Muda wowote nitajiunga CHADEMA ya Lissu. Naona ni chama ambacho kitatukomboa Watanganyika

Muda wowote nitajiunga CHADEMA ya Lissu. Naona ni chama ambacho kitatukomboa Watanganyika

Kitakuwa chama changu cha kwanza kujiunga.
We ni mwanaccm mwenzetu kindakindaki na kadi unayo nenda cdm kakimilishe vizuri kazi ya chama dume ccm ili cdm tuwazike kabisa!! Hatujasahau huyu mhaini alivyokuwa anapinga kila jema la kipenzi chetu mwendazake, hatujasahau hata majina mabaya aliyomwita kipenzi chetu, kama dikiteta uchwara mara tz hakujawahi tokea rais wa hovyo kama magufuli, yote haya tunayakumbuka vizuri!!!
 
Umeandika upuuzi
 
Karibu sana CDM Ila ulitunyanyapaa sana kipindi kile.. Anyway mavi ya kale hayanuki na CDM hii sio ile
2025 - 2030 Dr Samia Suluhu Hassan
2030 - 2040 - chuma kingine cha CCM
Nyie endeleeni kubwabwaji mitandaoni mtakufa mtaacha chama chetu cha CCM kipo madarakani. Kwasababu chadema ni kikundi cha panyaroad hamji shika madaraka kamwe!
 
CHADEMA. Chama pekee kilichobeba matumaini ya watanganyika na watanzania. Chama kinachotaka kujenga na kuinua misingi ya HAKI tz. CHADEMA ni mpango wa Mungu.
 
KIONGOZI SIO MTU WA KULALAMIKA NA KUJILIZA LIZA , KIONGOZI NI MTU ANAYEONESHA NJIA NA KUTOA SULUHISHO

N.B SAY NO DEMONSTRATION , PROTECT UR LIFE
 
Attachments

  • Screenshot_20251220-071210_1766204935841.jpg
    Screenshot_20251220-071210_1766204935841.jpg
    368.7 KB · Views: 14
Amani ni tunu yetu basi tuilinde kwa wivu mkubwa sana

epuka mambo yote ambayo yatakusababishia matatizo
 
Back
Top Bottom