Muda wowote nitajiunga CHADEMA ya Lissu. Naona ni chama ambacho kitatukomboa Watanganyika

Idugunde

JF-Expert Member
Joined
May 21, 2020
Posts
7,748
Reaction score
10,288
Kitakuwa chama changu cha kwanza kujiunga.

Naipenda nchi yangu. Nahitaji kuwa na watu ambao wapo kwa ajili ya maslahi ya umma.

Sio watu kama Freeman Mbowe ambae alijali tumbo lake kuliko maslahi ya umma.
Nitawajulisha na kufanya press conference
 
Kiafkuwa chama changu cha kwanza kujiunga.

Naipenda nchi yangu. Nahitaji kuwa na watu ambao wapo kwa ajili ya maslahi ya umma.

Sio watu kama freeman Mbowe ambae alijali tumbo lake kuliko maslahi ya umma.

Nitawajulisha na kufanya press conference
Karibu sana CDM Ila ulitunyanyapaa sana kipindi kile.. Anyway mavi ya kale hayanuki na CDM hii sio ile
 
Kitakuwa chama changu cha kwanza kujiunga.

Naipenda nchi yangu. Nahitaji kuwa na watu ambao wapo kwa ajili ya maslahi ya umma.

Sio watu kama Freeman Mbowe ambae alijali tumbo lake kuliko maslahi ya umma.
Nitawajulisha na kufanya press conference
Chadema ya enzi za Lissu na Heche imekuwa bora sana.

Tulicheleweshwa mno
 
nonsense :NoGodNo:
 
Chadema ya enzi za Lissu na Heche imekuwa bora sana.

Tulicheleweshwa mno
Hawana ubora wowote ndo sana wamezidisha ukereketwa usio hata na faida, wamewanyima haki wanachama wao kuchaguliwa ubunge na udiwani na mbaya kwa matamko yao ya kukinukisha, ku asi na kuvuruga uchaguzi wamefanya wa Tanzania wenzetu wapoteze maisha na wala hao na viongozi waandamizi na jamaa zao wote walikuwa salama tu (Ref,Twaha Mwaipaja wanatoa hamasa wao wapo ughaibuni huko)

Leo hawana justification yoyote kuhoji chochote sababu hawakutaka kushiriki kwa lolote ktk kuwania uongozi wa nchi hii wamebaki kutia huruma kwa jamii na kulia lia ( natambua walikuwa na hoja na za msingi za kutaka mifumo ya uchaguzi ibadilike lkn kususia uchaguzi imekuwa pigo kwao) wasubirie baada ya miaka 5 tena kwa sasa hakuna namna, at least wangeomba mabadiliko wapo humo humo wakiwa wanapambana, now wamebaki kutegemea jumuiya ya kimataifa na baadhi ya taaisisi za kidini

Mbaya pia set up yao ya hovyo haina uwakilishi wa makundi yote ya kijamii ktk nchi hii ni kama chama cha mlengo wa imani moja ( hili ni tatizo lao la miaka na huwa hawaoni kwamba ni changamoto inayowarudisha nyuma kidogo na shida yao ujuaji na kujiona wao wana haki zaidi ktk nchi hii na kujiamini kwa kishamba hivi na kujiona wanapendeka)
 
55G
 
Nikikumbuka cdm ya 55G na

hii Mada yako imemuibua Tlaatlaa
 
Kitakuwa chama changu cha kwanza kujiunga.

Naipenda nchi yangu. Nahitaji kuwa na watu ambao wapo kwa ajili ya maslahi ya umma.

Sio watu kama Freeman Mbowe ambae alijali tumbo lake kuliko maslahi ya umma.
Nitawajulisha na kufanya press conference
Ili mradi usiwe afisa kipenyo siku mbili tu unatangaza migogoro na uongozi.
 
Mwaka 2025 unaongelea issue za ukombozi uko nyuma miaka 64😁😁😁😁😁
 
Kitakuwa chama changu cha kwanza kujiunga.

Naipenda nchi yangu. Nahitaji kuwa na watu ambao wapo kwa ajili ya maslahi ya umma.

Sio watu kama Freeman Mbowe ambae alijali tumbo lake kuliko maslahi ya umma.
Nitawajulisha na kufanya press conference
Pole sana kwa kuanzia kuumwa! Inasikitisha kuona wenzio wanapona we ndo unaanza ila ndo mambo.
 
Back
Top Bottom