King Nkondo
JF-Expert Member
- Jan 1, 2023
- 2,374
- 3,311
We ni mwanaccm mwenzetu kindakindaki na kadi unayo nenda cdm kakimilishe vizuri kazi ya chama dume ccm ili cdm tuwazike kabisa!! Hatujasahau huyu mhaini alivyokuwa anapinga kila jema la kipenzi chetu mwendazake, hatujasahau hata majina mabaya aliyomwita kipenzi chetu, kama dikiteta uchwara mara tz hakujawahi tokea rais wa hovyo kama magufuli, yote haya tunayakumbuka vizuri!!!Kitakuwa chama changu cha kwanza kujiunga.
Umeandika upuuziWe ni mwanaccm mwenzetu kindakindaki na kadi unayo nenda cdm kakimilishe vizuri kazi ya chama dume ccm ili cdm tuwazike kabisa!! Hatujasahau huyu mhaini alivyokuwa anapinga kila jema la kipenzi chetu mwendazake, hatujasahau hata majina mabaya aliyomwita kipenzi chetu, kama dikiteta uchwara mara tz hakujawahi tokea rais wa hovyo kama magufuli, yote haya tunayakumbuka vizuri!!!
2025 - 2030 Dr Samia Suluhu HassanKaribu sana CDM Ila ulitunyanyapaa sana kipindi kile.. Anyway mavi ya kale hayanuki na CDM hii sio ile
Kimebeba matusi na upotoshajiCHADEMA. Chama pekee kilichobeba matumaini ya watanganyika na watanzania. Chama kinachotaka kujenga na kuinua misingi ya HAKI tz. CHADEMA ni mpango wa Mungu.
https://www.facebook.com/CHADEMA. Chama pekee kilichobeba matumaini ya watanganyika na watanzania. Chama kinachotaka kujenga na kuinua misingi ya HAKI tz. CHADEMA ni mpango wa Mungu.
Ingekuwa tangu kitambo,nchi ingekuwa imeshakombolewa mapema sana. Maana CDM ya Lissu na Heche wanamaanisha!Chadema ya enzi za Lissu na Heche imekuwa bora sana.
Tulicheleweshwa mno
They mean and they know their HomeworkIngekuwa tangu kitambo,nchi ingekuwa imeshakombolewa mapema sana. Maana CDM ya Lissu na Heche wanamaanisha!