Muhammad al-Jabari Kiongozi mkubwa wa magaidi wa Islamic Jihad anayeongoza kitengo cha kutengeneza silaha za maangamizi auawa leo asubuhi

Nikikumbuka# Imamu wetu alivyouwawa kikatili kulinda, kupigania na kuutetea uislamu yani naenda chumbani kwenye kona giza nakaa na kujikunyata huku nimekunja miguu nakuzamisha kichwa kwenye magoti nakukikumbatia kwa kubana kwa mikono miwili nakuangua kilio cha hatarii.

Kipenzi chetu cha dhati alipambana sana leo tumepewa Tawfiq tunauhakika wa jannah na firdaus.

Allah amfanyie wepes na ampe qauli thabeet kipenzi chetu cha dhati Imaam Hussein.

View attachment 3059289View attachment 3059302
Acha basi
Mbavu zangu mkuu🤣🤣🤣🤣🙌
 
Huyo mwamba sisi waislam wa madhehebu ya Shia tunamtukuza sana.

Ni kipenzi chetu cha dhati. Alikuwa mjukuu wa mtume Muhammad mtoto wa binti ya Mudi Fatma. Baba yake alikuwa Ali binadamu ya Mudi.

Bila yeye kuupigania, kuutetea Uislamu, uislamu usengekuwepo.

Sunni wanamchukia bila sababu lakini sisi Shia ni kipenzi chetu cha dhati.

Kupitia yeye tumepewa Tawfiq tunauhakika wa jannah na firdaus.

Ni muhimu na lazima waislam wote wa Shia kwenda Karbala na Najaf kuhiji ambapo kipenzi chetu alikufa.

Allah amfanyie wepes na aendelee kumpa qauli thabeet kipenzi chetu cha dhati Imam Hussein.

Chini hapo ni seal ya kipenzi chetu. Kila nyumba ya mshia utakuta imening'inizwa ukutani.View attachment 3059621

Na hii picha hapo chini naam ndiye mwamba mwenyewe.
View attachment 3059622

adriz ephen_ Malaria 2 Kinyungu Code 255
Imamu wetu ni mwamba haswa....hata akirudi Leo hamna Kama yeye
 
SULUHISHO YA HII VITA NI :

HAMASS WAKUBARI UWEPO HALALI WA ISRAEL

KUWEPO NA NCHI MBILI AMBAPO
1.JERUSALEM NI MJII MKUU WA IZRAEL
2.WAPALESTINA WA WEST BANK WAHAMIE GAZA AMBAYO NDIYO ITAITWA PALESTINA MPYA
 
Ayatollah halali siku hizi, anakimbia kimbia kwenye mahandaki huko Tehran, haamini hata inzi akipita anajua Wayahudi hao, maana tokea Raisi wa Iran afariki na Kiongozi wa Hamas wote wameuawa nchini Iran, Ayatollah anaishi kwa wasiwasi mkubwa sana kwani anajua MOSAD wako mjini Tehran
 
Hao mazayuni sio wa mchezo, wana backup kubwa sana ya USA, wana technology ya hali ya juu na intelijensia kubwa sana. Waarahu nao on the other hand ni cowards wa kufa mtu, wanasnichiana wenyewe...mashariki ya kati inapitia nyakati ngumu sana..
 
Hii siyo bure, labda wale vijana wa kipalestina waliokamatwa na Israel watakuwa wanatoa siri za hamas
Na wao waliowakamata watoe siri za ISRAEL Mwanzo Israel ilivyomchinja Rais wa iran nikajuwa mziki utakuwa mnene kumbe viirani ni kama virundi tu vijinga vijinga na tundwevu vyao kila siku kuuliwa viongozi wenu badilikeni au ndio mnaenda kudeal na mabikira wa Allah
 
Wadau hamjamboni nyote?

IDF yaendelea kutembeza kichapo kwa Viongozi wa magaidi Mashariki ya kati

Muda mfupi uliopita gaidi mmoja anayehusuka na kitengo cha silaha na fedha za kikundi hatari cha Islamic jihad ameuawa kwa kombora la ndege.

IDF inasema kwamba al-Jabari alikabidhiwa idara/ kitengo cha uzalishaji wa silaha katika Ukanda wa kaskazini wa Gaza, usambazaji wa mishahara na pesa kwa magaidi wa kikundi hicho , na alishiriki kikamilifu katika jaribio la kurejesha uwezo na miundombinu ya kikundi hicho kutengeneza roketi.

Hakuna gaidi aliyehusika kuongoza su kupanga shambulizi la Oktoba 7 nchini atakayesalimika na mkono.imara wa Wana wa Yakobo

Taarifa kamili hapo chini

A senior Palestinian Islamic Jihad commander was killed in an Israeli airstrike in the Gaza Strip, the military says, as troops continue operations in Rafah and the Netzarim Corridor.

Muhammad al-Jabari was the deputy head of an Islamic Jihad weapons manufacturing unit, and responsible for the unit’s finances, according to the IDF.

The IDF says that al-Jabari “was entrusted with the organization’s production of weapons in the northern Gaza Strip, distribution of salaries and money to the organization’s terrorists, and took an active part in the attempt to restore the organization’s rocket production capabilities and infrastructure.”

Meanwhile, the IDF says that troops with the 162nd Division killed more than 30 gunmen in close-quarters combat and by calling in airstrikes in southern Gaza’s Rafah in the past day.
Islamic jihad hutengeneza silaha za maangamizi!?..hutengenezea wapi?
 
Nikikumbuka# Imamu wetu alivyouwawa kikatili kulinda, kupigania na kuutetea uislamu yani naenda chumbani kwenye kona giza nakaa na kujikunyata huku nimekunja miguu nakuzamisha kichwa kwenye magoti nakukikumbatia kwa kubana kwa mikono miwili nakuangua kilio cha hatarii.

Kipenzi chetu cha dhati alipambana sana leo tumepewa Tawfiq tunauhakika wa jannah na firdaus.

Allah amfanyie wepes na ampe qauli thabeet kipenzi chetu cha dhati Imaam Hussein.

View attachment 3059289View attachment 3059302
We bangi zinakusumbua, hivi unadhani kuna dunia nyingine zaidi ya hii tulionayo? Et fil Janat, nini?? Watu wa vitabu hamna uwezo WA kufikiri kwa akili zenu nje ya mavitabu hayo.
 
Huyo mwamba sisi waislam wa madhehebu ya Shia tunamtukuza sana.

Ni kipenzi chetu cha dhati. Alikuwa mjukuu wa mtume Muhammad mtoto wa binti ya Mudi Fatma. Baba yake alikuwa Ali binadamu ya Mudi.

Bila yeye kuupigania, kuutetea Uislamu, uislamu usengekuwepo.

Sunni wanamchukia bila sababu lakini sisi Shia ni kipenzi chetu cha dhati.

Kupitia yeye tumepewa Tawfiq tunauhakika wa jannah na firdaus.

Ni muhimu na lazima waislam wote wa Shia kwenda Karbala na Najaf kuhiji ambapo kipenzi chetu alikufa.

Allah amfanyie wepes na aendelee kumpa qauli thabeet kipenzi chetu cha dhati Imam Hussein.

Chini hapo ni seal ya kipenzi chetu. Kila nyumba ya mshia utakuta imening'inizwa ukutani.View attachment 3059621

Na hii picha hapo chini naam ndiye mwamba mwenyewe.
View attachment 3059622

adriz ephen_ Malaria 2 Kinyungu Code 255
Wewe Dini imeku haribu akili yako kabisa
 
Na wao waliowakamata watoe siri za ISRAEL Mwanzo Israel ilivyomchinja Rais wa iran nikajuwa mziki utakuwa mnene kumbe viirani ni kama virundi tu vijinga vijinga na tundwevu vyao kila siku kuuliwa viongozi wenu badilikeni au ndio mnaenda kudeal na mabikira wa Allah
Israel haijahusika na kifo cha rais wa Iran,Netanyahu alilikana na alikataa katika vyombo vya habari.
Usijiropokee kama umelewa.
 
Wadau hamjamboni nyote?

IDF yaendelea kutembeza kichapo kwa Viongozi wa magaidi Mashariki ya kati

Muda mfupi uliopita gaidi mmoja anayehusuka na kitengo cha silaha na fedha za kikundi hatari cha Islamic jihad ameuawa kwa kombora la ndege.

IDF inasema kwamba al-Jabari alikabidhiwa idara/ kitengo cha uzalishaji wa silaha katika Ukanda wa kaskazini wa Gaza, usambazaji wa mishahara na pesa kwa magaidi wa kikundi hicho , na alishiriki kikamilifu katika jaribio la kurejesha uwezo na miundombinu ya kikundi hicho kutengeneza roketi.

Hakuna gaidi aliyehusika kuongoza su kupanga shambulizi la Oktoba 7 nchini atakayesalimika na mkono.imara wa Wana wa Yakobo

Taarifa kamili hapo chini

A senior Palestinian Islamic Jihad commander was killed in an Israeli airstrike in the Gaza Strip, the military says, as troops continue operations in Rafah and the Netzarim Corridor.

Muhammad al-Jabari was the deputy head of an Islamic Jihad weapons manufacturing unit, and responsible for the unit’s finances, according to the IDF.

The IDF says that al-Jabari “was entrusted with the organization’s production of weapons in the northern Gaza Strip, distribution of salaries and money to the organization’s terrorists, and took an active part in the attempt to restore the organization’s rocket production capabilities and infrastructure.”

Meanwhile, the IDF says that troops with the 162nd Division killed more than 30 gunmen in close-quarters combat and by calling in airstrikes in southern Gaza’s Rafah in the past day.
Kisasi kitalipwa tu waache Israel wacheke kwa sasa ila tutatizama nani achekaye mwishoni.
Hata nao Israel walipata misiba hivi hivi kwahiyo muda utanena.
Pia kisasi kitalipwa bila shaka.
 
Hii mbinu ya MOSSAD ya kukimbiza mwizi kimya kimya ni hatari hujui kama kesho ni wewe au la.

Wakati wakina Khamenei wakitangaza kutoa kichapo kikali kwa mu-israel, hao Israel wenyewe ndio kwanza hawana habari wanaendelea na mission zao kama kawaida.

Wanachofanya Israel ni Psychological torture kwa maadui zake.
Anachofanya sasa hivi Israel alishakifanya tangia kuanzia 1948 lakini hakikuzuia hizo nchi na hivyo vikundi kumvamia.
Hivyo ni sawa na kazi bure maana atachaguliwa kiongozi mpya na harakati zitaendelea pale pale.
 
Back
Top Bottom