Mlaleo
JF-Expert Member
- Oct 11, 2011
- 14,809
- 11,825
Nchi za kiarabu wananchi hawana shida tatizo hao viongozi, viongozi wananua silaha ni kwa ajili ya kupigana na wananchi wao, ndio sababu America anawauzia silaha zina cost mabillion, anajua wazi hizo silaha kwa ajili ya kumlinda Israel na viongozi wa nchi za kiarabu.
Nchi inayo pinga siasa za American inatafutiwa njia ya kusingiziwa kiongozi ni dictator anauwa wananchi zake au ana weapon of mass destruction.
View: https://www.tiktok.com/@hananyanaftali/video/7293085826391543058?is_from_webapp=1&sender_device=pc