Ahsante kwa kuuliza
Hao masheikh wa uamsho hawajakamatwa na JMT Bali walikamatwa na SMZ wakati Jakaya anaondoka madarakani walikua wanapelekwa mahakamani na kesi zao zilikua zinaendelea vizuri na walikua wapo hatua ya mwisho kupata hukumu
Huyu kafiri alivyo ingia madarakani kesi zikasimamishwa kabisa
Na kuhusu kuthibitisha mashekh wengine kuwepo jela nenda mkoa wowote katika msikiti ambayo sio ya bakwata ulizia kama vile unataka kusaidia mchango wa waliopo jela utaambiwa na jinsi gani unaweza kuwaona
Kwa nini serikali haitaki kuzungumzia kuhusu mashekh wetu
Na je wanamadhara gani wakuwepo huru?
Jibu ni kwamba hakuna mtu ana hatia kwa sababu ya tuhuma tu
Ndio maana sisi waislamu wengi wetu Tunaiomba serikali iwafungulie mashtaka na wapate hukumu
Sio eti nimekorofishana na wanafiki wa BAKWATA Sasa mimi ni gaidi
Wewe ni mtu mkubwa unajua kuna watu wanachuki binafsi Sasa chuki Ndio iwe hukumu?