jamaa anae waangamiza Israel.
 
Nilichomaanisha Iran kukanyaga US ni kwaajili ya UN tu.
Yamebadilika mengi sana mkuu.
Hivi wewe huyaoni kaka yaliyobadilika!?

Mkuu 🙏🙏🙏 leo inatosha nakukimbia supu ya kuku imeisha yote tumboni.
😅
 
Kosugi hali ni mbaya sana kwa Israel, wameathiliwa pakubwa na mashambulizi ya hezbollah.
Cha kushangaza mbona hezbollah wanaomba intervention ya Iran?
Pia kuna wapiganaji elfu 40 toka Syria, iraq na Yemeni wameingia Golan kusapoti jamaa anae waangamiza Israel?
Kaka kila mtu anafahamu Hizbollah ni kikundi sio jeshi kamili.
Na kila mtu anafahamu Iran ndio mlezi wa Hizbollah.
Usisahau kaka USA juzi alipeleka number of troops hapo middle east.
Kitendo cha USA kupeleka troops kimewatetemesha.
 
Ni kwa vile umeomba kupumzika.
Hivi mbabe anaefanya maangamizi kwa adui yake, anamuonea sana, anapiga anapotaka, anaogopaje wasaidizi ambao wako nje ya uwanja?
 
Kuna Kamanda mwingine wa Hizbullah kaliwa kichwa jioni hii Hawa wajinga wasipokufa wote basi watakaobaki lazima wawe vichaa
 
Tangia juzi hadi leo Hizbollah bado anarusha maroketi tu non stop.
USA wameshapeleka resolution ya kuomba ceasefire kwanza Lebanon na baadae wajadili kuhusu Gaza.
 
Hiyo Resolution mtu wa kwanza kuiomba alikuwa Wazir mkuu wa Lebanon akafuatiwa na Qatar, Turkey, Egypt na Iran hao USA na France wamehitimisha tu.

Kurusha rocket sio tatizo Bali zina impact Gani? hizo rockets Hamas walishawahi kurusha mpaka 7000 kwa siku Leo hii kurusha Ile moja tu ni mbinde,

Kule Lebanon tunaona maghala ya silaha ya Hizbullah yanalipuliwa, tunaona wakuu wa vikosi wanakwenda na maji ila upande wa Israel unaona moto tu msituni, nyumba 2 zimebomolewa mara nguruwe wamekufa kiufupi hizo rockets hasara inayoleta ni ya kawaida mno ukilinganisha na upande wa pili.
 
Waziri wa Lebanon hakudai ceasefire alilaumu tu na kusema vita zisimame kuepusha raia kuumia.Ila hakukimbilia UN na kudai kwamba anaomba ceasefire.Hizo nchi ulizotaja hasa Qatar,Turkiye na Egypt toka mwaka jana walikua wanaomba kusitishwa kwa vita Gaza na hadi vikao waliweka Egypt.
Iran BIG NO HAKUWAHI KUDAI CEASEFIRE kama una ushahidi lete hapa ni kiongozi gani wa Iran aliomba ceasefire.

Hizbollah imekua inarusha maroketi na asilimia kubwa yamekua yakitua Galilaya na kuleta madhara.
Hivi umeshasahau kuwa Galilaya raia takriban laki tatu wamekimbia makazi yao!? Sasa toka juzi roketi zimekua zinarushwa kiasi iron dome imeelemewa.
Ndio jana USA,UK na France wakaomba resolution ya ceasefire ili kutuliza hali.Muwakilishi wa Lebanon alikubali na Israel ikasema wanachotaka wao Iran isiiunge mkono Hizbollah na Hizbollah isiungane na Hamas.
Iran ikajibu na kusema hata kama vita zikiendelea wataendelea kumuunga mkono Lebanon.

Kuuliwa kwa wakuu wa vikosi haikuanza leo.
Ilianza toka 1990s ila haijaleta manufaa yeyote.Hizbollah inachagua kamanda mwingine vita zinaendelea.
Je kuuliwa kwa hao makamanda kumezuia Hizbollah kurusha makombora!?
*Kama maghala ya silaha ndio yangekua yamelipuliwa tungeona maafa makubwa katika miji ya kusini ya Lebanon kuliko unavyodhani.Maana hizo silaha zote ni milipuko sasa nashangaa kusiwe na maafa makubwa.
Pili kama maghala ya silaha yangekua yanalipuliwa hivi hayo makombora ya kurusha siku tatu mfululizo Hizbollah anayatolea wapi!??
*Bora hata Ukraine tunaona ukweli,Russia ikilipua package ya silaha za Ukraine unaona Ukraine wakidai silaha mpya maana hawana zimelipuliwa.
Ila hizbollah hulioni hilo,sasa hayo maghala gani yanayolipuliwa??

Shukuruni Israel amezuia vyombo vya habari hadi vya nchi yake kuripoti.
Ila maafa yapo mengi tu huko Israel.
 
Kuna Kamanda mwingine wa Hizbullah kaliwa kichwa jioni hii Hawa wajinga wasipokufa wote basi watakaobaki lazima wawe vichaa
Screenshot_20240926-194324~2.png

Halafu unasikia wanamgambo wa JF wanadai Israeli anabondwa sana.
 
Waziri wa Lebanon hakudai ceasefire alilaumu tu na kusema vita zisimame kuepusha raia kuumia.Ila hakukimbilia UN na kudai kwamba anaomba ceasefire.Hizo nchi ulizotaja hasa Qatar,Turkiye na Egypt toka mwaka jana walikua wanaomba kusitishwa kwa vita Gaza na hadi vikao waliweka Egypt.
Iran BIG NO HAKUWAHI KUDAI CEASEFIRE kama una ushahidi lete hapa ni kiongozi gani wa Iran aliomba ceasefire.

Hizbollah imekua inarusha maroketi na asilimia kubwa yamekua yakitua Galilaya na kuleta madhara.
Hivi umeshasahau kuwa Galilaya raia takriban laki tatu wamekimbia makazi yao!? Sasa toka juzi roketi zimekua zinarushwa kiasi iron dome imeelemewa.
Ndio jana USA,UK na France wakaomba resolution ya ceasefire ili kutuliza hali.Muwakilishi wa Lebanon alikubali na Israel ikasema wanachotaka wao Iran isiiunge mkono Hizbollah na Hizbollah isiungane na Hamas.
Iran ikajibu na kusema hata kama vita zikiendelea wataendelea kumuunga mkono Lebanon.

Kuuliwa kwa wakuu wa vikosi haikuanza leo.
Ilianza toka 1990s ila haijaleta manufaa yeyote.Hizbollah inachagua kamanda mwingine vita zinaendelea.
Je kuuliwa kwa hao makamanda kumezuia Hizbollah kurusha makombora!?
*Kama maghala ya silaha ndio yangekua yamelipuliwa tungeona maafa makubwa katika miji ya kusini ya Lebanon kuliko unavyodhani.Maana hizo silaha zote ni milipuko sasa nashangaa kusiwe na maafa makubwa.
Pili kama maghala ya silaha yangekua yanalipuliwa hivi hayo makombora ya kurusha siku tatu mfululizo Hizbollah anayatolea wapi!??
*Bora hata Ukraine tunaona ukweli,Russia ikilipua package ya silaha za Ukraine unaona Ukraine wakidai silaha mpya maana hawana zimelipuliwa.
Ila hizbollah hulioni hilo,sasa hayo maghala gani yanayolipuliwa??

Shukuruni Israel amezuia vyombo vya habari hadi vya nchi yake kuripoti.
Ila maafa yapo mengi tu huko Israel.
Airaha za Hezbollah zinaingia kutoka Syria.
Screenshot_20240926-195057~2.png
 
Naunga mkono hoja kama Israel ingekua ndio anashambulia non stop sidhani kama wafadhili wake wangeenda UN kuomba ceasefire.
Ukiona hivyo jua kipigo kimewangia, Nadhani hata USA alimwambia Hezbollah sio Hamas ajiepushe na vita hii ila hakusikia sasa nadhani kaelewa nini alicho ambiwa baada ya kuona kila sehemu wanazifikia kambi zinapigwa viwanja vinashambuliwa kaona bora yaishe na zidhani kama atarudia tena,
Atarudi kwa wanyonge wake Hamas
 
Safi sana hizbollah kajitahidi kunifurahishajapo bado sijaridhika yeye anajua mjanja kuanza na air base na airports maana nguvu kubwa ya Israhell ni ndege zake zikarukie barabarani kagonga airbase za kutosha
Tuna ushahidi wa haya ustaadh?
 
Naunga mkono hoja kama Israel ingekua ndio anashambulia non stop sidhani kama wafadhili wake wangeenda UN kuomba ceasefire.
Ukiona hivyo jua kipigo kimewangia, Nadhani hata USA alimwambia Hezbollah sio Hamas ajiepushe na vita hii ila hakusikia sasa nadhani kaelewa nini alicho ambiwa baada ya kuona kila sehemu wanazifikia kambi zinapigwa viwanja vinashambuliwa kaona bora yaishe na zidhani kama atarudia tena,
Atarudi kwa wanyonge wake Hamas
Shida watu huwa hawafuatilii kwa kina.
Israel ikiwa on peak utaona USA akishadadia "Israel ina haki ya kujilinda".
Qatar,Egypt walipeleka mapendekezo kibao ya kusitisha vita ila UN ila USA alikua kinara akisema Israel ina haki ya kuendelea na operations zake,ila safari hii kaukwaa kwa Hizbollah jana fasta tuu USA na UK wanashawishi kuwepo na mapendekezo ya kusitisha mapigano.
Na sasa hivi waarabu hawatafuti ushindi wanatafuta wa kufa naye.
 
Sasa mkuu USA baada ya kupeleka hayo mapendekezo ya kusitisha vita hapo UNGA walipokelewaje kwenye hicho kikao
 
Back
Top Bottom