Dr Matola PhD
JF-Expert Member
- Oct 18, 2010
- 60,050
- 104,466
- Thread starter
- #61
Wapo ndani kwa kesi gani? Mbona hawahukumiwi?Wale wapo ndani kama wahalifu wengine na si kwa sbb ni mashekhe wa uamsho. Na kama walitenda makosa hayo kwa kivuli cha dini. Hyo haitoi unafuu wowote kwao. Tunachoamini sisi uwepo wao ndani huku nje jamii yetu imekaa kwa amani.