Tetesi: Muda wowote kabla mwezi haujaisha Rais kutandika mkeka mpya, Mtanda ajiandae kisaikolojia!

Tetesi: Muda wowote kabla mwezi haujaisha Rais kutandika mkeka mpya, Mtanda ajiandae kisaikolojia!

Kama kweli wewe ni baharia na sio mduanzi nitakualika kailicha na mainbeigh ukaone ufalme wangu na kizazi changu hatuna swaga za kujiweka mitandaoni!
Wakariri stori za vijiweni utawajuwa tu, huwezi kuishi sehemu hata majina yake huyajui.

Ni Khayelisha na Wynberg. Fuseeeki.
 
Hizi ni habari za ndani pasi na shaka muda wowote kutafanyika mabadiliko ya watendaji wakuu wa mikoa,ni mabadiliko ya kawaida ila chanzo ni wengine kulewa madaraka na kuyatumia vibaya na kufanya utoto hao watakwenda na maji.
Angalizo:
Hatujui mabadiliko haya kama yanahusiana na mechi ya Pamba jijivs Simba ssc A.K.A wenye nchi!


Nchi hii ilepitezwa uelekeo wake uliowekwa na watangulizi waliojenga misingi ya Taifa hili.

Miaka yote ya Mwanzo Wakuu wa Wilaya na mikoa walikua ni askari watiifu wa Majeshi yetu ya Ulinzi na usalama.

Hali hiyo ikabadilika sasa nafasi mpaka za kitaalamu na za uzoefu mkubwa kama za Wakurugenzi wanateuliwa Machawa na wasanii kama Stivin nyenyeRE
 
Hii tabia ya viongozi kutumia madaraka yao kuwakomoa wapinzani wao inafanyika sana dhidi ya vyama vya upinzani. Viongozi wa ccm wamenogewa na tabia hiyo, taratibu wanaana kuhamishia tabia hiyo kwenye soka. Si muda mrefu tutaanza kuona hata wachezaji wakitekwa kwa maagizo ya viongozi, kama wanavyoagiza wapinzani watekwe ma kupotezwa.


Lakini pia intelijensia ya wapinzani ipo very week.
Yaani wapinzani wamekua na wenyeviti wanaopenda fedha kuliko kuwekeza kwenye mikakati ya kisayansi ya kujenga vyama vyao katika mazingira magumu yaliyopo chini ya uovu unaofanywa na chama Dola .

Mfano . Yule mamluki wa serikali ya CCM aliyekua ameteka Mwanachama wa CHADEMA Kipindi cha Dr.Slaa na kudai kuwa kumchafua Mbowe kuwa aliwatuma kuteka watu.

Mbaya zaidi Chama kikashindwa kushtukia mchezo wa Dola kuhujumu upinzani matokeo yake wakakaa kimya bila kuwapeleka kwenye vyombo vya dola ili wafikishwe mahakamani na kueleza kwa usahihi nani yupo nyuma ya matukio hayo.


Kwa teknolojia ya sasa tulitegemea kuwe na watu wenye mpaka vifungo vya shati vyenye kamera kurikodi kila aina ya matukio ya uonevu ili baadae yawekwe kwenye historia na kuwajibisha wahusika wote.
 
Watu wa Simba mna kaswende ya ubongo, badala ya kuwekeza kwenye timu mnamuingiza Rais kwenye upuuzi.

Hebu tueleze lile goli la Pamba walilofunga na kukataliwa ni goli halali au siyo goli?
Halikuwa halali refa alitangulia kupuliza kipenga kabla haujapigwa kichwa!
 
Mimi nipo kwenye mpira ila kitu ambacho haujui ni kuwa huyo ni Usalama wa Taifa kwa level ya Mkoa akitoka hapo ni Ubalozi nje huko hakuna kitu unamwombea njaa huyo ni Udumavu tu ndio unawafanya hivyo...hakuna kitu kibaya kama Udumavu wa Akili ndio janga la Taifa letu.
Tafuta nchi ya wenye akili ili ujuike nao au hama nchi.
 
Unajua wakati mwingine sisi ni wapuuzi, tunapenda vitu vidogo vidogo sana issue kubwa hatuna mpango nazo, wiki nzima mkuu wa mkoa kosa hata halipo.. waacheni wateule wa rais wafanye kazi. Hapo chini mh. Mk alikuwa kwenye bench wakati mechi ikiendelea hatukusikia kelele za watu.. mwache mtanda afanye kazi mfamo pangetokea fujo then asiwepo
 

Attachments

  • FB_IMG_1732272190659.jpg
    FB_IMG_1732272190659.jpg
    46.2 KB · Views: 2
Back
Top Bottom