Muda umefika nchi za kiislamu na dunia iiambie Israel wacha na inatosha

Hamas maelfu wameshapelekwa jongomeo na ndio maana kwasasa hata jiwe halilushwi ndani ya mipaka ya taifa teule la Mungu.
 
Hamas maelfu wameshapelekwa jongomeo na ndio maana kwasasa hata jiwe halilushwi ndani ya mipaka ya taifa teule la Mungu.
Jumatatu ilopita watu wameshambulia huko kwa lgbtq+ nation tena kutokea hapo hapo khano younis
 
Hamas maelfu wameshapelekwa jongomeo na ndio maana kwasasa hata jiwe halilushwi ndani ya mipaka ya taifa teule la Mungu.
Jiwe haliruhusiwi? Sema tukuonyeshe hizbollah anavyowafagia huku anarekodi live mashoga wanavyokata moto kama unajua kiarabu njoo dm upewe link mujarab ya telegram tu hizo nyingine utapotea mazayuni maongo kishenzi yanapelekwa kuzimu kila dk tena wahuni wanarekodi
 
Ulongo mtupu,dozi waliyopewa Hamas hawatarudia tena upumbavu waliofanya miaka 100 ijayo.
Endelea kuimba ngonjera
Israhell anapigana na watoto hawa hawatarudia kweli
Ila hamas wapo wapo sana kama mnaweza kawatoeni magaidi wenu waliotekwaπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Endelea kuimba ngonjera
Israhell anapigana na watoto hawa hawatarudia kweli
Ila hamas wapo wapo sana kama mnaweza kawatoeni magaidi wenu waliotekwaπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Jamaa huwa unajifariji kama jina lako huku wenzako wanapokea kipondo cha hatari.Mkipata muda muwe mnawaambia waache kuwachokoza vichaa.πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
###
mtu yeyote mwenye nia ya kutoa sadaka kwa kwaajili ya watoto wa gaza walio na mazingira magumu ya chakula anicheki dm nimpe link ya kuchangia kwa crypto au kama hawezi kwa uaminifu mkubwa mimi ntaiwakilisha kupitia wallet ya Usdt na Bitcoin. Angalizo ni hiari na kama huwezi kutuma chochote tafadhali usiombe wallet na ukituma nionyeshe muamala.
 
Na kabla ya 1948 hakukuwa na taifa la Israeli?Lilikuwa wapi hapo middle east?Acheni kujichetua akili kama mmeshiba uji wa ulezi wenye pilipili manga!🀣🀣🀣🀣
Wewe usiojichetua umeshindwa kujibu swali
Kabla ya mwaka 1948 israhell ilikua wapi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…