Muhammad al-Jabari Kiongozi mkubwa wa magaidi wa Islamic Jihad anayeongoza kitengo cha kutengeneza silaha za maangamizi auawa leo asubuhi

Israel ni mtoto mtukutu sana. Na nia yake ni kuichukua ardhi yote ya Palestina. Cha kushangaza, na kitu nisichoelewa, ni hii move ambayo imeanza toka 1947 ya kuhakikisha hakuna Taifa la Israel. Through it, Israel has build a formidable strength which Arabs might take ages to overthrow.
Iran ndio anawadanganya watu ataifanya hiyo kazi
 
Hakuna move ambayo imeanzishwa ya kuzuia taifa la Israel kaka.
Unakumbuka Ramani iliyochorwa na Israel na Palestina 1947??
Nchi za kiarabu zilishiriki na zikakubali hiyo mipaka na zikataka Palestina nayo ikubalike kama taifa.
Ila 1948 Israel ikagoma kuitambua Palestina kuwa taifa na kuivamia Gaza.
Hapa waarabu ndipo walipoona UBAYA UBWELA kama hamtaki Palestina iwe taifa basi hata Israel haifai kuwa taifa.
 
Wakristo wakimpa hadhi ya juu wewe kinachokuuma nini hasa,pambana na shetani wako allah.
 
Yani hata usipofanya hivyo vyote sijui Google Facebook tiktok kama Osama bado tu wamarekani na Israel watakutoa mavi tu.
 
Sasa we jamaa unajua unazingua sasa πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚!

Kwa hiyo unataka kusema alichoshindwa alaha ndiyo imamu atakiweza?
Huyo ni very comical humuwezi.Anachoeleza ni tofauti na anachomaanisha.Ana qaul thabeet juu ya viongozi wake.πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ™
 
Wewe mpunbavu bichwa limevimba sasa unaona sifa kusambaza uwongo hapa Jf , kuanzia sasa sitokujibu kwenye uzushi wako unaonitag maana unaelimishwa bado unakuwa mbishi na kuleta mizaha.

Makafiri kwa vile mmeifanya dini yenu kuwa mzaha na wewe unahamishia mizaha kwetu kwa kujifanya Mashia damu ? sasa ukinitag nitakuwa napita tu bila reaction yeyote na nashauri wote Wenye akili wakupuuze.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…