Tetesi: Muda wowote kutoka sasa Iran ataishambulia Israel kabla ya uchaguzi wa Marekani November 5.

Tetesi: Muda wowote kutoka sasa Iran ataishambulia Israel kabla ya uchaguzi wa Marekani November 5.

enzo1988

JF-Expert Member
Joined
May 26, 2018
Posts
1,838
Reaction score
7,346
Habari za kuaminika kutoka vyanzo vikubwa vya habari duniani kuwa Iran itatekeleza ahadi yake ya kulipiza kisasi kwa nchi ya Israel kutoka sasa na kabla ya uchaguzi mkuu wa Marekani unaotarajiwa kufanyika November 5.

Iran preparing strike on Israel from Iraqi territory within days, Axios reports​

Iran preparing major retaliatory strike from Iraq within days, Israeli intel suggests​

iran-planning-attack-iraq

Iran to attack Israel within days – media​

Iran preparing to strike Israel from Iraqi territory, Khamenei orders preparations - report​

View: https://twitter.com/worldupdates245/status/1852063183218913594

View: https://twitter.com/worldupdates245/status/1852245731895026169

View: https://twitter.com/worldupdates245/status/1852060201504948390
 
Nawashauri wana wa Yakobo wakajifiche mahandakini ili wanusuru uhai wao. Mwajemi ameshaamua kukinukisha.

Hivi hao jamaa hawawezi kukaa meza moja na kuyamaliza kistaarabu bila kumwaga damu? Gundu hasa ni nani - Mwizraeli au Mwajemi?

Au ndiyo kusema Netanyahu na Ayatollah wana chuki binafsi - kuna nini wamenyang'anyana hao washari hapo Mashariki ya Kati?

Au tuseme Mwajemi hafurahii Mwizraeli kurafikishwa na Marekani, au labda Mwizraeli ndiye anamwonea gere Mwajemi kwa kujiunga na mrengo mpya wa BRICS kwa mbabe wao Mrusi na Mchina?

Mimi naagiza hao jamaa wasitishe mara moja harakati zao za kukomoana. La sivyo wote tutawahamishia sayari nyingine huko, tena kinguvu, wapende wasipende. Hatutaki kabisa vurugu, fujo na vitimbi duniani. Nasemaje - tumewachoka sasa hao jamaa!
 
Wachapane tu ..kwan nini
Lakini waache kulialia baada ya kuzidiwa hatutaki kelele za wamama nawatoto
 
Habari za kuaminika kutoka vyanzo vikubwa vya habari duniani kuwa Iran itatekeleza ahadi yake ya kulipiza kisasi kwa nchi ya Israel kutoka sasa na kabla ya uchaguzi mkuu wa Marekani unaotarajiwa kufanyika November 5.

Iran preparing strike on Israel from Iraqi territory within days, Axios reports​

Iran preparing major retaliatory strike from Iraq within days, Israeli intel suggests​

iran-planning-attack-iraq

Iran to attack Israel within days – media​

Iran preparing to strike Israel from Iraqi territory, Khamenei orders preparations - report​

View: https://twitter.com/worldupdates245/status/1852063183218913594

View: https://twitter.com/worldupdates245/status/1852245731895026169

View: https://twitter.com/worldupdates245/status/1852060201504948390

Hiyo imekaa vizuri. Mwajemi anataka kumlazimisha Iraqi aingie kwenye vita yake dhidi ya Israel kiujanja. Pamoja na kwamba Iraq anayo maamuzi yake, la msingi hapo ni wacha zipigwe lakini hatutaki kuisikia Mwajemi na maChawa wake kuja kulialia hapa kwamba anaua wanawake na watoto.
 
Back
Top Bottom