Muda huu Hizbullah yazichakaza airbases za Israel. China yasema ipo pamoja na Lebanon kujilinda

Sasa mkuu USA baada ya kupeleka hayo mapendekezo ya kusitisha vita hapo UNGA walipokelewaje kwenye hicho kikao
Pendekezo limepokelewa ila bado hawajakaa na kulijadili kwa kina.
Japo upande wa hawa waarabu wao wako tayari kwa lolote yani hawajalizingatia suala la usitishwaji vita.
Ndio maana hata muwakilishi wa Iran alimjibu muwakilishi wa Israel kuwa hata vita ikiendelea wao bado watawaunga mkono Lebanon.
 
ALLAHU AKBARU-TAQYYAYA MTU MOHAMMED; endeleeni hivyo hivyo huku kipigo mnakipata on the ground
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…