Uchaguzi 2020 Mufti Mkuu wa Waislamu Sheikh Zuberi leo Korogwe mbele ya Rais Magufuli

Hao masheikh, Magu ataondoka, atakuja mwingine, kutoka ni ndoto. Huyu Ponda mnaemshabikia kua anatetea maslahi ya waislam ndiyo huyuhuyu anaem support tundu lisu, ambaye nae amesema akichaguliwa atazitambua haki za mashoga, Ponda anaunga mkono mtu anae tetea ushoga ?
 
WIZARA YA MAMBO YA NDANI IMEKATAZA VIONGOZI WA DINI KUPANDA MAJUKWAANI NA WAGOMBEA........

au hili katazo ni kwa CDM na ACT tu?? Ufafanuzi
 
Mufti alipata fursa nzuri kuagiza rais awaachie waislam wenzie yeye kaenda kuomba barabara....Mbunge nae afanye nini sasa??
 
Hiyo dini yenu sijui mnafundishwa vitu gani hadi mnakua na misimamo hatari kiasi hiki, huyu mama mzee aliyepo kitandani hujafanya khakii kumtukana
 
Hiyo dini yenu sijui mnafundishwa vitu gani hadi mnakua na misimamo hatari kiasi hiki, huyu mama mzee aliyepo kitandani hujafanya khakii kumtukana
Of course mama haja fanya kitu lakini mwanae anatutesa Sana,,, sasa Yale mateso kiasi mama mzee nae tunachangia kama anataka salama awe muadilifu mambo yake Safi
 
Darasa la saba kwani si shule vile ??
Ukisikia shule Bure Ndio hizo
Hawana shule ila wana ilm akhera.
Wapo wasomi wa level ya PhD kama sheikh Mataka na Sheikh Basaleh, hawa ni wasomi wazuri lakini wanatiwa mfukoni na misheni town wajanja wajanja kamanSheikh Alhad.

Ukitaka kuijuwa Bakwata muulize msomi Profesa Abdalah Safari aligombea umufti na Sheikh Simba ilikuwaje?

Mpaka leo Profesa Safari hana hamu na Bakwata.
 
Hiyo dini yenu sijui mnafundishwa vitu gani hadi mnakua na misimamo hatari kiasi hiki, huyu mama mzee aliyepo kitandani hujafanya khakii kumtukana
Huyo unayemtetea wewe ndiye anatufundisha roho mbaya, kumbe mkuki kwa nguruwe tu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…