Samson Ngomboli
JF-Expert Member
- Oct 30, 2019
- 1,598
- 2,710
Taja mfalme mmoja tu wa palestina.Kabla ya mwaka 1948 israhell ilikua wapi?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Taja mfalme mmoja tu wa palestina.Kabla ya mwaka 1948 israhell ilikua wapi?
IQ ya Waziri mkuu wa Israel Benjamin Netanyahu ni 128(above average)Netanyahu ameshasema hata mateka wakiachiliwa haitasaidia kitu.Huoni kuwa ameshakuwa kichaa na ni lazima ashikwe mkono afungwe kamba.
Rudia kusoma ulichoandikaNyie waoga mko tayari nchi kuwaachia wahamiaji ndio ukweli huo akati sisi ni dhambi kubwa kuachia ardhi yako unapovamiwa hutaona muislam akiondoka wataondoka wazee na watoto sisi tunaongea na JW mafunzo ya wiki tayari tunaingia mzigoni mpaka kieleweke maana hizo ni thwabu za bure na ukifa peponi tena nazikwa bila kuoshwa raha ilioje
hazina huo uwezo. na trump anaenda kushinda ndio nchi hizi zitapata shida sana. kama jana, Mohamed Dief na walinzi wake kama 70 walienda kujificha kwenye jengo, mwisrael akawaona, bomu alilorusha limechimba bonge la shimo yaani pale waliokuwa kwenye jengo wamegeuka unga. jamaa wamemtafuta kwa miaka mingi sana na jana wamemuua. inasikitisha lakini.inachofanya Israel sasa kwenye jimbo la Gaza ni unyama ambao unapaswa kuzuiwa kivitendo na si kwa lawama za mdomo tu.
Kwa muda wote wa miezi 9 ya vita Israel imeachwa ifanye inavyopenda kwa watu wa Gaza.Wamehamishwa mara mia na sasa wamechoka na hata mikoba yao ya kuhama hama imewapotea.
Iwapo Israel inachotafuta haijakipata basi ni wakati wa kushikwa na kuambiwa inatosha na wacha.Ni kawaida ya binadamu kumzuia mtu katili anapoonekana anamuumiza mwengine kwa sababu yoyote ile.Hali ikifikia hapo huwa hatuanzi kuuliza nani mkosa bali tunazuia uovu na ukatili unaofanyika.
Hukumu za mahakama na lawama nyepesi hazina maana yoyote.Hata wale wanaojidai kuitambua Palestina hawajafanya lolote la maana kuwasaidia watu wa Gaza ambao hata sauti na machozi vimewakauka mwilini.
Bila kufanyika hivyo adhabu za kutoka kwa muumba tunaomba ziwashukie kila mmoja mwenye uwezo wa kuishika mkono Israel lakini amekaa kimya bila kufanya chochote cha maana.
Leo hii watu zaidi ya 70 wameuliwa eneo la Mawasi ambalo watu waliambiwa wakimbilie na ni sehemu salama.Watu na watoto wamebakia vipande vipande
An Israeli attack targeting the Hamas military commander kills at least 71 in southern Gaza
Sasa kuna vita ambavyo wanajeshi hawafi?! We kweli punguaniWewe sijui upo dunia ya wapi, wanajeshi wa israel wanakufa sana, sema media zetu zinaficha, ingia eye palestine, aljazeera n.k uone media zinatoa ukweli, achana na media za akina milard ayo n.k
Wao wanauwa watoto, wamama na wazee ndicho wanachoweza, na leo kama sikosei wamelipua jengo kwa kutumia bomu katika mabomu aliyopewa na kafiri mwenzie marekani
Una andika hivi umeona ratio na destructions kati ya Gaza na Israel?Acha uongo wewe wakati Hamas wanaichakaza vibaya mno Israel wewe unakuja na maneno yako hapa
Digrii za theology hazisaidii chochote wakati hao wenye nazo wanachagizwa na masheikh ambao wamesoma mitaani tu. Hakuna aliyeweza kujibizana na Ahmed Deedat akamshinda ambaye mwenyewe alijisomea vitabu peke yake blla kwenda chuoMimI siendi kanisa ni kupata baraka ninenda kuboresha mahusiano yangu na Mungu wangu. Mtu anakazania mtoto Madrasa kuliko shule. Mtu anaitwa sheikh anatoa mahubiri hana hata degree ya theology au philosophy. Kuna kuijenga jamii hapo ? Kama uislamu uko vizuri kwa nini wakimbizi wa Syria,Iraq, Libya , Afghanistan na Lebanon wanakimbilia Ulaya na Marekani na sio Uarabuni.
Tuko kwenye mstaari na tunainyoosha Israel baada ya kuinyoosha Marekani kule Afghanistan.Na sio sisi bali ni yule aliyetuumba sote ndiye anayetoa mnyoosho.Mtanyooka waislam
Sawa basi vita iendelee tumshkuru Allah kwa kuinyosha israelTuko kwenye mstaari na tunainyoosha Israel baada ya kuinyoosha Marekani kule Afghanistan.Na sio sisi bali ni yule aliyetuumba sote ndiye anayetoa mnyoosho.
Usipime kwenye vifo vya wapalestina pekee bali angalia jinsi Israel inavyoporomoka katika kila kipembe baada ya miezi 9 ya vita.
Ishu siyo kujibizana ndio maana masheikh wanalalamika wanatembea kwa miguu wakati Maa Askofu wana magari mnafeli wapi amkeni !! Nenda uarabuni uone waarabu wanavyobaguana wao kwa wao wewe utawekwa wapi ? Dini gani ambayo watu wanabaguana wao kwa wao. Waafrika waislamu walioishi uarabuni wanajua kuwa walikosea lakini wanakubali maana akifikiria mke na watoto atawaambia nini.Digrii za theology hazisaidii chochote wakati hao wenye nazo wanachagizwa na masheikh ambao wamesoma mitaani tu. Hakuna aliyeweza kujibizana na Ahmed Deedat akamshinda ambaye mwenyewe alijisomea vitabu peke yake blla kwenda chuo
Yaani hapa ni sawa na Kinjekitile Ngwale kwenye MAJI MAJI 😂 😂 😂 😂 😂 . Unashinda misikitini halafu unategemea utampiga Myahudi 😂😂😂😂. Mbona Israel ipo hapo toka 1948 mmeshindwa nini ? Watu wamejipanga bwana hawakuamka na kusema wanaanzisha taifa la Israel. Zionisim ilianza 1897 na Mheshimiwa Theodor Herzl, mwaka 1948 ndio Taifa likazaliwa. Naomba unipe gap ni miaka mingapi hapo ?Tuko kwenye mstaari na tunainyoosha Israel baada ya kuinyoosha Marekani kule Afghanistan.Na sio sisi bali ni yule aliyetuumba sote ndiye anayetoa mnyoosho.
Usipime kwenye vifo vya wapalestina pekee bali angalia jinsi Israel inavyoporomoka katika kila kipembe baada ya miezi 9 ya vita.
Umehamia kwa Hizbollah si Hamas tena?Jiwe haliruhusiwi? Sema tukuonyeshe hizbollah anavyowafagia huku anarekodi live mashoga wanavyokata moto kama unajua kiarabu njoo dm upewe link mujarab ya telegram tu hizo nyingine utapotea mazayuni maongo kishenzi yanapelekwa kuzimu kila dk tena wahuni wanarekodi
Dini ni bangi?Nyie waoga mko tayari nchi kuwaachia wahamiaji ndio ukweli huo akati sisi ni dhambi kubwa kuachia ardhi yako unapovamiwa hutaona muislam akiondoka wataondoka wazee na watoto sisi tunaongea na JW mafunzo ya wiki tayari tunaingia mzigoni mpaka kieleweke maana hizo ni thwabu za bure na ukifa peponi tena nazikwa bila kuoshwa raha ilioje
Kama PutinHuwa ninachukizwa sana na binadamu ambao wanaona kwao ni jambo la kawaida tu kuua binadamu wenzao, kwa sababu zao tu za kibinafsi.