Muda umefika nchi za kiislamu na dunia iiambie Israel wacha na inatosha

Waambie wapalestina waachie mateka
 
Nchi za kiarabu wananchi hawana shida tatizo hao viongozi, viongozi wananua silaha ni kwa ajili ya kupigana na wananchi wao, ndio sababu America anawauzia silaha zina cost mabillion, anajua wazi hizo silaha kwa ajili ya kumlinda Israel na viongozi wa nchi za kiarabu.

Nchi inayo pinga siasa za American inatafutiwa njia ya kusingiziwa kiongozi ni dictator anauwa wananchi zake au ana weapon of mass destruction.
 
Tulitahadharishwa kuhusu myahudi sasa nae agonga mwamba hakika uislam hautabadili msimamo juu ya kafiri yeyote huu ndio uislamu kifo ni haki na ni matarajio nimewaheshimu sana watu wa palestine hakika Subra ndio nguzo yetu kuu tulifunndishwa Na dini hii ni imara haina unyonge tungelegea toka mwanzo tungekua chini ya uyahudi au uislam uliochezewa hongera kwao kwani wanafia kwenye ardhi yao wayoamini ni ya kwao.
 
Wadau mm ni mkristo but One day nilijaribu kujielimisha kidogo juu ya demograph ya taifa la Israel....na nilishangaa kuona waislam ni wengi kuliko hata wakristo so nashindwaga kabsa kuelewa watu wanaowanasibisha vita vya Israel -palestina war na udini................
Mytake....... Hawa jamaa ugomvi wao source ni ardhi tuuuuu ........ maana km ni ukristo na uislamu inakuwaje waislamu wa kiyahudi kuwapiga wenzao wa kipalestina??????

Kwa ushahidi zaidi nendeni mkasome dini zilizopo Israel wikipidia.........
 
Acheni ugaidi na kulia lia kwa wakati moja,Ukiwa gaidi lazima ujikaze.
Kama muislam kutetea ardhi yake ni ugaidi naiwe hivyo kwa kila muislam kwani dini hairusu unyonge ndio maana mpaka leo tupo ni dini kubwa kwa kua tulipigana na vita vingi na makafiri ya Freemason na Illuminati wameshindwa kutubadili sasa wanatupakazia majina mabaya ya ugaidi ili tuchukiwe na kila mtu.. ila kivita walitamani
Kutufuta tangu enzi

Nyinyi mmekubali mila zao ndio maana wanawapangia muabudu vipi muishi vipi mupumuliane hayo yote mlikubali kwa uoga wenu au ujinga wenu na kupenda anasa za dunia akati yesu mwenyewe kaondoka masikini nyinyi tamaa tu
 
Jewish

According to the country's Central Bureau of Statistics (CBS) classification system (2021 data), approximately 73.8 percent of the population is Jewish, 18 percent Muslim, 1.9 percent Christian, and 1.6 percent Druze
 
Hakika tukivamiwa hapa Tanzania labda na wasudani natukauliwa kwa wingi na imani wakristo wote watakimbia nchi na kwenda uhamishoni tutabaki waislamu pekee yetu kwa dalili nazo ziona humu.
 
leo tupo ni dini kubwa
Mna ukubwa gani?
wanatupakazia majina mabaya ya ugaidi ili tuchukiwe na kila mtu..
Unawafahamu isis,Boko Haram,alshabab?,hao ndio waislamu achana na ninyi hata kusoma kiarabu na Quran hata mimi mkristo nawashinda.nani awasingizie maana hata mafundisho yenu yamekaa kigaidi gaidi sana.
wanawapangia muabudu vipi
Hakuna wakutupangia namna ya kuabudu katika dunia hii
mupumuliane hayo yote mlikubali kwa uoga wenu au ujinga wenu
Hayo wanafanya waislamu wa mikoa ya pwani,wake kwa waume na ndio maana robo tatu za kesi za ushoga,kulawiti na kulawitiwa zinawahusu waislamu.badilikeni acheni ugaidi,ngada na ushoga.
 
Kuna taarifa huku mastermind Mohameid Deif aka paka mwenye roho saba pamoja na kamanda wa khan yunis wameuawa kwenye haya mashambulizi ya watu 71 waliokufa mbona mnaficha
Taarifa za umbea umepata wapi wewe dogo
Israhell anachoweza yeye kuua kina mama na watoto tu hapo ghaza hamas alishawashindwa muda mrefu sanaaa
 
 
Ushapokea baraka kama alivyoagiza papa?
 
Akili za waislamu bana!!, nadhani ni matokeo ya wanachokiisoma kwenye quruan yao tukufu
Sio matokeo mnayopata baada ya kupata baraka
Ushabarikiwa au bado hujampata mwenzako wakwenda nae mkapewa baraka?
 
Ukiona wapelestina wamekusanyika kwa wingi sehemu flani ujue hapo Kuna viongozi wao au mateka.
Mmeokoa mateka wangapi mpaka sasa
Au wapalestina walijikusanya wengi sehemu nne tu mlipookoa wale magidi wanne waliotekwa
Mmeua viongozi wangapi wahamas mpaka sasa
Israhell anaweza kupigana nakin mama n watoto tu kwa hili anastahili kupewa hongera
 
Mungu hana taifa linalolea mashoga machoko na wasagaji
 
Bora wanaokazana na swala tano kuliko mnaoenda kupeana baraka makanisani
Ushapata baraka?🤔
 
Siyo wewe uliyekuwa unatueleza kwamba "mayahudi" wameshindwa vita?
 
Nyinyi islamists si mlikuwa mkisema Kamasi wanashinda hii vita! Sasa tulieni sindano iwaingie. Maana Israel waliisha anza kuondoka, raia wa Gaza wakawaruhusu Kamasi waanze tena kurusha Rocket kutokea makazi ya raia
Nyie lgbtq+ mpaka sasa mmekomboa magaidi wenu wangapi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…