Isanga family
JF-Expert Member
- Feb 25, 2015
- 17,080
- 33,076
Jifunze kuandika ndio uzunguke Dunia hiyo Dunia ulikua unaongea Kinyakyusa ukiizunguka kiswahili kikusumbue kuandika uende sehemu ukagonge mkwaju kweli ninyi mnaona kila mtu wa kumdanganya...Wewe ndo hujaelewa,wewe ukiona vp tukana alafu kukulia mjini si ishu au si akili Mimi nimezaliwa Ubungu nimekulia TMK na naishi Dar hii na Nchi hii nimeikata na baadhi ya Nchi za duniani so tulia hivyo hivyo
TMK kwangu ni kijijini tu..