Muda ni protocol ya usafiri kwenye msiba wa Malkia, kila kiongozi angetumia usafiri wake kungekuwa na foleni

Halafu barabara zote zitafungwa na njia nzima watatapakaa maaskari wenye silaha nzito nzito utadhani wanaenda vitani.

Ni wachache sana wataelewa kwa nini maRais wetu kupakiwa kwenye basi kumekuwa gumzo. Miunguwatu kwenye basi!
Wanakuwa "salama" zaidi wakiwa nje kuliko nyumbani,Tanzania!!!
Ila kweli kwa zile nyuzi na comments za jana, sisi weusi tuna shida sana sana. Yaani Raisi wa Ujerumani kapanda basi na raia wake wala hawana shida. Waziri mkuu wa New Zealand, Raisi wa Italia, Raisi wa EU n.k... vile vile na huoni malalamiko yoyote. Ndio utajua wengi hatuna exposure, tuna uelewa mdogo, tunapenda ufahari. Hizi ni dalili za udumavu wa akili na sababu kubwa ni lishe duni kabla na baada ya kuzaliwa na wakati wa makuzi yetu.
Ushawahi kushuhudia msafara ,wakiwa nchini? Ama unaishi "ughaibuni"?
 
Fitina, chuki, roho mbaya, ujuaji na ushamba vimeijaza mioyo yetu.

Tanzania.
Hakuna kitu kama hicho. Fitina, chuki na roho mbaya ni viongozi wenyewe. Ndiyo maana wananchi wanawacheka.

Kulinganisha viongozi wa Afrika na wa Ulaya siyo sawa. Viongozi wa Ulaya, Canada au New Zealand huwa hawana msafara na maconvoy kama Africa. Sometimes wanapanda hata Trains ...... Tatizo ni hawa Wafalme Weusi kujifanya Miungu watu wakiwa kwenye nchi zao halafu wakiwa ugenini ni wa kawaida tu. They should learn to lead their countries better....!!
 
Halafu barabara zote zitafungwa na njia nzima watatapakaa maaskari wenye silaha nzito nzito utadhani wanaenda vitani.

Ni wachache sana wataelewa kwa nini maRais wetu kupakiwa kwenye basi kumekuwa gumzo. Miunguwatu kwenye basi!
Mimi binafsi nimeelewa vyema Kwa utaratibu waliotumia wakoloni wetu, lakini ningeungana na watu kama tunajitambuwa kweli kwamba kumbe tunaweza kubana matumizi ya misafara yetu.

Hoja ianzie hapo na siyo kupost kashfa na chuki za wazi.

Wengi tunajuwa Rais wa Marekani anasafiri Kwa nadra sana kutoka na na bajeti kubwa ya safari zake na wako ni matajiri, Sasa sisi kina Abunuwasi hoja ijengwe kwamba tuige Kwa wenzentu kumbe inawezekana Kwa viongozi wetu kubana matumizi.

Nadhani wote tulimsikia spika akisema magari ya viongozi kiongozi akishuka yazimwe, kumbe wengine tulikuwa hatujui kwamba Yale magari hayazimwi ni kipupwe full time.
 
Kwa iyo biden na convoy yake huwa hailetagi foleni isipokuwa ya wengine tu.... Aaah aaah aaah mnapenda kuandika andika aisee.

Kuna mikutano mikubwa ya kidunia inafanyika na kila kiongozi anaingia kwa taratibu zake na mambo yanaenda swaafi tu.

Sijui umeandika kwa kuchunguza wapi mwalimu
 
Ni.ngumu mtanzania kumuelewesha. Ubaya watanzania tuna jiona tuna jua kila kitu. Mimi sijaona kosa lolote kwa viongozi wetu na mataifa mengine kupanda bus. Ukichoandika mkuu umeelezea vzr. Kama watu hawatakuelewa basi wana mtindio tu wa ubongo. Sio kila jambo la.kubisha. Viongozi zaidi ya 500 wote na misafara yao au hata na gari moja moja aisee pasingetosha kwa kweli
Usafiri wa basi uendelee hata hapa nchini,badala ya V8, 80 tutumie mabasi manne ,Mkuu wa nchi ndiye apewe 'state car' ,tubane matumizi
 
Mimi binafsi nimeelewa vyema Kwa utaratibu waliotumia wakoloni wetu, lakini ningeungana na watu kama tunajitambuwa kweli kwamba kumbe tunaweza kubana matumizi ya misafara yetu.

Hoja ianzie hapo na siyo kupost kashfa na chuki za wazi.

Wengi tunajuwa Rais wa Marekani anasafiri Kwa nadra sana kutoka na na bajeti kubwa ya safari zake na wako ni matajiri, Sasa sisi kina Abunuwasi hoja ijengwe kwamba tuige Kwa wenzentu kumbe inawezekana Kwa viongozi wetu kubana matumizi.

Nadhani wote tulimsikia spika akisema magari ya viongozi kiongozi akishuka yazimwe, kumbe wengine tulikuwa hatujui kwamba Yale magari hayazimwi ni kipupwe full time.
Imagine mtu anaenda airport gari 80+!!!
 
Kwa iyo biden na convoy yake huwa hailetagi foleni isipokuwa ya wengine tu.... Aaah aaah aaah mnapenda kuandika andika aisee.

Kuna mikutano mikubwa ya kidunia inafanyika na kila kiongozi anaingia kwa taratibu zake na mambo yanaenda swaafi tu.

Sijui umeandika kwa kuchunguza wapi mwalimu
Ni suala la standard,"POTUS" hawezi kupanda basi!!! Kama hamuiruhusu Convoy yake atabakia salama states,nchi zingine zilizokataa basi ni Israel,Japan,France
 
Tukatae ubabaishaji huu, ni wizi sawa na wizi mwingine.
Wale walinzi wengi,mbona hatuwaoni huko Ulaya??,wakati wanaingia kuaga mwili wa malkia sijaona 'mpambe' wala wale wa nguo za kiraia wakiambatana naye!!!
 
Wa ulaya hata wangetembea kwa miguu ni sawa.Hawa wa Bara letu tunafahamu tabia zao, ni haki yetu kuwakumbusha hata kwenye Nchi zao wanaweza kusave matumizi na muda wa wananchi wasipotumia msululu wa mav8.
 
Ushawahi kushuhudia msafara ,wakiwa nchini? Ama unaishi "ughaibuni"?
Sasa cha ajabu ni kuwa hawa watetezi mchongo wanaojitokeza leo nao wanaamini kabisa kutoka moyoni kuwa nao wana akili kubwa.

Watanzania walio wengi wanayo hii kasumba ya kudhani wanajua! Hili ndilo tatizo linalowafanya wengi wao kuwa mtaji wa chama tawala CCM.

They dont know that they dont know!
 
Hakuna kitu kama hicho. Fitina, chuki na roho mbaya ni viongozi wenyewe. Ndiyo maana wananchi wanawacheka.

Kulinganisha viongozi wa Afrika na wa Ulaya siyo sawa. Viongozi wa Ulaya, Canada au New Zealand huwa hawana msafara na maconvoy kama Africa. Sometimes wanapanda hata Trains ...... Tatizo ni hawa Wafalme Weusi kujifanya Miungu watu wakiwa kwenye nchi zao halafu wakiwa ugenini ni wa kawaida tu. They should learn to lead their countries better....!!
Viongozi wetu wanaogopa nini?,Au ni miradi ya upigaji kwa wakubwa?
 
Sasa cha ajabu ni kuwa hawa watetezi mchongo wanaojitokeza leo nao wanaamini kabisa kutoka moyoni kuwa nao wana akili kubwa.

Watanzania walio wengi wanayo hii kasumba ya kudhani wanajua! Hili ndilo tatizo linalowafanya wengi wao kuwa mtaji wa chama tawala CCM.

They dont know that they dont know!
Wanaujua ukweli! Unasikia mheshimiwa anaenda kuzindua matundu kadhaa ya choo,msafara magari 80+,Mafuta Full tank only in Africa
 
Wale walinzi wengi,mbona hatuwaoni huko Ulaya??,wakati wanaingia kuaga mwili wa malkia sijaona 'mpambe' wala wale wa nguo za kiraia wakiambatana naye!!!
Kwenye issue ya ulinzi achana na hao watu Waingereza kabisa.

Wamarekani huwa wanajilinda wenyewe kila anapokwenda Rais wao.

Mitaa yote aliyopita Joe Biden walijaa snipers wa Marekani kila kona, je uliwaona?
 
Wanaujua ukweli! Unasikia mheshimiwa anaenda kuzindua matundu kadhaa ya choo,msafara magari 80+,Mafuta Full tank only in Africa
Hawa wakifika Ulaya kwa sababu zozote zile, wanapata haki yao wanapotupwa kwenye mabasi na labda kwa njia hiyo watazinduka. Nachukia kweli watu wanaokuja humu kutetea upuuzi wa hawa miungu-watu wetu.
 
Hata Mimi siwapendi mambo yao, lakini huwezi kunitowa akili ya kutofautisha msiba na official state visit.

Hao wote Leo wanakwenda Marekani UN, fuatilia mapokezi yao utaona tofauti ya protocol ilivyo.

Tusiache mioyo yetu ikajaa chuki ya kupitiliza.
 
Kabisa mkuu,utashangaa akirudi bongo ataenda kupokewa na viongozi 50 airport kila mmoja na V8 lake,kwa nini wasipakiwe kwenye basi
Yani mkuu we ACHA tu, utakuta mawaziri wote wanajua kwamba tarehe flan ni kikao Cha Baraza la mawaziri, na kitafanyika ikulu Dodoma, na wote wanaishi kwenye nyumba za serikali Dodoma, ila utashanga v8 60 plus zote zipo ikulu, inashindikana nini kusanywa na basi hapo Dodoma nakwenda kwenye kikao? au waziri hawezi chukua bajaji na kuwai hapo chamwino kwenye kikao, akifanya HIVYO anapungukiwa nini
 
Tukatae ubabaishaji huu, ni wizi sawa na wizi mwingine.
Na ukiwa mwizi hauishii hapo, bado utaendelea kubuni njia mpya za kutuibia wananchi kila siku hata kile kidogo tulicho nacho. Hebu fikiria akiba yako benki inakatwa tozo badala ya kulipwa faida huku watetezi wa hawa wezi mkipiga makofi na vigelegele...inashangaza, inasiktisha na inakasirisha.
 
Back
Top Bottom