Hivi Zbr wana Mufti wao kwanini huyu anajiita Mufti wa Tanzania kwanini asijiite Mufti wa Tanganyika“Leo April 09,2024 nimepokea taarifa za mwezi kuandama kutoka Mombasa na Lamu Kenya na pia Pemba Visiwani Zanzibar na Ofisi ya Mufti Zanzibar imethibitisha, hivyo Mimi kama Mufti wa Tanzania nathibitisha kuandamana kwa mwezi na kesho April 10,2024 itakuwa ni Eid Al Fitr niwatakie Eid njema”
Hivi kwelii jumatano na alhamis umepiga jaga zako za kutosha , halafu ijumaa moja nanusu unatakiwa mzigoni 🙆🏽♂️Mtumishi tulia
Sikukuu j5 & Alhamis.. Ijumaa unarudi kupiga kazi 🤣
Ndio nafuu yako, Ijumaa unaweza kusingizia msiba wa jirani yako wa zamaniMufti kachana mkeka 😂😂
Karibu sana Bro.Hatualikani Dada yangu?
Wewe huoni mguu ulivyokakamaa?😁😁Kwani hiyo picha ni ya mwanaume?
Awa wameforce Leo hakuna Mwezi ataWatu tumeshajikoki tayari kufinya cha mtume, hao bakwata bado tu wanajimumunya?
---
Mufti na Sheikh Mkuu wa Tanzania, Sheikh Abubakar Zubeir Ally amethibitisha kuandama kwa mwezi leo April 09,2024 ambapo amesema kesho April 10,2024 ni Sikukuu ya Eid Al Fitr.
“Leo April 09,2024 nimepokea taarifa za mwezi kuandama kutoka Mombasa na Lamu Kenya na pia Pemba Visiwani Zanzibar na Ofisi ya Mufti Zanzibar imethibitisha, hivyo Mimi kama Mufti wa Tanzania nathibitisha kuandamana kwa mwezi na kesho April 10,2024 itakuwa ni Eid Al Fitr niwatakie Eid njema”
Picha tu mkuu wangu nimechukua Mtandaon mguu wenyewe wa Dem huo afsaa wangu😂Kwa nini bro unavaa kikuku mguuni? Hivi inakubalika kwa mwanaume kweli?
Una akili timamu?Awa wameforce Leo hakuna Mwezi ata
Mbona umeisha mapema hivi duh ungesogea Kodogo jamani angalau mpk mwezi huu uisheAlhamdulillah huku kwetu tayari msikitini ni Takbeerat Al Eid inasikika sasa hivi.
Cha Mtume uhakika kesho.
Picha ya Dem bhana afsaa hyo niliyowekaa c mm 😂😂😂Kwani hiyo picha ni ya mwanaume?
😂😂😂😂😂😂😂Acha uongo ,mguu wa kikeeWewe huoni mguu ulivyokakamaa?😁😁
Mwezi umeonekana kote duniani Jana tarehe 8 April 2024. Je huu wa Leo ni WA Dunia gani. Imebidi watangaze tu Ili kuficha aibu ya dini Bado Ina mambo ya kale ya kuangalia mwezi angani wakati Dunia ya Sasa inaendeshwa Kwa Sayansi na teknolojia.Awa wameforce Leo hakuna Mwezi ata
Mkuu punguza uvivu🤣.Bora iwe alkhamis, wengine tupate mapumziko mpaka jumatatu.
Shukran, nitakuja InshallahKaribu sana Bro.