Muda niliopoteza kwa mtu asiyesahihi unanicost, je naweza pata mke tokea mtandaoni akawa mwema?

Si ndo hapo Sasa?unakuta mtu anahitaji sifa ambazo yeye mwenyewe hana. Na ndo watu wanaopiga kelele kwenye mahusiano wakati wao ndiyo tatizo wanasahau kuwa utamu wa chai sukari.
 
2.Awe na Wazazi wote wawili

Ni aidha ufafanue hapa au utakuwa unawatusi watu waliopoteza wazazi. Hakuna mtu anayependa kubakiwa na mzazi mmoja au kutokuwa nao kabisa. Kifo husababisha yote haya. Kuna watu wamelelewa na mzazi mmoja kwakuwa tu mzazi mwingine au wote walifariki.
 
Pass,tako,mkagera/mrwanda duu wewe naona ni mnyambo . anyways endelea kutafuta wakati unajiandaa kuzeeka hivyo hivyo maana kwa umri unaotaka wewe mwenyewe bila shaka uko 40/above
 
Ni aidha ufafanue hapa au utakuwa unawatusi watu waliopoteza wazazi. Hakuna mtu anayependa kubakiwa na mzazi mmoja au kutokuwa nao kabisa. Kifo husababisha yote haya. Kuna watu wamelelewa na mzazi mmoja kwakuwa tu mzazi mwingine au wote walifariki.
Sijawatusi ila maana yangu awe na walezi wote wawili, siyo mpaka awe mzazi kabisa, watoto waliolelewa na mzazi mmoja wana matatizo, mbaya zaidi wakiwa wamelelewa na mama tu,
 
Sijawatusi ila maana yangu awe na walezi wote wawili, siyo mpaka awe mzazi kabisa, watoto waliolelewa na mzazi mmoja wana matatizo, mbaya zaidi wakiwa wamelelewa na mama tu,
Kwahiyo kama mzazi mmoja alifariki alazimishe ili tu aolewe na wewe? Kwahivi vimasharti vyako utakuwa mojakati ya wanaume wasioweza kumudu purukushani za ndoa.
 
Kwahiyo kama mzazi mmoja alifariki alazimishe ili tu aolewe na wewe? Kwahivi vimasharti vyako utakuwa mojakati ya wanaume wasioweza kumudu purukushani za ndoa.
Asithubutu maana si lazima kuolewa namimi
 
Tafuta helaaaa
 
Hahhaahaha kwenye vigezo vyako tu inaonekana unaoa muonekano kuliko tabia....

Kua kwanza japo kdg
 
Uliyeachana naye alipungukiwa vigezo gani?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…