Mufti athibitisha kuandama kwa mwezi Eid kesho, kesho April 10,2024

Mufti athibitisha kuandama kwa mwezi Eid kesho, kesho April 10,2024

“Leo April 09,2024 nimepokea taarifa za mwezi kuandama kutoka Mombasa na Lamu Kenya na pia Pemba Visiwani Zanzibar na Ofisi ya Mufti Zanzibar imethibitisha, hivyo Mimi kama Mufti wa Tanzania nathibitisha kuandamana kwa mwezi na kesho April 10,2024 itakuwa ni Eid Al Fitr niwatakie Eid njema”
Hivi Zbr wana Mufti wao kwanini huyu anajiita Mufti wa Tanzania kwanini asijiite Mufti wa Tanganyika
 
Mtumishi tulia
Sikukuu j5 & Alhamis.. Ijumaa unarudi kupiga kazi 🤣
Hivi kwelii jumatano na alhamis umepiga jaga zako za kutosha , halafu ijumaa moja nanusu unatakiwa mzigoni 🙆🏽‍♂️
 
Eid Mubarak, angalieni msije kula hadi wengine wakafa
 
  • Kicheko
Reactions: 511
Nawatakia waislamu wote Eida njema.
Waishi maisha ya kumpendeza Mungu kama walivyo kuwa kwwnye Mwezi wa Ramadan.
Wanawake walikuwa wanavaa mavazi ya heshima basi waendelee.
 
Watu tumeshajikoki tayari kufinya cha mtume, hao bakwata bado tu wanajimumunya?
---
Mufti na Sheikh Mkuu wa Tanzania, Sheikh Abubakar Zubeir Ally amethibitisha kuandama kwa mwezi leo April 09,2024 ambapo amesema kesho April 10,2024 ni Sikukuu ya Eid Al Fitr.

“Leo April 09,2024 nimepokea taarifa za mwezi kuandama kutoka Mombasa na Lamu Kenya na pia Pemba Visiwani Zanzibar na Ofisi ya Mufti Zanzibar imethibitisha, hivyo Mimi kama Mufti wa Tanzania nathibitisha kuandamana kwa mwezi na kesho April 10,2024 itakuwa ni Eid Al Fitr niwatakie Eid njema”
Awa wameforce Leo hakuna Mwezi ata
 
Alhamdulillah huku kwetu tayari msikitini ni Takbeerat Al Eid inasikika sasa hivi.

Cha Mtume uhakika kesho.
Mbona umeisha mapema hivi duh ungesogea Kodogo jamani angalau mpk mwezi huu uishe
 
Awa wameforce Leo hakuna Mwezi ata
Mwezi umeonekana kote duniani Jana tarehe 8 April 2024. Je huu wa Leo ni WA Dunia gani. Imebidi watangaze tu Ili kuficha aibu ya dini Bado Ina mambo ya kale ya kuangalia mwezi angani wakati Dunia ya Sasa inaendeshwa Kwa Sayansi na teknolojia.
 
IMG-20240409-WA0005.jpg
 
Back
Top Bottom