Hiyo siyo sababu.Kinachowaumiza wanaume kwa sasa ni uchumi duni na stress za maisha. Huwezi kumridhisha mwanamke wakati una buku tano mfukoni na hujui kesho utaamkaje.
Joined 2007😁Hiyo siyo sababu.
Mimi ni mwanaume na huwa nachacha balaa lakini dula-kichwa-mdeko huwa hajali status yeye ni mwendo wa game after game
Hongera mkuu, umejitune vizuri. Nikiwa na tension ya mambo ya pesa nakuwa likizo kwa mda.Hiyo siyo sababu.
Mimi ni mwanaume na huwa nachacha balaa lakini dula-kichwa-mdeko huwa hajali status yeye ni mwendo wa game after game
Mkuu sili baga wala kihepe.Hongera mkuu, umejitune vizuri. Nikiwa na tension ya mambo ya pesa nakuwa likizo kwa mda.
SijachujaJoined 2007😁
LegendSijachuja
Hii ni vita sio...[emoji23][emoji23]Mwanaume unapokuwa faragha unatakiwa uwe katili,piga show hadi kutoke Moshi mweusi na mwekundu
Heshima yako mkuuSijachuja
"Raizo my son life is combat" siyo maneno yangu alisema mwalimu Ozunu akimuhasa Raizo.masculinity subject lazima tuanze kuwafundisha watoto wetu
mwanaume anatengenezwa
men are born to suffer
mwanangu Ethan yupo kindergarten but anakula mafunzo ya TPDF mdogo mdogo kila kitu kinaenda kwa push up siwez lea upumbavu feminist watasema ni mateso kwa sabb tupo kweny pandemic ya feminism
ur son need strong father figure
Tatizo sio chakula, tatizo ni mindset. Project zangu haziendi nianze kuiwazia K siwezi.Mkuu sili baga wala kihepe.
Mbogamboga, ngogwe, bamia kwa wingi kuliko hata ugali ndo mwendo wangu
Unapokuwa arena you just close the door and leave the world outside without an inch of its feelingsTatizo sio chakula, tatizo ni mindset. Project zangu haziendi nianze kuiwazia K siwezi.
that movie helped me out back on days nilikua young nilifanya decision moja ya kiume that turned me from a boy to become a man"Raizo my son life is combat" siyo maneno yangu alisema mwalimu Ozunu akimuhasa Raizo.