Tetesi: Muda wowote kabla mwezi haujaisha Rais kutandika mkeka mpya, Mtanda ajiandae kisaikolojia!

kipara kipya

JF-Expert Member
Joined
May 2, 2016
Posts
18,833
Reaction score
23,276
Hizi ni habari za ndani pasi na shaka muda wowote kutafanyika mabadiliko ya watendaji wakuu wa mikoa, ni mabadiliko ya kawaida ila chanzo ni wengine kulewa madaraka na kuyatumia vibaya na kufanya utoto hao watakwenda na maji.

Angalizo:

Hatujui mabadiliko haya kama yanahusiana na mechi ya Pamba jijivs Simba ssc A.K.A wenye nchi!
 
Kweli mumempania Mtaka😂 mwana yanga imara
20241123_014529.jpg
 
Hizi ni habari za ndani pasi na shaka muda wowote kutafanyika mabadiliko ya watendaji wakuu wa mikoa,ni mabadiliko ya kawaida ila chanzo ni wengine kulewa madaraka na kuyatumia vibaya na kufanya utoto hao watakwenda na maji.
Angalizo:
Hatujui mabadiliko haya kama yanahusiana na mechi ya Pamba jijivs Simba ssc A.K.A wenye nchi!
Itapendeza sana.
 
Ugali umewadumaza Watanganyika mtu aondolewe kisa ma mipira daah mmesahau kabisa mabilioni yanayolipwa huko kwenye Mahakama za Nje na hamtaki kujadili hili ninyi na huyu alikua uwanjani au alikua Nje wiki nzima Wadumavu bhana..
 
Hizi ni habari za ndani pasi na shaka muda wowote kutafanyika mabadiliko ya watendaji wakuu wa mikoa,ni mabadiliko ya kawaida ila chanzo ni wengine kulewa madaraka na kuyatumia vibaya na kufanya utoto hao watakwenda na maji.
Angalizo:
Hatujui mabadiliko haya kama yanahusiana na mechi ya Pamba jijivs Simba ssc A.K.A wenye nchi!
Akiondolewa wewe utapata faida gani? Zaidi ya umasikini utazidi kumuandama Tu?
 
Ugali umewadumaza Watanganyika mtu aondolewe kisa ma mipira daah mmesahau kabisa mabilioni yanayolipwa huko kwenye Mahakama za Nje na hamtaki kujadili hili ninyi na hutu alikua uwanjani au alikua Nje..
Wewe ukijikita kujadili hayo inatosha sisi tuachie burudani kati kati ya shida!
 
Hizi ni habari za ndani pasi na shaka muda wowote kutafanyika mabadiliko ya watendaji wakuu wa mikoa,ni mabadiliko ya kawaida ila chanzo ni wengine kulewa madaraka na kuyatumia vibaya na kufanya utoto hao watakwenda na maji.
Angalizo:
Hatujui mabadiliko haya kama yanahusiana na mechi ya Pamba jijivs Simba ssc A.K.A wenye nchi!
Vili wala rushwa? nchi imejaaa wajinga sana hii, yaani Kutwa nzima ni Yanga na Simba, wajinga hawawazi jambo jingine lile
 
Wewe ukijikita kujadili hayo inatosha sisi tuachie burudani kati kati ya shida!
Mimi nipo kwenye mpira ila kitu ambacho haujui ni kuwa huyo ni Usalama wa Taifa kwa level ya Mkoa akitoka hapo ni Ubalozi nje huko hakuna kitu unamwombea njaa huyo ni Udumavu tu ndio unawafanya hivyo...hakuna kitu kibaya kama Udumavu wa Akili ndio janga la Taifa letu.
 
Anza kuhesabu hao wakuu wa mikoa waliopewa ubalozi ufikishe watano na ujuha wako usalama wa taifa umebana pua!
 
Back
Top Bottom