Kambi ya Haifa ililipuliwa jumapili.Kambi ipi ya Israel ilishambuliwa? Weka ushahidi
Japo taarifa za shambulio la jana hazijatoka kikamilifu kwasababu Israel imepiga marufuku vyombo vya habari kuripoti kuanzia jumapili.
Picha ya jumapili hii hapa.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kambi ya Haifa ililipuliwa jumapili.Kambi ipi ya Israel ilishambuliwa? Weka ushahidi
Lini serekali ya Israel imezuia watu kupiga picha au kuchukuwa video.Kwahiyo raia wa Israel anayezuiwa na serikali yake kusambaza madhara ya makombora kwa vitisho unadhani atafanya hivyo?
Ukiona Mazayuni yanakiri madhara fulani basi zidisha mara kumi ndiyo madhara halisi kwasababu ni kawaida kwa mataifa ya mashog,a kuendekeza propaganda kuliko uhalisia.
Jumapili bro walitoa tamko la kuzuia.Lini serekali ya Israel imezuia watu kupiga picha au kuchukuwa video.
Umenijibu tofauti na huyo jamaa niliemuuliza hilo swali, sikatai kuwa kambi za jeshi zinaweza kushambuliwa, nimemwambia aweke ushahidi wa kambi za Israel zilizoshambuliwa baada ya Iran kurusha makombora kama alivodaiKambi ya Haifa ililipuliwa jumapili.
Japo taarifa za shambulio la jana hazijatoka kikamilifu kwasababu Israel imepiga marufuku vyombo vya habari kuripoti kuanzia jumapili.
Picha ya jumapili hii hapa.View attachment 3105310
Anhaa unazungumzia ushahidi wa Iran??Umenijibu tofauti na huyo jamaa niliemuuliza hilo swali, sikatai kuwa kambi za jeshi zinaweza kushambuliwa, nimemwambia aweke ushahidi wa kambi za Israel zilizoshambuliwa baada ya Iran kurusha makombora kama alivodai
Hapana mkuuAnhaa unazungumzia ushahidi wa Iran??
Nikadhani wa Hizbollah.
sawa mwana familia wa kiongozi wa duniabasi duniani mtakuwa mmebaki viumbe ambao hamna akili hata punje!.. hakuna vita ya dunia sasahivi acheni kuamini hicho kitu na akitokea yoyote akaashiria kutaka vita ya dunia itokee nikuhakikishie tu huyo mtu ataondoshwa haraka sana na utashangaa!
😀sawa mwana familia wa kiongozi wa dunia
Dunia ikijua so what?Hiyo miji ni ya wapalestina na dunia nzima inajua
Hili limekanushwa na BBC,leo makombora yemerushwa ni machache sana.wanarusha mvua
Basi Hizibulaa wataichakaza kabisa Israel, kumbe wanasaidiwa hadi na Wachina!Baada ya mashambulizi makubwa hapo jana yaliyofanywa Lebanon na jeshi La Israel kwenye maeneo IDF iliyosema ni zaidi ya 1300.
Muda huu Hizbullah wanarusha mvua ya maroketi kuelekea vituo vya kijeshi vya Israel.
Kwa mujibu wa matangazo hayo ya moja kwa moja makombora mawili kati ya hayo yameangukia baharini uwelekeo zilipo meli za kivita za Marekani kwenye bahari ya Mediterranean.
Waziri wa mambo ya nje ya China amesema taifa lake liko pamoja na Lebanon katika kulinda heshima yake.
Kwa upande wa Uturuki japo vita vimeanza rasimi na kuua watu karibu 500 bado inatoa tahadhari kuwa vita hivi vinatishia kuliingiza eneo zima la mashariki ya kati katika vita vipana z aidi.
Israel attacks Lebanon live: Hezbollah fires missiles at Israeli airbases
Ukiwa unatafuta kwa njia ya Google au Western media au badhi ya media za kiarabu huwezi kupata sababu media kama hi na CNN wanasema Hezbullah wamerudishwa miaka 20 ya nyuma kwa kipigo cha Israel 😄 vichekesho vitupu?Nimetafuta wapi " Airbase" au ndege za Israel zimeshambuliwa na kuchakazwa, sijaona.
Fuatilia global issues utaelewa usisubiri kila kitu uhadithiwe.Lini serekali ya Israel imezuia watu kupiga picha au kuchukuwa video.
Mimi nipo kimara baruti 770Source : Kijiwe Cha Kahawa, Kimara Baruti.
Mimi sijuiDunia ikijua so what?
Wewe jadili tu kuhusu kutokuwepo Mungu, haya mengine yanakuzidi uwezo.Mimi sijui
😄😄😄😄😄 sawaWewe jadili tu kuhusu kutokuwepo Mungu, haya mengine yanakuzidi uwezo.