Muda umeisha, Babu Seya ndio basi tena?

mimi wameniacha hoi pale walipomfunga hadi yule mtoto wa miaka 18 kifungo cha maisha, wakati kipindi ambacho anadaoiwa kufanya kosa hilo alikuwa na miaka 17 kwa hiyo ilibidi ahukumiwe kama mtoto na siyo mtu mzima, nakumbuka kama sijakosea alikuwa kidato cha pili, halafu kuna mtu humu ameandika kuwa ile familia ilifanya vile kwa maelekezo ya mganga ili wawe matajiri sasa na huyu mwanafunzi alifanya ili awe na akili au maana alikuwa bado hajaanza kujitegemea, halafu inawezekana vipi familia nzima iwe na tabia moja halafu baba awe anafahamu kuwa tabia yake ya kulawiti na wanae pia wanayo na awe anamlipa mwalimu awe anawaleta hao watoto na kuanza kugawana na wanawe kila mmoja na wake, mkuu wa nyumba baada ya kuona kachemka kumfunga hadi mtoto akaamua kumwachia yule dogo ila skakomaa na wengine
 
kuna ushahidi wa wazi kabisa wa watu kula lfe ban humu
 
Unavyoongea kana kwamba wale washenzi walionewa..hivi unajua kwa nini rufaa zote zilibuma? Kwa taarifa yako waliwaambukiza UKIMWI watoto 17..Je huyo Mungu wa Ibrahimu aliwaagiza kufanya hivyo?

hakuna mm nna ushahdi kua walisingiziwa na watoto walioandaliwa watoe ushahdi wa uongo wengne ni ndugu zangu UNAMTETEA ALIYEWAFUNGA AU ANAKUBANDUA NINI M.K.UN.DU WEWE
 
Where we dare talk free


cc: Invisible kwa utekelezaji na kupima matokeo!
 
Last edited by a moderator:

una uhakika na unacho ongea au umehadithiwa?
 
Kwanini yule mtoto wa nguza alihukumiwa adhabu sawa na ya baba yake then baadaye wakaja kumuachia huru?inamaana mahakama haikujua kama alikuwa under 18?
Sidhani kama kuna mzazi anaweza kushirikiana na familia yake kulawiti watoto .
 
Inafaa wauliwe huko huko jela na sindano ya sumu nimesoma hii mada imenikumbusha machungu makubwa hawa watu ni mbwa, mimi nashangaa watu wanaowatetea.

wewe ni kama nani unayetoa ruhusa wauliwe?jk ni mtu wa visasi mke wake kaliwa nyuchi uko kaamua kuwapakazia kesi kesi ya ubakaji.
tanzania ni zaidi ya uijuavyo
 
Kwani aliyeshtaki ni Raisi, hiyo kesi ni sisi wazazi ndiyo tumefungua na mpaka leo tunauchungu na wtt wetu walivyofanyiwa, kwa kweli ni wauwaji kabisa wengine wtt wetu wamewachukia hata baba zao kwa ajili ya jinsia tu.
uuongo wa wazi kabisa.mwanasheria aliyemtoa mtoto wa nguza gerezani aliweka wazi .tunamjua aliyemweka ndani
 
Peleka ushahidi mahakamani, hatoki ng'o mpaka afie jela mshenzi mkubwa yule.

mkuu povu la nini,nguza so yupo ndani.babu seya ni mjinga anang'ania michepuko ya watu anajifanya ana ubavu
 
Rais ajaye atawasamehe wavimilie mda umekwisha,, wanahaki ya kusamehewa kwani kesi yao ilikuwa utata mtupu
 

kwa aina ya jinai waliotiwa hatiani nayo rais hana mamlaka ya kuwasemehe. ikumbukwe kuwa si makosa yote rais anaweza samehe.
 

Pole mkuu usipende kufuatilia nyuzi za hawa watu kama mzazi natambua unavyoumia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…