Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yaaan acha tu mkuu mashart kama anataka kuoa malaika mteule....Yaani nimecheka
Kumbe wanawake hawana shida
Shida NI yeye aisee
Mwache aendelee kuangalia mwenye hvyo vigezo aendelee kukomeshwa mkuu
Hadi kabila!!!!
Si ndo hapo Sasa?unakuta mtu anahitaji sifa ambazo yeye mwenyewe hana. Na ndo watu wanaopiga kelele kwenye mahusiano wakati wao ndiyo tatizo wanasahau kuwa utamu wa chai sukari.Jamaa ana masharti kinoma.. Ungeweka na wewe vigezo vyako..
Mfano:
5.Awe na 24-30 years (Na wewe Sema Umri wako)
6.Awe na Pass ya Kusafiria au awe na vigezo vya kuipata (Na wewe sema kama unayo)
7.Elimu si Kigezo ila asiwe chini ya Form4 (Na wewe sema Elimu yako)
8.Awe Mrefu sitaki wafupi (Taja urefu wako kama ni milimeta 10 au chini)
Na wao wana machaguo ujue.
2.Awe na Wazazi wote wawili
Mungu ampe kilichochemaHapo amenikera sana aisee. Anafikiri yatima au mwenye mzazi mmoja alijitakia au hana haki ya kuwa na mwenza? Hajielewi au haelewi anataka nn huyu!!
Sijawatusi ila maana yangu awe na walezi wote wawili, siyo mpaka awe mzazi kabisa, watoto waliolelewa na mzazi mmoja wana matatizo, mbaya zaidi wakiwa wamelelewa na mama tu,Ni aidha ufafanue hapa au utakuwa unawatusi watu waliopoteza wazazi. Hakuna mtu anayependa kubakiwa na mzazi mmoja au kutokuwa nao kabisa. Kifo husababisha yote haya. Kuna watu wamelelewa na mzazi mmoja kwakuwa tu mzazi mwingine au wote walifariki.
Kwahiyo kama mzazi mmoja alifariki alazimishe ili tu aolewe na wewe? Kwahivi vimasharti vyako utakuwa mojakati ya wanaume wasioweza kumudu purukushani za ndoa.Sijawatusi ila maana yangu awe na walezi wote wawili, siyo mpaka awe mzazi kabisa, watoto waliolelewa na mzazi mmoja wana matatizo, mbaya zaidi wakiwa wamelelewa na mama tu,
Asithubutu maana si lazima kuolewa namimiKwahiyo kama mzazi mmoja alifariki alazimishe ili tu aolewe na wewe? Kwahivi vimasharti vyako utakuwa mojakati ya wanaume wasioweza kumudu purukushani za ndoa.
Vigezo vyako vimenivunja moyo wa kuja pm[emoji58]
Kila la kheri
Tafuta helaaaaNishaandika week hii, nimeugulia Sana Maumivu, nataman kua na mwenza lakin kila nikiwaza jinsi ya Kumpata mwenye vigezo navyotaka nahisi ugumu,
Imefika hatua nawaogopa wanawake kuanzisha nao mahusiano yaliyopita serious kwa ajili ndoa, kwakuwa kila nikianza fikiria maumivu ntakayopata pindi akileta mizengwe nakata tamaa,
Niliwai kuhapa kwamba sitakuja kutafta mwanamke mtandaoni, lakini kumbe wa mtaani ndo hawa hawa wa mtandaoni!
Nikiangalia walionizunguka mtaani au nao wajua hawana vigezo vinavyostahili kuwa mke, ndo maana nikahisi nikitumia platform hii naweza pia nufaika au Kipanua wigo wa suala hili,
Nataka na itapendeza sana nipate mwenza awe na sifa hizi
1.Awe Mkristo
2.Awe na Wazazi wote wawili
3.Awe Hajazaa sitaki single mother
4.Awe anatokea kanda ya ziwa itapendeza akiwa kagera, au mchanganyiko na Rwanda au Uganda,
5.Awe na 24-30 years
6.Awe na Pass ya Kusafiria au awe na vigezo vya kuipata
7.Elimu si Kigezo ila asiwe chini ya Form4
8.Awe Mrefu sitaki wafupi
9.Awe mnene wastan sitaki model, lakin angalizo asiwe na tumbo kubwa wala maziwa yaliyopitiliza, (Hips na nyuma pawe safi kidogo staki flat screen)
10.Rangi ningependelea Maji ya Kunde au mweusi
11.Sitak mtu alo cream au anayejiweka artificial sana, nataka natural
12.Usafi ni Muhim sana
Vigezo vingine vyaweza cheza kidogo au kutotimizwa ila kigezo namba 3,4,8,9,10 ni Muhimu na Mashart kuzingatiwa,
Niko serious kwa ajili ya Ndoa,
Karibu Inbox .
Asante
Nina vigezo vyote isipokuwa namba 5 tu