residentura
JF-Expert Member
- Mar 1, 2017
- 8,146
- 11,434
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Waislamu tuamkeni ...huyu si wa kututetea sisi...
Sheikh Ponda kashasema ukweli...twende na Lissu.
Teh teh tehMkuu mrangi ,anatumia F.E kama yako?
Mufti mtaalam kitambo sanaTisiii waganga wa kienyeji ambao hawana hata shule?
Hiyo ni Tisii ya CCM,si ile niijuayo mimi.
Hilo nalijuaa.Mufti mtaalam kitambo sana
Na kwake wkt yuko ufipa walikuwa wanakja watu mbali mbali Wanasiasa,wafanyabiashara wakubwa,Ma model,wanamichezo etc
Ova
Sent from my SM-N920T using JamiiForums mobile app
Sasa kutoka kwenye gx100 ile nyeupe sahv mtu yuko kwenye v8 wkt mwingine ile ford E,eh alafu kna amazon imepaki tu unafanya masihara
Ndivyo CCM inavyotaka kuwafanya muelewe hivyo. Niambie kiongozi mmoja tu wa Bakwata ambaye hajaenda shuleTisiii waganga wa kienyeji ambao hawana hata shule?
Hiyo ni Tisii ya CCM,si ile niijuayo mimi.
Hii post ilipaswa kuwa na thread ya peke yake lakini nashangaa kwa nini Mods wameunganisha Uzi wako.Wewe ni Mufti wa Tanzania lakini pia hapo hapo Wewe ni Kiongozi Mkuu wa Kiimani nchini Tanzania bila kujali hata Sisi akina Gentamycine ambaye ni Mkristo tena wa 'Dhehebu' la Katoliki kabisa. Nakuheshimu Wewe ( japo ni Muislamu ) kama vile ninavyomuamini Kadinali wangu wa Ukatoliki nchini. Na nimesikitika pia kuona Watu wako wa Karibu 'hawakukushauri' katika hili.
Kitendo chako Mufti cha kupewa nafasi ya Kuzungumza mbele ya Mkuu wa nchi huko Tanga kisha 'Ukakemea' Kauli za 'Udini' zilizooneshwa Juzi na Jana na Kiongozi Mmoja wa Kiislamu Sheikh Ponda kisha hapo hapo na Wewe ukaanza Kuomba Msaada wa Ujenzi wa Barabara huko Mkoani Tanga huku ukiwananga wasiompenda Mgombea Urais wa CCM na Kumsifia ni Kosa Kubwa.
Gentamycine sikatai Wewe ( Nyie ) Viongozi Wakuu tena wa Kitaifa wa hizi 'Dini' Kuu mbili hapa Tanzania za Uislamu na Ukristo kuwa na 'Itikadi' zenu za 'Kisiasa' ila kuziweka hadharani sidhani kama ni Jambo jema kwani linaweza 'Kuwagawa' Watu wenu na hata kuanzisha 'Mitafaruku' mingine ya Kiimani ( Kidini ) nchini. Acheni kupenda 'Kuwalamba' Miguu 'Wanasiasa' Mungu hakuwatumeni muwe hivyo.
Nimesikitika sana kwa ulichokifanya japo Mimi ni mwana CCM na ninamkubali sana Mgombea wangu Ndugu Dkt. John Pombe Magufuli ila kuonyesha Kwako wazi wazi kuwa 'Unamkubali' hadi Kumpigia 'Chapuo' vile sikubaliani nacho na kama wana CCM Wenzangu hapa JamiiForums 'mtanichukia' Gentamycine kwa hili naamini Mwenyezi Mungu juu Mbinguni atanipenda zaidi.
Kila Siku nyie Viongozi Wakuu wa Kidini nchini Tanzania huwa 'mnatukanya' Watanzania kuingiza 'Udini' katika 'Siasa' ila cha 'Kushangaza;' nyie Viongozi Wakuu wa Kidini ndiyo mnakuwa wa Kwanza 'Kuvuruga' huu ( huo ) utaratibu na Kutuonyesha ( Kututhibitishia ) kuwa si tu mna 'Unafiki' uliotukuka bali pia hamlitakii 'mema' kabisa Taifa hili na Ustawi wake wa Amani yake.
Ili Mufti Mkuu wa Tanzania nikuone na nikuamini kuwa Wewe si Mufti Mkuu wa Tanzania na Chama changu Cha Mapinduzi ( CCM ) nakuomba Kesho nikuone pia katika Mkutano wa Mgombea wa CHADEMA Tundu Lissu, nikuone pia katika Mikutano ya Wagombea akina Lipumba wa CUF na wa Seif Sharrif Hamad wa ACT-Wazalendo hadi na Wagombea wengineo wote.
Kukipenda mno Chama changu cha CCM na Mgombea wake Urais JPM haimaanishi nikiona Jambo la 'Kipumbavu' basi nilinyamazie tu. Nimekereka!
Usijali Mkuu 'naheshimu' na nakuomba pia nawe 'uheshimu' huu 'utaratibu' au 'maamuzi' ya JF Moderators 'Kuunganisha' huu 'Uzi' wangu ile Jana.Hii post ilipaswa kuwa na thread ya peke yake lakini nashangaa kwa nini Mods wameunganisha Uzi wako.
Hata hivyo kuhusu viongozi uchwara wa dini wasikushangaze, wanakemea vitendo vya upinzani na kunyamazia vitendo vya CCM. Wapuuzi wenzao wanakuja kuwatetea humu eti haipaswi kuchanganya dini na siasa.
Basi Jukwaa la Siasa si jukwaa lako utembelealo mara kwa mara.Jf Nina miaka 8,humu hatujuani Mzee
Wote hawana shuleNdivyo CCM inavyotaka kuwafanya muelewe hivyo. Niambie kiongozi mmoja tu wa Bakwata ambaye hajaenda shule
Hilo halina ubishi maalim tupo na mwenzetu sheikh Ponda sio hao mabwanyenye wanaotafutiwa pesa za mfalme wa Morocco sisi tunachangishana michango ya kwenye kofia.Hawa mashekh wanafiki wa BAKWATA wanamfanyia hujuma JPM kwa makusudi kwa kuacha kugusia kero za waislamu
Yule ponda anasema wazi wazi kero za waislam na kuvuta hisia zao
Waislamu wengi watapigia kura Lissu
Wote masheikh wa BAKWATA darasa la saba kwa mbindeNdivyo CCM inavyotaka kuwafanya muelewe hivyo. Niambie kiongozi mmoja tu wa Bakwata ambaye hajaenda shule
Mimi sio Muslim ,ila ninachojua Bakwata ndio chombo kinachotambulika na serikali yetu