Muda wowote nitajiunga CHADEMA ya Lissu. Naona ni chama ambacho kitatukomboa Watanganyika

Muda wowote nitajiunga CHADEMA ya Lissu. Naona ni chama ambacho kitatukomboa Watanganyika

Hawana ubora wowote ndo sana wamezidisha ukereketwa usio hata na faida, wamewanyima haki wanachama wao kuchaguliwa ubunge na udiwani na mbaya kwa matamko yao ya kukinukisha, ku asi na kuvuruga uchaguzi wamefanya wa Tanzania wenzetu wapoteze maisha na wala hao na viongozi waandamizi na jamaa zao wote walikuwa salama tu (Ref,Twaha Mwaipaja wanatoa hamasa wao wapo ughaibuni huko)

Leo hawana justification yoyote kuhoji chochote sababu hawakutaka kushiriki kwa lolote ktk kuwania uongozi wa nchi hii wamebaki kutia huruma kwa jamii na kulia lia ( natambua walikuwa na hoja na za msingi za kutaka mifumo ya uchaguzi ibadilike lkn kususia uchaguzi imekuwa pigo kwao) wasubirie baada ya miaka 5 tena kwa sasa hakuna namna, at least wangeomba mabadiliko wapo humo humo wakiwa wanapambana, now wamebaki kutegemea jumuiya ya kimataifa na baadhi ya taaisisi za kidini

Mbaya pia set up yao ya hovyo haina uwakilishi wa makundi yote ya kijamii ktk nchi hii ni kama chama cha mlengo wa imani moja ( hili ni tatizo lao la miaka na huwa hawaoni kwamba ni changamoto inayowarudisha nyuma kidogo na shida yao ujuaji na kujiona wao wana haki zaidi ktk nchi hii na kujiamini kwa kishamba hivi na kujiona wanapendeka)
umewapimaje kusema "hawana ubora wowote"? ulivo mpumbavu unaona fursa ya kugombea tu kwa kufata sheria zilezile mbaya za uchaguzi then utegemee changes? Wacha nikiambie kitu wewe kijana ulokosa akiri na lisara yako nsefu ya kijinga, yaani hata chadema wangekubali kusign zile sheria na kipumbavu za uchaguzi, Samia angejipa ushindi haramu wa hata 100%, na that was the plan, mifumo yote na sheria zote za sasa za uchaguzi hazimruhusu wananchi kuchagua serikali, bali kamati na ccm NEC ndio inaamua nani aingie na nani atoke. Sasa hiyo ni serikali ya nchi au genge la wezi?then wewe kiazi unakazi ya kutaja tu kugombea uchoshe wananchi kukupigia kura ambazo zitakua nyingi but zitatangazwa za yule NEC wanaemtaka? mknd wako[emoji34]
 
Sorry nachelewa kujibu japokuwa umenitusi lkn sio neno

Wangekuwa na ubora huo wangeanza kujenga chama cha kumfanya kila Mtanzania ajihisi ana nafasi fulani katika chama chao hicho hata kama wanacho pigania ni vitu vyema na vya maana kwa wote lkn set up yao mbovu ina ukanda na udini ( angalia structure yote ya viongozi wao waandamizi ni wa dini moja na mostly ni Christians na ndo maana kwao ilikuwa rahisi wakigombana wao kwa wao eti viongozi wa dini hasa RC ndo watu wa kusuluhisha )
kwa mazingira ya nchi hii ilivyo hii tu inawapunguzia huo uaminikaji na ubora wao hata kama hoja zipo sawa ( maana watu wengine na ni wengi tu wanaangalia pia imani zao kwa mfumo wa uongozi ktk vyama na hili CCM wamejitahidi kufanya ni chama kinabeba imani za watu wote hata kama wana mapungufu yao na huo uchakavu wa mipango na sera zao lakini kwa hili wapo vizuri na kwa mazingira ya nchi yetu hii ilivyo kaa sio suala la kubeza kwa hivyo vyama vingine)

Hayo ya tume sijui nini ni mifumo ya upigaji kura inatakiwa kusemewa na makundi yote ya jamii na wote tunakubaliana katiba hii haitoi ufumbuzi wa changamoto hizi za kisasa na ndo maana kila mdau anatakiwa kupambania katiba mpya au inayoendana na Dunia ya kisasa sio suala la chama fulani tu ( japokuwa wao watu wa vyama wana platform zaidi ya kulisemea)
 
Back
Top Bottom