Punguza jazba! Acha magaidi washughulikiwe maana wao ndio walianza uchokozi Oct 7
Mimi na jazba wapi na wapi, nyie wafuasi wa taifa teule huwa magaidi kwenu ni wale wanao pigania haki zao.
America anaye tokea mbali kuja Middle East kupigana yeye sio gaidi, kavamia Iraq ohh ana mass destruction, kavamia Libya oh Gaddafi ni dictator anauwa watu wake.
Kavamia Syria kwa same story.
Kule Asia kavamia Vietnam sijui kwa reason ipi mpaa leo 😄 kavamia Japan na nchi ya kwanza kutumia Nuclear kuteketeza binadamu na bado mnamuona sio gaidi haha.
Kaenda Korea kugonbanisha ndugu mpaa leo nchi imegawanyika South na North yote sababu ya US
Kaenda Afghanistan oh sababu ya Osama, kwani Osama ni nchi yake Afghanistan yule nimkimbizi yeye madictotor wangapi wanakimbilia kwake kwa wengine kosa.
Kamtumia Ukraine kumgombanisha na Mrusi na anawapeleka Europe nzima wawe kitoweo kwa Mrusi yeye yuko mbali huyo si gaidi
Shoga yake Israel hivyo hivyo yeye akipiga ni self defense, wengine wakimpiga Terrorist group 😄
Hamasi haku uwa hata mtoto mmoja wa Israel, dunia nzima ilipiga kelele oh women ,children, toddlers and elderly were brutally butchered in an ISIS way of action na Hamasi, mpaa leo hakuweza kuonyesha hata picture au video hizo.
Biden na Western leader mpaa kule Canada walirukia kuzua uwongo huo, leo Israel anafanya ushenzi kuliko huo mmesikia kuna mmoja wao kaongea hivyo.
Ukristo na Uyahudi ni unafiki tu hawana lolote zaidi ya uwongo.