KWANINI SERIKALI NA SIO BAKWATA? AU BAKWATA NI IDARA YA SERIKALI?
 
Mpumbavu nini,ufanye biashara za Huduma kama shule, hospital,hoteli nk eti ufutiwe Kodi ni Haki Yao,kubwa jinga wewe..

Mwendazake zake mwenyewe Kwa kumtambua sio Haki alikataa kufuta hizo Kodi.
Wewe ni mpumbavu kama Mwamedi ambaye hakujua kusoma wala kuandika

Nani amezungumzia habari ya shule hapa?

Narudia tena, vifaa vya dini kuingia nchini hata leo hii havilipishwi kodi labda kama vimeingia kwa mrengo mwingine

Pumbavu wewe
 
Hongera sana Muislam kwa kujua kutukana

Tukana basi matusi mapya Sheikh, hayo yamezoeleka[emoji23][emoji23][emoji23]
Watu mliozaliwa kwenye mkesha wa Mwenge mna shida sana kichwani 🤣🤣
 
 
Enzi za Sheikh Mkuu Mufti Hemed Juma Bin Hemed, hakukuwa na hizi habari za mwezi lazima uonekane Tanzania. Enzi zake mwezi ukiandama Saudi Arabia yeye huku anatangaza Eid. Na maisha yalikuwa yanasonga. Tofauti na sasa hivi, siasa imeingia mpaka kwa mufti na Bakwata yake.
 
Allah na waja wake hawaishiwi vituko.
 
Zile hela zinazotolewa kwenye timu za mipira kwani serikali ina timu? Wapewe tu maana zinazopotea ni nyingi kuliko zitakazonunua hicho chombo.
 
Zile hela zinazotolewa kwenye timu za mipira kwani serikali ina timu? Wapewe tu maana zinazopotea ni nyingi kuliko zitakazonunua hicho chombo.
Upuuzi,hao hupewa motisha Kwa sababu Michezo Haina dini na ni jambo la kulinganisha Nchi.

Dini zenu sio wajibu wa Nchi,mkitaka tuma maombi msaidiwe ila sio lazima
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…