The Mongolian Savage
JF-Expert Member
- Jul 5, 2018
- 8,082
- 17,838
Usimsumbue huyo dogo Chaliifrancisco muacha afocus na mbusii huko malishoniNishajua chaka lako lingine! Na nitamwambia chalii
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Usimsumbue huyo dogo Chaliifrancisco muacha afocus na mbusii huko malishoniNishajua chaka lako lingine! Na nitamwambia chalii
Chimbo lako lingine ni min -me 🤤Usimsumbue huyo dogo Chaliifrancisco muacha afocus na mbusii huko malishoni
Acha basiNikikumbuka# Imamu wetu alivyouwawa kikatili kulinda, kupigania na kuutetea uislamu yani naenda chumbani kwenye kona giza nakaa na kujikunyata huku nimekunja miguu nakuzamisha kichwa kwenye magoti nakukikumbatia kwa kubana kwa mikono miwili nakuangua kilio cha hatarii.
Kipenzi chetu cha dhati alipambana sana leo tumepewa Tawfiq tunauhakika wa jannah na firdaus.
Allah amfanyie wepes na ampe qauli thabeet kipenzi chetu cha dhati Imaam Hussein.
View attachment 3059289View attachment 3059302
Hii km ile Elia alivyowaambia muiteni mungu wenu.....🤣Allah alipaswa kuwalinda watu wake
🤣🤣🤣Sasa we jamaa unajua unazingua sasa 😂😂😂!
Kwa hiyo unataka kusema alichoshindwa alaha ndiyo imamu atakiweza?
Imamu wetu ni mwamba haswa....hata akirudi Leo hamna Kama yeyeHuyo mwamba sisi waislam wa madhehebu ya Shia tunamtukuza sana.
Ni kipenzi chetu cha dhati. Alikuwa mjukuu wa mtume Muhammad mtoto wa binti ya Mudi Fatma. Baba yake alikuwa Ali binadamu ya Mudi.
Bila yeye kuupigania, kuutetea Uislamu, uislamu usengekuwepo.
Sunni wanamchukia bila sababu lakini sisi Shia ni kipenzi chetu cha dhati.
Kupitia yeye tumepewa Tawfiq tunauhakika wa jannah na firdaus.
Ni muhimu na lazima waislam wote wa Shia kwenda Karbala na Najaf kuhiji ambapo kipenzi chetu alikufa.
Allah amfanyie wepes na aendelee kumpa qauli thabeet kipenzi chetu cha dhati Imam Hussein.
Chini hapo ni seal ya kipenzi chetu. Kila nyumba ya mshia utakuta imening'inizwa ukutani.View attachment 3059621
Na hii picha hapo chini naam ndiye mwamba mwenyewe.
View attachment 3059622
adriz ephen_ Malaria 2 Kinyungu Code 255
Takbirrr pole sana mkuu kwa kupoteza ndugu zakowakiristo wa JF mtachinja kuku kwa wengi siku 2 hizi.
Na wao waliowakamata watoe siri za ISRAEL Mwanzo Israel ilivyomchinja Rais wa iran nikajuwa mziki utakuwa mnene kumbe viirani ni kama virundi tu vijinga vijinga na tundwevu vyao kila siku kuuliwa viongozi wenu badilikeni au ndio mnaenda kudeal na mabikira wa AllahHii siyo bure, labda wale vijana wa kipalestina waliokamatwa na Israel watakuwa wanatoa siri za hamas
Anawakimbia watu wakeAllah alipaswa kuwalinda watu wake
Islamic jihad hutengeneza silaha za maangamizi!?..hutengenezea wapi?Wadau hamjamboni nyote?
IDF yaendelea kutembeza kichapo kwa Viongozi wa magaidi Mashariki ya kati
Muda mfupi uliopita gaidi mmoja anayehusuka na kitengo cha silaha na fedha za kikundi hatari cha Islamic jihad ameuawa kwa kombora la ndege.
IDF inasema kwamba al-Jabari alikabidhiwa idara/ kitengo cha uzalishaji wa silaha katika Ukanda wa kaskazini wa Gaza, usambazaji wa mishahara na pesa kwa magaidi wa kikundi hicho , na alishiriki kikamilifu katika jaribio la kurejesha uwezo na miundombinu ya kikundi hicho kutengeneza roketi.
Hakuna gaidi aliyehusika kuongoza su kupanga shambulizi la Oktoba 7 nchini atakayesalimika na mkono.imara wa Wana wa Yakobo
Taarifa kamili hapo chini
A senior Palestinian Islamic Jihad commander was killed in an Israeli airstrike in the Gaza Strip, the military says, as troops continue operations in Rafah and the Netzarim Corridor.
Muhammad al-Jabari was the deputy head of an Islamic Jihad weapons manufacturing unit, and responsible for the unit’s finances, according to the IDF.
The IDF says that al-Jabari “was entrusted with the organization’s production of weapons in the northern Gaza Strip, distribution of salaries and money to the organization’s terrorists, and took an active part in the attempt to restore the organization’s rocket production capabilities and infrastructure.”
Meanwhile, the IDF says that troops with the 162nd Division killed more than 30 gunmen in close-quarters combat and by calling in airstrikes in southern Gaza’s Rafah in the past day.
We bangi zinakusumbua, hivi unadhani kuna dunia nyingine zaidi ya hii tulionayo? Et fil Janat, nini?? Watu wa vitabu hamna uwezo WA kufikiri kwa akili zenu nje ya mavitabu hayo.Nikikumbuka# Imamu wetu alivyouwawa kikatili kulinda, kupigania na kuutetea uislamu yani naenda chumbani kwenye kona giza nakaa na kujikunyata huku nimekunja miguu nakuzamisha kichwa kwenye magoti nakukikumbatia kwa kubana kwa mikono miwili nakuangua kilio cha hatarii.
Kipenzi chetu cha dhati alipambana sana leo tumepewa Tawfiq tunauhakika wa jannah na firdaus.
Allah amfanyie wepes na ampe qauli thabeet kipenzi chetu cha dhati Imaam Hussein.
View attachment 3059289View attachment 3059302
Wewe Dini imeku haribu akili yako kabisaHuyo mwamba sisi waislam wa madhehebu ya Shia tunamtukuza sana.
Ni kipenzi chetu cha dhati. Alikuwa mjukuu wa mtume Muhammad mtoto wa binti ya Mudi Fatma. Baba yake alikuwa Ali binadamu ya Mudi.
Bila yeye kuupigania, kuutetea Uislamu, uislamu usengekuwepo.
Sunni wanamchukia bila sababu lakini sisi Shia ni kipenzi chetu cha dhati.
Kupitia yeye tumepewa Tawfiq tunauhakika wa jannah na firdaus.
Ni muhimu na lazima waislam wote wa Shia kwenda Karbala na Najaf kuhiji ambapo kipenzi chetu alikufa.
Allah amfanyie wepes na aendelee kumpa qauli thabeet kipenzi chetu cha dhati Imam Hussein.
Chini hapo ni seal ya kipenzi chetu. Kila nyumba ya mshia utakuta imening'inizwa ukutani.View attachment 3059621
Na hii picha hapo chini naam ndiye mwamba mwenyewe.
View attachment 3059622
adriz ephen_ Malaria 2 Kinyungu Code 255
Israel haijahusika na kifo cha rais wa Iran,Netanyahu alilikana na alikataa katika vyombo vya habari.Na wao waliowakamata watoe siri za ISRAEL Mwanzo Israel ilivyomchinja Rais wa iran nikajuwa mziki utakuwa mnene kumbe viirani ni kama virundi tu vijinga vijinga na tundwevu vyao kila siku kuuliwa viongozi wenu badilikeni au ndio mnaenda kudeal na mabikira wa Allah
Kisasi kitalipwa tu waache Israel wacheke kwa sasa ila tutatizama nani achekaye mwishoni.Wadau hamjamboni nyote?
IDF yaendelea kutembeza kichapo kwa Viongozi wa magaidi Mashariki ya kati
Muda mfupi uliopita gaidi mmoja anayehusuka na kitengo cha silaha na fedha za kikundi hatari cha Islamic jihad ameuawa kwa kombora la ndege.
IDF inasema kwamba al-Jabari alikabidhiwa idara/ kitengo cha uzalishaji wa silaha katika Ukanda wa kaskazini wa Gaza, usambazaji wa mishahara na pesa kwa magaidi wa kikundi hicho , na alishiriki kikamilifu katika jaribio la kurejesha uwezo na miundombinu ya kikundi hicho kutengeneza roketi.
Hakuna gaidi aliyehusika kuongoza su kupanga shambulizi la Oktoba 7 nchini atakayesalimika na mkono.imara wa Wana wa Yakobo
Taarifa kamili hapo chini
A senior Palestinian Islamic Jihad commander was killed in an Israeli airstrike in the Gaza Strip, the military says, as troops continue operations in Rafah and the Netzarim Corridor.
Muhammad al-Jabari was the deputy head of an Islamic Jihad weapons manufacturing unit, and responsible for the unit’s finances, according to the IDF.
The IDF says that al-Jabari “was entrusted with the organization’s production of weapons in the northern Gaza Strip, distribution of salaries and money to the organization’s terrorists, and took an active part in the attempt to restore the organization’s rocket production capabilities and infrastructure.”
Meanwhile, the IDF says that troops with the 162nd Division killed more than 30 gunmen in close-quarters combat and by calling in airstrikes in southern Gaza’s Rafah in the past day.
Muda wa nao kutoa vilio utaanza.wakiristo wa JF mtachinja kuku kwa wengi siku 2 hizi.
Anachofanya sasa hivi Israel alishakifanya tangia kuanzia 1948 lakini hakikuzuia hizo nchi na hivyo vikundi kumvamia.Hii mbinu ya MOSSAD ya kukimbiza mwizi kimya kimya ni hatari hujui kama kesho ni wewe au la.
Wakati wakina Khamenei wakitangaza kutoa kichapo kikali kwa mu-israel, hao Israel wenyewe ndio kwanza hawana habari wanaendelea na mission zao kama kawaida.
Wanachofanya Israel ni Psychological torture kwa maadui zake.
Huko gazaIslamic jihad hutengeneza silaha za maangamizi!?..hutengenezea wapi?