Donatila
JF-Expert Member
- Oct 23, 2014
- 7,772
- 22,598
[emoji23][emoji23] wanawake wanapitia mengi, wanavumilia, msiwaone wanaenda kukesha makanisani...Kuna mtu nilisikia anachepuka baada ya mumewe kutuma sms na akiulizwa na rafikizake anajibu mumewe Hana Kazi kimoja tu analala [emoji3][emoji3]
Mambo ndo kama hayo...