Muda umefika nchi za kiislamu na dunia iiambie Israel wacha na inatosha

Muda umefika nchi za kiislamu na dunia iiambie Israel wacha na inatosha

Shida hata huyu mwandishi mwenyewe anaamini Hamas wanapigania Dini yao

Sababu Dini yao pamoja inawafundisha Wayahudi ni Maadui wao na Wakristo.

Guerilla war haipigwani Urban area karibu na wananchi akajifunze ANC na Makaburu, Samora Machel na Portuguese na vita za Angola

Vita ya Hamas na Israel ni ya kidini zaidi ndio maana mmoja anaopt misamiati ya Dini yao akiamini watu kufa wengi ni kupata Huruma na Kuhamsha wafia dini kupambana
Umeandika point kubwa, hawa wanafia dini kwenda kwa Allah! basi watakufa sana
 
Nimeipata hii video ambayo inaonyesha Huyu Isalamis mwanamke anamchoma kisu Askari wa Israel baada ya hapo akachezea kichapo cha maana
Hebu faidini hiyo sinema; maana hii mijitu si ya kuionea huruma
View attachment 3043171
Hawa watu wamechanganyikiwa wanahitaji msaada wa kisaikolojia, brainwashing ni mbaya sana yaani unapandikizwa maneno inafika muda unaona unaweza kufanya chochote kwa mtu yyte ili hali huna huo ubavu.
 
inachofanya Israel sasa kwenye jimbo la Gaza ni unyama ambao unapaswa kuzuiwa kivitendo na si kwa lawama za mdomo tu.

Kwa muda wote wa miezi 9 ya vita Israel imeachwa ifanye inavyopenda kwa watu wa Gaza.Wamehamishwa mara mia na sasa wamechoka na hata mikoba yao ya kuhama hama imewapotea.

Iwapo Israel inachotafuta haijakipata basi ni wakati wa kushikwa na kuambiwa inatosha na wacha.Ni kawaida ya binadamu kumzuia mtu katili anapoonekana anamuumiza mwengine kwa sababu yoyote ile.Hali ikifikia hapo huwa hatuanzi kuuliza nani mkosa bali tunazuia uovu na ukatili unaofanyika.

Hukumu za mahakama na lawama nyepesi hazina maana yoyote.Hata wale wanaojidai kuitambua Palestina hawajafanya lolote la maana kuwasaidia watu wa Gaza ambao hata sauti na machozi vimewakauka mwilini.
Bila kufanyika hivyo adhabu za kutoka kwa muumba tunaomba ziwashukie kila mmoja mwenye uwezo wa kuishika mkono Israel lakini amekaa kimya bila kufanya chochote cha maana.

Leo hii watu zaidi ya 70 wameuliwa eneo la Mawasi ambalo watu waliambiwa wakimbilie na ni sehemu salama.Watu na watoto wamebakia vipande vipande

An Israeli attack targeting the Hamas military commander kills at least 71 in southern Gaza

The Messenger of Allah(ﷺ) said, "The Last Hour will not come until the Muslims fight against the Jews, until a Jew will hide himself behind a stone or a tree, and the stone or the tree will say: 'O Muslim, there is a Jew behind me. Come and kill him,' but Al-Gharqad tree will not say so, for it is the tree of the Jews."
 
Hamas hawapiganii uhuru wa wapelestina wale wanapigania dini. Wangekuwa wapigania uhuru wasingeenda kujificha katikati ya raia.
Naomba unitajie wapigania uhur ambao walikuwa wanajificha katikati ya wananchi anaowapigania?

Siku watu wenye misimamo mikali ya dini wakiacha kuwatumia wananchi wa gaza kwa manufaa ya kidini ndo amani ya kweli itapatikana.
Huu ni ujinga wa hali ya juu uliojazwa kichwani mwako! ... Hamas wanapigania dini waipeleke wapi? kabla ya taifa la Israel kuundwa Palestina ilikuwa inakaliwa na dini moja? walikuwepo waislamu, mayahudi na wakristo pia mbona hatukuona wakipigana? for centuries hawa watu waliishi pamoja kwa amani hapo!

Unauliza mpigania uhuru gani alijificha katikati ya watu! ... swali la kijinga kabisa hili ... unajua maana ya kupigania uhuru? au unadhani mapigano ya uhuru ni kama democratic elections? ... au je hao watu wanaojificha katikati yao hawana midomo? au hawajui kama kuna watu wanajificha katikati yao? ... Hivi unajua hata Mandela na chama chake waliitwa magaidi kabla kuitwa mashujaa? ... Hivi unajua kama Mandela alibakia kwenye list ya magaidi ya USA mpaka 2008 walipojiridhisha kuwa sio threat kwao tena?

Come on bro, za kuambiwa changanya na zako basi!
 
Waacheni wapelestina wapiganie uhuru wao bila kuingiza itikadi za kidini. Kama mnataka kuwaua wayahudi tengenezeni jeshi la kidini likapigane nao siyo kutumia wapelestina wasio na hatia.
Hii ndo propaganda uliopandikizwa kichwani mwako, waislamu wangekuwa wanataka kuwaua mayahudi wangefanya hivo toka enzi za Ottoman, wametawala kwa karne ngapi ardhi ya Palestina? waliuliwa wayahudi?

Hivi huoni kama migogoro mingi hapa duniani kuwa kuna western influence nyuma yake? na wala wao hawafanyi kwa malengo ya kidini, infact wao siku zote hudai kupeleka Demokrasia pale wanapokwenda kupachafua, na wazawa waki-protest huambiwa ni magaidi ya kidini yanayopigania dini.

Kwanini Hamas hawaji kupigania dini Afrika then? Hiyo dini wanaipigania kwenye ardhi yao tu?
 
SI ni juz tu hapa mlikua mnafurahia, mkaambiwa, msije mkaanza kulia kibao kikigeuka, mkawa mna bisha
 
Wanaojiita 'civilized world ' walishakosea toka awali....wao walisema Israel ina haki ya kujilinda wakasahu huko kujilinda kuna mipaka yake.

Kwa unyama uliofanyika hapo Gaza sidhani kama kuna hiyo inayoitwa 'International law order ' bado ipo.

Kwèñye vita Hakuna Sheria
Hizô zinazoitwa Sheria NI siasa tuu.
 
Ni haki yako kusema nimepandikizwa propaganda wakati kila kitu kiko wazi dunia ya leo ni kinaonekana. Mimi sisubiri mtu aje anisimulie ila natafuta taarifa vyanzo mbalimbali vya habari na kufanya ulinganisho.
Kabla ya Ottoman kulikuwa na utawala gani? Je, kama nimezeshwa propaganda hakuna maandiko ya kiislamu ambayo yanahimiza kuwaua wayahudi na kwamba kuna kipindi hadi miti na mawe itakuwa inawaonesha waisalmu myahudi alipo ili wamuue?
Je, preamble ya hamas tawi la muslim brotherhood haisemi kwamba israel itaendelea kuwepo hadi pale uslamu utakapoiangamiza? Je, Iran haijwahi kusema hadharani kwamba wanataka kuifuta Israel kwenye uso wa dunia? Unaijua Ideology ya Hezbollah? Nani anawafadhili kijashi Hamas na vikundi vingine kama hivyo? Iran inanufaika vipi na uhuru wa wapelestina?

Wewe ndo uliyemezeshwa propaganda unakuja kuzimwaga kwangu.

Waacheni wapelestina na wayahudi watatue mgogoro wao acheni kuingiza imani zenu kwenye masuala yasiyohitaji imani.

View: https://x.com/VividProwess/status/1809699525809827866
 
Hii ndo propaganda uliopandikizwa kichwani mwako, waislamu wangekuwa wanataka kuwaua mayahudi wangefanya hivo toka enzi za Ottoman, wametawala kwa karne ngapi ardhi ya Palestina? waliuliwa wayahudi?

Hivi huoni kama migogoro mingi hapa duniani kuwa kuna western influence nyuma yake? na wala wao hawafanyi kwa malengo ya kidini, infact wao siku zote hudai kupeleka Demokrasia pale wanapokwenda kupachafua, na wazawa waki-protest huambiwa ni magaidi ya kidini yanayopigania dini.

Kwanini Hamas hawaji kupigania dini Afrika then? Hiyo dini wanaipigania kwenye ardhi yao tu?
Acha uongo, kila kitu kiko kwenye Quran yenu ya Kishetani, ona hapa chini
Ni haki yako kusema nimepandikizwa propaganda wakati kila kitu kiko wazi dunia ya leo ni kinaonekana. Mimi sisubiri mtu aje anisimulie ila natafuta taarifa vyanzo mbalimbali vya habari na kufanya ulinganisho.
Kabla ya Ottoman kulikuwa na utawala gani? Je, kama nimezeshwa propaganda hakuna maandiko ya kiislamu ambayo yanahimiza kuwaua wayahudi na kwamba kuna kipindi hadi miti na mawe itakuwa inawaonesha waisalmu myahudi alipo ili wamuue?
Je, preamble ya hamas tawi la muslim brotherhood haisemi kwamba israel itaendelea kuwepo hadi pale uslamu utakapoiangamiza? Je, Iran haijwahi kusema hadharani kwamba wanataka kuifuta Israel kwenye uso wa dunia? Unaijua Ideology ya Hezbollah? Nani anawafadhili kijashi Hamas na vikundi vingine kama hivyo? Iran inanufaika vipi na uhuru wa wapelestina?

Wewe ndo uliyemezeshwa propaganda unakuja kuzimwaga kwangu.

Waacheni wapelestina na wayahudi watatue mgogoro wao acheni kuingiza imani zenu kwenye masuala yasiyohitaji imani.

Huyu islamist Taqqya ndiyo waliyofunzwa yaani kusema uongo ili mradi wanautetea uislam
Screenshot (23).png
 
inachofanya Israel sasa kwenye jimbo la Gaza ni unyama ambao unapaswa kuzuiwa kivitendo na si kwa lawama za mdomo tu.

Kwa muda wote wa miezi 9 ya vita Israel imeachwa ifanye inavyopenda kwa watu wa Gaza.Wamehamishwa mara mia na sasa wamechoka na hata mikoba yao ya kuhama hama imewapotea.

Iwapo Israel inachotafuta haijakipata basi ni wakati wa kushikwa na kuambiwa inatosha na wacha.Ni kawaida ya binadamu kumzuia mtu katili anapoonekana anamuumiza mwengine kwa sababu yoyote ile.Hali ikifikia hapo huwa hatuanzi kuuliza nani mkosa bali tunazuia uovu na ukatili unaofanyika.

Hukumu za mahakama na lawama nyepesi hazina maana yoyote.Hata wale wanaojidai kuitambua Palestina hawajafanya lolote la maana kuwasaidia watu wa Gaza ambao hata sauti na machozi vimewakauka mwilini.
Bila kufanyika hivyo adhabu za kutoka kwa muumba tunaomba ziwashukie kila mmoja mwenye uwezo wa kuishika mkono Israel lakini amekaa kimya bila kufanya chochote cha maana.

Leo hii watu zaidi ya 70 wameuliwa eneo la Mawasi ambalo watu waliambiwa wakimbilie na ni sehemu salama.Watu na watoto wamebakia vipande vipande

An Israeli attack targeting the Hamas military commander kills at least 71 in southern Gaza

Hii vita ya Ghaza ndiyo inatutambilisha wanafik ni kina nani duniani.

Hii siyo vita ya Waislam na wasio Waislam, hii ni vita ya ardhi ambayo kwa bahati nzuri wamiliki wengi ni Waislam.

Mpaka sasa tumeona Wayemeni, Wairan, Wasyria, Walebanon na baadhi ya Wairaq ndiyo wamejitpolea kwa hali na mali.

Wanafik wengine wote wameufyata.
 
Tarehe 7 oktoba 2023 mlikuwa mnakata mauno na kubweka Allah akbar allah akabar. Sasa hivi hata hiyo Allah akbar mna bweka kwa kujikaza na kujilazimisha huku mmebanamarinda.

Mlolongo Mzee makoti Adiosamigo Jagina babu na mjukuu Mamlukii Ritz
 
Acha uongo, kila kitu kiko kwenye Quran yenu ya Kishetani, ona hapa chini

Huyu islamist Taqqya ndiyo waliyofunzwa yaani kusema uongo ili mradi wanautetea uislam
View attachment 3043973
Hapa ndo mnapokuwa mnachukuwa vitu out of context, either kudanganya watu ama nyinyi kuendeleza mlicho danganywa! ... hii hadithi ni katika dalili za kiama pia ni utabiri wa nini kitatokea huko mbeleni. In short, when this has happened then one should know that on hour is just around the corner.

Nini kitasababisha hiyo vita sasa hilo ni jambo jengine kabisa, ila kuna kila evidence kwamba sababu sio just a mere fact kwamba eti hawa ni mayahudi basi lazima tuwaue.

Kama wewe unaelewa hii kuwa ni amri ya waislamu kuua wayahadi then how do u reconcile it with the fact that Mtume Muhammad (SAW) hakuwauwa mayahudi licha ya kuwa walikuwa wapo wa kutosha katika ardhi ya waislamu?. Sio yeye tu hata maswahaba zake baada yake wahakufanya hivo?

Basi hata pia na historia hii ya juzi tu huioni? Yahudi gani aliuliwa na Ottoman empire wakati wote walikuwa chini ya utawala huo? acha kuuliwa ushawahi kuona hata historia ya wao kuteswa na waislamu katika tawala za kiislamu just kwa sababu ya uyahudi wao?
 
Wapiganaji wa Gaza wanatakiwa wakome tena wakome kabisa kuichokoza "Nchi Taifa Teule"
Wanapaswa kujutia maamuzi ya kuwachokoza wana wa Mungu 😌
 
Nchi za kiislamu zilizojaa wanaume wanawaza kuoa wake wanne na kuacha kwa talaka. Kisha waoe wengine. Ndio hao unataka wamkemee ama wapigane na muisrael.

Mamamae watachinjwa kama kuku. Myahudi huwa halei wazembe
Kwahio unataka waoane kama kwenu mnapooana wanaume kwa wanaume na kinyume chake?
Mwanamke anatakiwa aolewe na mwanaume sasa nyie mnaoana wenyewe kwa wenyewe wajinsia moja dah😓
 
Back
Top Bottom