Muda umefika nchi za kiislamu na dunia iiambie Israel wacha na inatosha

Muda umefika nchi za kiislamu na dunia iiambie Israel wacha na inatosha

Mijitu inamfuata pedophile Mohammad aliyeoa kitoto cha miaka 6 ndiyo maana inakuwa mipumbavu, inaanzisha vita na kujificha kwa raia, na raia nao hawaoni hatari itakayowapata. Mohammad pedophile, Allah shetani lazima mijitu isiwe na hekima. Na usikute aliyetaka kumuua Trump huko Pennsylvania akawa ni Muislamu maana Maislamists huko USA imepaniki inapoona Trump atarudi madarakani
Screenshot_20240714-074331_Chrome.jpg
 
Nyie waoga mko tayari nchi kuwaachia wahamiaji ndio ukweli huo akati sisi ni dhambi kubwa kuachia ardhi yako unapovamiwa hutaona muislam akiondoka wataondoka wazee na watoto sisi tunaongea na JW mafunzo ya wiki tayari tunaingia mzigoni mpaka kieleweke maana hizo ni thwabu za bure na ukifa peponi tena nazikwa bila kuoshwa raha ilioje
Rudia kusoma ulichoandika
 
inachofanya Israel sasa kwenye jimbo la Gaza ni unyama ambao unapaswa kuzuiwa kivitendo na si kwa lawama za mdomo tu.

Kwa muda wote wa miezi 9 ya vita Israel imeachwa ifanye inavyopenda kwa watu wa Gaza.Wamehamishwa mara mia na sasa wamechoka na hata mikoba yao ya kuhama hama imewapotea.

Iwapo Israel inachotafuta haijakipata basi ni wakati wa kushikwa na kuambiwa inatosha na wacha.Ni kawaida ya binadamu kumzuia mtu katili anapoonekana anamuumiza mwengine kwa sababu yoyote ile.Hali ikifikia hapo huwa hatuanzi kuuliza nani mkosa bali tunazuia uovu na ukatili unaofanyika.

Hukumu za mahakama na lawama nyepesi hazina maana yoyote.Hata wale wanaojidai kuitambua Palestina hawajafanya lolote la maana kuwasaidia watu wa Gaza ambao hata sauti na machozi vimewakauka mwilini.
Bila kufanyika hivyo adhabu za kutoka kwa muumba tunaomba ziwashukie kila mmoja mwenye uwezo wa kuishika mkono Israel lakini amekaa kimya bila kufanya chochote cha maana.

Leo hii watu zaidi ya 70 wameuliwa eneo la Mawasi ambalo watu waliambiwa wakimbilie na ni sehemu salama.Watu na watoto wamebakia vipande vipande

An Israeli attack targeting the Hamas military commander kills at least 71 in southern Gaza

hazina huo uwezo. na trump anaenda kushinda ndio nchi hizi zitapata shida sana. kama jana, Mohamed Dief na walinzi wake kama 70 walienda kujificha kwenye jengo, mwisrael akawaona, bomu alilorusha limechimba bonge la shimo yaani pale waliokuwa kwenye jengo wamegeuka unga. jamaa wamemtafuta kwa miaka mingi sana na jana wamemuua. inasikitisha lakini.
 
Wewe sijui upo dunia ya wapi, wanajeshi wa israel wanakufa sana, sema media zetu zinaficha, ingia eye palestine, aljazeera n.k uone media zinatoa ukweli, achana na media za akina milard ayo n.k

Wao wanauwa watoto, wamama na wazee ndicho wanachoweza, na leo kama sikosei wamelipua jengo kwa kutumia bomu katika mabomu aliyopewa na kafiri mwenzie marekani
Sasa kuna vita ambavyo wanajeshi hawafi?! We kweli punguani
 
MimI siendi kanisa ni kupata baraka ninenda kuboresha mahusiano yangu na Mungu wangu. Mtu anakazania mtoto Madrasa kuliko shule. Mtu anaitwa sheikh anatoa mahubiri hana hata degree ya theology au philosophy. Kuna kuijenga jamii hapo ? Kama uislamu uko vizuri kwa nini wakimbizi wa Syria,Iraq, Libya , Afghanistan na Lebanon wanakimbilia Ulaya na Marekani na sio Uarabuni.
Digrii za theology hazisaidii chochote wakati hao wenye nazo wanachagizwa na masheikh ambao wamesoma mitaani tu. Hakuna aliyeweza kujibizana na Ahmed Deedat akamshinda ambaye mwenyewe alijisomea vitabu peke yake blla kwenda chuo
 
Mtanyooka waislam
Tuko kwenye mstaari na tunainyoosha Israel baada ya kuinyoosha Marekani kule Afghanistan.Na sio sisi bali ni yule aliyetuumba sote ndiye anayetoa mnyoosho.
Usipime kwenye vifo vya wapalestina pekee bali angalia jinsi Israel inavyoporomoka katika kila kipembe baada ya miezi 9 ya vita.
 
Sawa basi vita iendelee tumshkuru Allah kwa kuinyosha israel
 
Digrii za theology hazisaidii chochote wakati hao wenye nazo wanachagizwa na masheikh ambao wamesoma mitaani tu. Hakuna aliyeweza kujibizana na Ahmed Deedat akamshinda ambaye mwenyewe alijisomea vitabu peke yake blla kwenda chuo
Ishu siyo kujibizana ndio maana masheikh wanalalamika wanatembea kwa miguu wakati Maa Askofu wana magari mnafeli wapi amkeni !! Nenda uarabuni uone waarabu wanavyobaguana wao kwa wao wewe utawekwa wapi ? Dini gani ambayo watu wanabaguana wao kwa wao. Waafrika waislamu walioishi uarabuni wanajua kuwa walikosea lakini wanakubali maana akifikiria mke na watoto atawaambia nini.
 
Tuko kwenye mstaari na tunainyoosha Israel baada ya kuinyoosha Marekani kule Afghanistan.Na sio sisi bali ni yule aliyetuumba sote ndiye anayetoa mnyoosho.
Usipime kwenye vifo vya wapalestina pekee bali angalia jinsi Israel inavyoporomoka katika kila kipembe baada ya miezi 9 ya vita.
Yaani hapa ni sawa na Kinjekitile Ngwale kwenye MAJI MAJI 😂 😂 😂 😂 😂 . Unashinda misikitini halafu unategemea utampiga Myahudi 😂😂😂😂. Mbona Israel ipo hapo toka 1948 mmeshindwa nini ? Watu wamejipanga bwana hawakuamka na kusema wanaanzisha taifa la Israel. Zionisim ilianza 1897 na Mheshimiwa Theodor Herzl, mwaka 1948 ndio Taifa likazaliwa. Naomba unipe gap ni miaka mingapi hapo ?
 
Jiwe haliruhusiwi? Sema tukuonyeshe hizbollah anavyowafagia huku anarekodi live mashoga wanavyokata moto kama unajua kiarabu njoo dm upewe link mujarab ya telegram tu hizo nyingine utapotea mazayuni maongo kishenzi yanapelekwa kuzimu kila dk tena wahuni wanarekodi
Umehamia kwa Hizbollah si Hamas tena?
 
Nyie waoga mko tayari nchi kuwaachia wahamiaji ndio ukweli huo akati sisi ni dhambi kubwa kuachia ardhi yako unapovamiwa hutaona muislam akiondoka wataondoka wazee na watoto sisi tunaongea na JW mafunzo ya wiki tayari tunaingia mzigoni mpaka kieleweke maana hizo ni thwabu za bure na ukifa peponi tena nazikwa bila kuoshwa raha ilioje
Dini ni bangi?
 
Wewe unauesema waislamu unakosea, waislamu wapo Afrika uarabuni hakuna waislamu bali madhehebu ya kiislamu, na madhehebu ya kiislamu yana maslahi ya kimadhebu. Mfano Irani anaposaidia Gaza anaeneza nguvu sake za kishia ndo maana sio rahisi Said Arabia kuungana naye. Huku Tanzania ndo munafikiri uislamu ni mmoja lakini sivyo.
 
Back
Top Bottom