Tetesi: Muda wowote kabla mwezi haujaisha Rais kutandika mkeka mpya, Mtanda ajiandae kisaikolojia!

Hizi ni habari za ndani pasi na shaka muda wowote kutafanyika mabadiliko ya watendaji wakuu wa mikoa,ni mabadiliko ya kawaida ila chanzo ni wengine kulewa madaraka na kuyatumia vibaya na kufanya utoto hao watakwenda na maji.
Angalizo:
Hatujui mabadiliko haya kama yanahusiana na mechi ya Pamba jijivs Simba ssc A.K.A wenye nchi!

Huyu alijaribu kupindisha haki kesi ya ulawiti kwa vitisho na kutoa rushwa, amerudi tena kuwaletea fujo Simba. Ni mtumiaji mbaya wa madaraka aliyo nayo.
 
Kumbe ni mikosi kitambo!
 
Tuna kiongozi wa Hovyo sana.yani yeye kazi anayoiweza ni kuteua tu basi.Toka aingie hajawahi kutekeleza hata mradi mmoja duh! Huyu mama huyu!
 
Ugali umewadumaza Watanganyika mtu aondolewe kisa ma mipira daah mmesahau kabisa mabilioni yanayolipwa huko kwenye Mahakama za Nje na hamtaki kujadili hili ninyi na huyu alikua uwanjani au alikua Nje wiki nzima Wadumavu bhana..
Wewe baada ya kujadili na wenzako mmefikia wapi mpaka sasa!?
 
Hizi ni habari za ndani pasi na shaka muda wowote kutafanyika mabadiliko ya wsatendaji wakuu wa mikoa,ni mabadiliko ya kawaida ila chanzo ni wengine kulewa madaraka na kuyatumia vibaya na kufanya utoto hao watakwenda na maji.
Angalizo:
Hatujui mabadiliko haya kama yanahusiana na mechi ya Pamba jijivs Simba ssc A.K.A wenye nchi!
Lucas Mwashambwa jitayarishe, kashone Kaunda suit kabisa!
 
Mimi nipo kwenye mpira ila kitu ambacho haujui ni kuwa huyo ni Usalama wa Taifa kwa level ya Mkoa akitoka hapo ni Ubalozi nje huko hakuna kitu unamwombea njaa huyo ni Udumavu tu ndio unawafanya hivyo...hakuna kitu kibaya kama Udumavu wa Akili ndio janga la Taifa letu.
Acha ushamba usalama wa taifa unaona watu level ya juu Sana? Ni watt tu acha hizo jombaa Makonda alinyooshwa na mbwembwe zake sembuse huyu mshamba
 
Ugali umewadumaza Watanganyika mtu aondolewe kisa ma mipira daah mmesahau kabisa mabilioni yanayolipwa huko kwenye Mahakama za Nje na hamtaki kujadili hili ninyi na huyu alikua uwanjani au alikua Nje wiki nzima Wadumavu bhana..
Ugali unausingizia mkuu! Ingekuwa kweli unadumaza akili, Wasukuma wangekuwa hamnazo lakini sikia yanavyokimbiza darasani! Kama umewahi kukutana nayo!
 
Ugali siuzingizii mkuu wasukuma wanatusaidia nini kwenye kesi za mchongo tunazolipa mabilioni kila kukicha akili za kukariri theory sio akili nazohitaji maana mimi shule kwangu kati ya vitu virahisi nacho ni kimojawapo..
 
Tuna kiongozi wa Hovyo sana.yani yeye kazi anayoiweza ni kuteua tu basi.Toka aingie hajawahi kutekeleza hata mradi mmoja duh! Huyu mama huyu!
Hizi chuki sasa! Utakuwa na yako ww sio bure.
 
Acha ushamba usalama wa taifa unaona watu level ya juu Sana? Ni watt tu acha hizo jombaa Makonda alinyooshwa na mbwembwe zake sembuse huyu mshamba
Mkuu haujaelewa namaanisha nini pia mimi sipo kundi la kutukanana mazee watafute wasizwa wenzio wa lika lako maana sisi tuliokulia Mjini matusi sio kipaumbele chetu maana tumekua watu wakitukana daily..
 
Ugali siuzingizii mkuu wasukuma wanatusaidia nini kwenye kesi za mchongo tunazolipa mabilioni kila kukicha akili za kukariri theory sio akili nazohitaji maana mimi shule kwangu kati ya vitu virahisi nacho ni kimojawapo..
Kwani mkuu anayetuongoza sasa hivi huwa anakula ugali? Mwalimu Nyerere maisha yake yote alikuwa anakula ugali lakini unaona jinsi alivyokuwa anakimbiza? Hapo ndipo nilipokukatalia mkuu!
 
Mkuu Mwalimu muda mwingi alikua anashinda nje huko na pia hiyo Sembe walileta Wazungu kutudumaza tu hao USA wazalishaji wakubwa wa mahindi wao sio watumiaji wakubwa angalia Nchi wanazokula mtama kama Botswana harafu angalia maamuzi yao na sisi wala Sembe tulivyodumaa unalizungumzia Sembe baada ya kuwa viongozi mimi nazungumzia jinsi lilivyotudumaza toka utotoni..
 
Mkuu haujaelewa namaanisha nini pia mimi sipo kundi la kutukanana mazee watafute wasizwa wenzio wa lika lako maana sisi tuliokulia Mjini matusi sio kipaumbele chetu maana tumekua watu wakitukana daily..
Wewe ndo hujaelewa,wewe ukiona vp tukana alafu kukulia mjini si ishu au si akili Mimi nimezaliwa Ubungu nimekulia TMK na naishi Dar hii na Nchi hii nimeikata na baadhi ya Nchi za duniani so tulia hivyo hivyo
 
Back
Top Bottom