Tetesi: Muda wowote kabla mwezi haujaisha Rais kutandika mkeka mpya, Mtanda ajiandae kisaikolojia!

Tetesi: Muda wowote kabla mwezi haujaisha Rais kutandika mkeka mpya, Mtanda ajiandae kisaikolojia!

Hizi ni habari za ndani pasi na shaka muda wowote kutafanyika mabadiliko ya watendaji wakuu wa mikoa,ni mabadiliko ya kawaida ila chanzo ni wengine kulewa madaraka na kuyatumia vibaya na kufanya utoto hao watakwenda na maji.
Angalizo:
Hatujui mabadiliko haya kama yanahusiana na mechi ya Pamba jijivs Simba ssc A.K.A wenye nchi!
Yes/no
 
Ugali umewadumaza Watanganyika mtu aondolewe kisa ma mipira daah mmesahau kabisa mabilioni yanayolipwa huko kwenye Mahakama za Nje na hamtaki kujadili hili ninyi na huyu alikua uwanjani au alikua Nje wiki nzima Wadumavu bhana..
Pia kuna kampeni za uchaguzi wa serikali za mitaa zinaendelea.
Aibu sana mkuu.
 
Hizi ni habari za ndani pasi na shaka muda wowote kutafanyika mabadiliko ya watendaji wakuu wa mikoa,ni mabadiliko ya kawaida ila chanzo ni wengine kulewa madaraka na kuyatumia vibaya na kufanya utoto hao watakwenda na maji.
Angalizo:
Hatujui mabadiliko haya kama yanahusiana na mechi ya Pamba jijivs Simba ssc A.K.A wenye nchi!
Hii tabia ya viongozi kutumia madaraka yao kuwakomoa wapinzani wao inafanyika sana dhidi ya vyama vya upinzani. Viongozi wa ccm wamenogewa na tabia hiyo, taratibu wanaana kuhamishia tabia hiyo kwenye soka. Si muda mrefu tutaanza kuona hata wachezaji wakitekwa kwa maagizo ya viongozi, kama wanavyoagiza wapinzani watekwe ma kupotezwa.
 
Back
Top Bottom