Nchi inaongozwa kwa sheria sio '…ninavyojua…'
Mimi sio Muslim ,ila ninachojua Bakwata ndio chombo kinachotambulika na serikali yetu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mimi sio Muslim ,ila ninachojua Bakwata ndio chombo kinachotambulika na serikali yetu
Mufti labda kinachomletea mkanganyiko ni hiyo huduma ambayo amekuwa akitoa tokea zamani Kabla hajawa MuftiKuna viumbe ka uamusho kazi yao ni kutengeneza mitafaruku, mfano kukifundisha wewe kuichukia bakwata etc, kukufundisha kumchukia mkristu etc
Sawa Mzee wangu nimekuelewa, Je wewe ni Muslim ?Nchi inaongozwa kwa sheria sio '…ninavyojua…'
Hawa watu wapo tangu enzi za kikwete, Magufuli amewakutaHizo ni shutuma hata Mandela alikaa jela bila kupelekwa mahakamani kwa tuhuma za ugaidi
Of course hakuna mtu anataka tuishi na magaidi ambao Mara nyingi wanalipua waumini misikitini
Sisi waislamu wa haki kilio chettu kwa serikali,,, wapelekeni mahakamani na kama kuna ushahidi wahukumiwe kwa mujibu wa sheria na kama ni visingizio basi waachiwe
Mashekh waliopo jela si wa uamsho tu
Karibu kila mkoa kuna mamia ya mashekh wamekamatwa kwa tuhuma za ugaidi
Je unaweza kuamini kwa kipindi cha miaka mitano Tanzania pamekamatwa watu wengi kwa tuhuma za ugaidi kuliko Afghanistan?
Huyu magufuli jamani ni katili Sana
Mungu amlaani
Magufuli amewakuta 72 tu ambao walikamatwa na SMZ.... kuanzia mwaka 2016 karibu kila mkoa mashekh wamekamatwa kwa "mamia kwa tuhuma za ugaidiHawa watu wapo tangu enzi za kikwete, Magufuli amewakuta
Inn shaa AllahSheikh Ponda Issa Ponda is the only one who can defend the rights of Muslims openly, he is the true leader to lead “ Inshallah God will save the right side against dark side “
Inn shaa Allah
Even if munafiquun will hate it
انا لله وانا اليه راجعوانMufti Mkuu leo amepewa heshima ya kufungua kwa Dua mkutano wa kampeni wa mgombea urais wa CCM na kabla ya kuanza dua amesema ana mambo mawili;
1. Kukanusha kile kinachodaiwa kuwa Waumini wa Dini ya Kiislam wana udini. ( hili linahitaji mjadala wake)
2. Amemuomba Dkt.Magufuli ajenge barabara ya kwao kwani imezidi kuwa mbaya na yenye vumbi.
Sasa najenga hoja yangu maajabu ya Mufti ni yapi?
Kama kweli huyu Mufti ni sheikh kweli kwa fursa aliyoipata leo kama mufti wa waislamu, leo ndio ilikuwa siku ya masheikh wa Uamsho kuachiwa huru.
Ombi hili angelitoa pale hadharani Mufti angesikilizwa na Rais, lakini kwakuwa Bakwata si chombo cha kutetea waislamu Mufti ametoa ombi la kujengewa barabara ya kwenda kijijini kwao.
Huyu ndio kiongozi mkuu wa Waislamu, huu ni msiba mzito.
Inna lillahi waa inna Ilayhi rajiuunانا لله وانا اليه راجعوان
ان لله وانا اليه راجعونInna lillahi waa inna Ilayhi rajiuun
Big Up Sheikh ponda maana umewatoa WANAFIKI wa BAKWATA shimoni.Mufti Mkuu leo amepewa heshima ya kufungua kwa Dua mkutano wa kampeni wa mgombea urais wa CCM na kabla ya kuanza dua amesema ana mambo mawili;
1. Kukanusha kile kinachodaiwa kuwa Waumini wa Dini ya Kiislam wana udini. ( hili linahitaji mjadala wake)
2. Amemuomba Dkt.Magufuli ajenge barabara ya kwao kwani imezidi kuwa mbaya na yenye vumbi.
Sasa najenga hoja yangu maajabu ya Mufti ni yapi?
Kama kweli huyu Mufti ni sheikh kweli kwa fursa aliyoipata leo kama mufti wa waislamu, leo ndio ilikuwa siku ya masheikh wa Uamsho kuachiwa huru.
Ombi hili angelitoa pale hadharani Mufti angesikilizwa na Rais, lakini kwakuwa Bakwata si chombo cha kutetea waislamu Mufti ametoa ombi la kujengewa barabara ya kwenda kijijini kwao.
Huyu ndio kiongozi mkuu wa Waislamu, huu ni msiba mzito.
Mwanzoni wewe kiumbe nlikua sikuelewi elewi. Ila nowdays naanza kukuelewa. Inaonekana ushabiki maandazi kwako ni mwiko. Haka kadada katupu kichwani ambako hakajui shirika la maendeleo la Taifa NDC ni nini Jane Lowassa kaje kajifunze toka kwakoWewe ni Mufti wa Tanzania lakini pia hapo hapo Wewe ni Kiongozi Mkuu wa Kiimani nchini Tanzania bila kujali hata Sisi akina Gentamycine ambaye ni Mkristo tena wa 'Dhehebu' la Katoliki kabisa. Nakuheshimu Wewe ( japo ni Muislamu ) kama vile ninavyomuamini Kadinali wangu wa Ukatoliki nchini. Na nimesikitika pia kuona Watu wako wa Karibu 'hawakukushauri' katika hili.
Kitendo chako Mufti cha kupewa nafasi ya Kuzungumza mbele ya Mkuu wa nchi huko Tanga kisha 'Ukakemea' Kauli za 'Udini' zilizooneshwa Juzi na Jana na Kiongozi Mmoja wa Kiislamu Sheikh Ponda kisha hapo hapo na Wewe ukaanza Kuomba Msaada wa Ujenzi wa Barabara huko Mkoani Tanga huku ukiwananga wasiompenda Mgombea Urais wa CCM na Kumsifia ni Kosa Kubwa.
Gentamycine sikatai Wewe ( Nyie ) Viongozi Wakuu tena wa Kitaifa wa hizi 'Dini' Kuu mbili hapa Tanzania za Uislamu na Ukristo kuwa na 'Itikadi' zenu za 'Kisiasa' ila kuziweka hadharani sidhani kama ni Jambo jema kwani linaweza 'Kuwagawa' Watu wenu na hata kuanzisha 'Mitafaruku' mingine ya Kiimani ( Kidini ) nchini. Acheni kupenda 'Kuwalamba' Miguu 'Wanasiasa' Mungu hakuwatumeni muwe hivyo.
Nimesikitika sana kwa ulichokifanya japo Mimi ni mwana CCM na ninamkubali sana Mgombea wangu Ndugu Dkt. John Pombe Magufuli ila kuonyesha Kwako wazi wazi kuwa 'Unamkubali' hadi Kumpigia 'Chapuo' vile sikubaliani nacho na kama wana CCM Wenzangu hapa JamiiForums 'mtanichukia' Gentamycine kwa hili naamini Mwenyezi Mungu juu Mbinguni atanipenda zaidi.
Kila Siku nyie Viongozi Wakuu wa Kidini nchini Tanzania huwa 'mnatukanya' Watanzania kuingiza 'Udini' katika 'Siasa' ila cha 'Kushangaza;' nyie Viongozi Wakuu wa Kidini ndiyo mnakuwa wa Kwanza 'Kuvuruga' huu ( huo ) utaratibu na Kutuonyesha ( Kututhibitishia ) kuwa si tu mna 'Unafiki' uliotukuka bali pia hamlitakii 'mema' kabisa Taifa hili na Ustawi wake wa Amani yake.
Ili Mufti Mkuu wa Tanzania nikuone na nikuamini kuwa Wewe si Mufti Mkuu wa Tanzania na Chama changu Cha Mapinduzi ( CCM ) nakuomba Kesho nikuone pia katika Mkutano wa Mgombea wa CHADEMA Tundu Lissu, nikuone pia katika Mikutano ya Wagombea akina Lipumba wa CUF na wa Seif Sharrif Hamad wa ACT-Wazalendo hadi na Wagombea wengineo wote.
Kukipenda mno Chama changu cha CCM na Mgombea wake Urais JPM haimaanishi nikiona Jambo la 'Kipumbavu' basi nilinyamazie tu. Nimekereka!
Kabla ya Magufuli Rais alikua muislam. Kwanini hao masheikh walikamatwa ? Kwanini mpaka anaondoka madarakani hao 72 hawajapelekwa mahakamani ? Hao masheikh wengi waliokamatwa kila mkoa kuanzia 2016 nikikuambia uthibitishe kuwa "wengi" unaweza thibitisha idadi yao ? Madhara ya hao watu kuwepo uraiani unayajua ?Magufuli amewakuta 72 tu ambao walikamatwa na SMZ.... kuanzia mwaka 2016 karibu kila mkoa mashekh wamekamatwa kwa "mamia kwa tuhuma za ugaidi
Basi mbona hasikii kilio cha mamilioni ya waislamuuuu....
Tafadhali wapelekeni mahakamani ili wahukumiwe kama Wana hatia waende jela kama lla waachiwe mbona mambo rahisi sana?!!
Ahsante kwa kuulizaKabla ya Magufuli Rais alikua muislam. Kwanini hao masheikh walikamatwa ? Kwanini mpaka anaondoka madarakani hao 72 hawajapelekwa mahakamani ? Hao masheikh wengi waliokamatwa kila mkoa kuanzia 2016 nikikuambia uthibitishe kuwa "wengi" unaweza thibitisha idadi yao ? Madhara ya hao watu kuwepo uraiani unayajua ?
Mkuu mrangi ,anatumia F.E kama yako?Umeiona ford everest anaotumia lkn[emoji23][emoji23][emoji23]
Ova
Tisiii waganga wa kienyeji ambao hawana hata shule?Hao Bakwata ni TISS