Muda wa kawaida wa tendo la ndoa ni dakika 3 mpaka 7, fantasy zinaua mahusiano na ndoa za watu

huwa nachezea 6-14 first score nipo kwenye kiwango gani
 
Kumekuchaaaa!!! [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Huyu dada ni mtu wa pwani,mapenzi ni somo kubwa sn upande huu and they take care it properly,ukimpata mtu km huyu inabidi ubadilishe mpk mlo wako chips and urojo ondoa Ktk lishe yako,unahitaji protein and kufanya mazoezi otherwise atakukimbia kwakua humfikishi,au aishi na ww tu kwakua unahela then kuna msela pembeni anapiga show ya ukweli
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…