Muda wowote nitajiunga CHADEMA ya Lissu. Naona ni chama ambacho kitatukomboa Watanganyika

umewapimaje kusema "hawana ubora wowote"? ulivo mpumbavu unaona fursa ya kugombea tu kwa kufata sheria zilezile mbaya za uchaguzi then utegemee changes? Wacha nikiambie kitu wewe kijana ulokosa akiri na lisara yako nsefu ya kijinga, yaani hata chadema wangekubali kusign zile sheria na kipumbavu za uchaguzi, Samia angejipa ushindi haramu wa hata 100%, na that was the plan, mifumo yote na sheria zote za sasa za uchaguzi hazimruhusu wananchi kuchagua serikali, bali kamati na ccm NEC ndio inaamua nani aingie na nani atoke. Sasa hiyo ni serikali ya nchi au genge la wezi?then wewe kiazi unakazi ya kutaja tu kugombea uchoshe wananchi kukupigia kura ambazo zitakua nyingi but zitatangazwa za yule NEC wanaemtaka? mknd wako[emoji34]
 
Sorry nachelewa kujibu japokuwa umenitusi lkn sio neno

Wangekuwa na ubora huo wangeanza kujenga chama cha kumfanya kila Mtanzania ajihisi ana nafasi fulani katika chama chao hicho hata kama wanacho pigania ni vitu vyema na vya maana kwa wote lkn set up yao mbovu ina ukanda na udini ( angalia structure yote ya viongozi wao waandamizi ni wa dini moja na mostly ni Christians na ndo maana kwao ilikuwa rahisi wakigombana wao kwa wao eti viongozi wa dini hasa RC ndo watu wa kusuluhisha )
kwa mazingira ya nchi hii ilivyo hii tu inawapunguzia huo uaminikaji na ubora wao hata kama hoja zipo sawa ( maana watu wengine na ni wengi tu wanaangalia pia imani zao kwa mfumo wa uongozi ktk vyama na hili CCM wamejitahidi kufanya ni chama kinabeba imani za watu wote hata kama wana mapungufu yao na huo uchakavu wa mipango na sera zao lakini kwa hili wapo vizuri na kwa mazingira ya nchi yetu hii ilivyo kaa sio suala la kubeza kwa hivyo vyama vingine)

Hayo ya tume sijui nini ni mifumo ya upigaji kura inatakiwa kusemewa na makundi yote ya jamii na wote tunakubaliana katiba hii haitoi ufumbuzi wa changamoto hizi za kisasa na ndo maana kila mdau anatakiwa kupambania katiba mpya au inayoendana na Dunia ya kisasa sio suala la chama fulani tu ( japokuwa wao watu wa vyama wana platform zaidi ya kulisemea)
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…