Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
2010 Sheikh Ponda alivyompigia kura muislamu mwenzake Kikwete,je hakumwambia shida za waislamu?Hawa mashekh wanafiki wa BAKWATA wanamfanyia hujuma JPM kwa makusudi kwa kuacha kugusia kero za waislamu
Yule ponda anasema wazi wazi kero za waislam na kuvuta hisia zao
Waislamu wengi watapigia kura Lissu
Labda wewe ulikua husikii kwa sababu unasubiri TBC ikuonyesheHalafu watu mlioshikilia issue ya masheikh kipindi hiki naona kama wanafki tu,kwa sababu waislamu wamekuwa wakilalamika masuala mengi tu na kwa muda mrefu ila wanaishia kuambiwa hawana elimu na hupenda kulalamika na kuonekana wanataka kileta machafuko tu,ila sasa et kipindi cha kampeni ndio zinaletwa issue za masheikh wa uamsho na wakati huko nyuma tulikuwa tunaambiwa wale masheikh walikuwa wanafanya machafuko na ndio baada ya wao kukamatwa na uhalifu uliyokuwa ukifanyika umetoweka hivyo serikali imewachikilia kwa sababu za kiusalama hivyo wako sahihi.
Kwani hujasikia kuna mashehe wamefungwa Mtwara, Arusha, Mwanza nk hao ni mashehe wa uamusho kutoka Zanzibar?Zanzibar kuna Bakwata?
Wakati huo 2010 tulikua hatuna kero kama Sasa2010 Sheikh Ponda alivyompigia kura muislamu mwenzake Kikwete,je hakumwambia shida za waislamu?
Mufti mbinafsiMufti Mkuu leo amepewa heshima ya kufunguwa kwa duwa mkutano wa kampeni wanmgombea urais wa ccm na kabla ya kuanza duwa amesema ana mawili kwanza kabla ya duwa.
1. Kukanusha waislamu hawana udini ( hili linahitaji mjadala wake)
2. Amemuomba Magufuli barabara ya kwao imezidi kuwa mbaya vumbi tupu.
Sasa najenga hoja yangu maajabu ya Mufti ni yepi?
Kama kweli huyu Mufti ni sheikh kweli kwa fursa aliyoipata leo kama mufti wa waislamu, leo ndio ilikuwa siku ya masheikh wa Uamsho kuachiwa huru.
Ombi hili angelitowa pale hadharani Mufti angesikilizwa na Rais, lakini kwakuwa Bakwata si chombo cha kutetea waislamu Mufti ametowa ombi la kujengewa barabara ya kwenda kijijini kwao.
Huyu ndio kiongozi mkuu wa Waislamu, huu ni msiba mzito.
Hii misukule ya ccm ni shida kabisa.Kwani hujasikia kuna mashehe wamefungwa Mtwara, Arusha, Mwanza nk hao ni mashehe wa uamusho kutoka Zanzibar?
Aisee we umezaliwa mwaka gani?Wakati huo 2010 tulikua hatuna kero kama Sasa
Wakati wa Jakaya shule za kiislamu hazikua zikichomwa wala hakuna aliokua jela kwa ugaidi
Akina kinana. Nape. Makamba. Mtambila. Msekwa. Ngudazi n.,k waliopigia kampeni CCM kabla, hata wao wapo kimya maana JPM sio muadilifu na amewaaibisha hadi makada wa chama
Kura yako kwa lissu kiongozi muadilifu
Tunakwenda kumalizana na ccm tarehe 28.Labda wewe ulikua husikii kwa sababu unasubiri TBC ikuonyeshe
Ukweli ni kwamba
Kila siku ya ijumaa misikiti yote tunachanga hela kwa ajili ya wao na Familia zao isipokua misikiti ya BAKWATA
Kila ijumaa tunapata marejesho ya mateso makali wanayopewa jela
Kila ijumaa tunapata marejesho kuhusu barua tulizowaandikia viongozi wa serikali
Wewe huna Habari labda wewe ni muuminiin wa BAKWATA na Muft
Nani kakwambia wanashikiliwa kwa sababu za kiusalama?
Watu wa nazungumza Sana wakati wa kampeni kwa sababu kuna mgombea ameonyesha uadilifu anasikutishwa na dhulma hizo
Na kuna wengine hawasemi kitu wapo kimya kama vile hakuna kitu
Afadhali wangekiri au kukanusha
Sisi waislamu wa haki kura zetu kwa Lissu
Waislamu wanafiki kura kwa katili
Huyu si muft wetu huyu ni muft wa BAKWATA tu wewe endelea na ibada zako wanafiki wasikuyumbisheHili Mufti letu nalo Jinga kweli mm ndio maana nilishaacha mambo ya dini naona ujinga
Kama Viongizi wenyewe ndio hawa kweli utegemee haki ipatikane ?
Sio kisheria sema kimazoea na kisiasa!Kisheria Mufti ni kiongozi wa waislamu wote Tanzania.
Uamsho ni movement tu ndani uislamu.
Ni kama wanakarismati au wanamaombi ndani ya kanisa katoliki.
Huu ni ushahidi tosha ccm bado hamyajui madai wala matatizo ya waislamu.
Kwa hili la leo umma wa kiislamu Tanzania utazidi kumuunga mkono Sheikh Ponda kwa sababu hasimami kwenye batili bali haki.
Huwa wanasema muislam ndugu yake muislam, kwa hilo tu bado alikuwa na dhamana ya kuwasemea si tu waislam bali wale ni Masheikh wenzie.Bwashee, Uamsho hawako chini ya Bakwata!