Bwana Utam
JF-Expert Member
- Feb 15, 2016
- 20,546
- 38,093
Allah yupo mwenyeweKwa hiyo Allah kwenye uwepo wao wako kina Allah wangapi, ambao sio wadhaifu?
Bwana Utam amesema "Na hapo mke kamaanisha kutoka kwenye uwepo wao huko walipo sio kwa sisi binaadamu wadhaifu"Allah yupo mwenyewe
Ila kwa lile neno lililotumika pale ndio maana nikakwambia balagha ilotumika pale
Kijana mwalimu wako ulimtesa sana aseee
Na bila ya shaka ulikua st kayumba yaaani
Ndio maana juu kule nilikwambia kama Allah anatumia balagha ambayo wewe huijuiBwana Utam amesema "Na hapo mke kamaanisha kutoka kwenye uwepo wao huko walipo sio kwa sisi binaadamu wadhaifu"
Allah wapo wangapi huko walipo?
Angalia post zangu uku hakuna waislamu wanawezaga kuzijibuNdio maana juu kule nilikwambia kama Allah anatumia balagha ambayo wewe huijui
Balagha nimekutolea mfano wake kule juu bado tu hujaisoma ukaielewa
Kijana kwakukusaidia tumia basi hata Ai ili uweze kupingana na hoja zangu maana pekeako kwa akili yako hoja zangu kubwa
Mkuu unatoka nchi ipi isiyojua kiswahili vizuri?Kwa hiyo Allah kwenye uwepo wao wako kina Allah wangapi, ambao sio wadhaifu?
Hoja hapo hakuna Allah ni mmoja tu ila hua anatumia plural ya majesty katika kujitambulishaAngalia post zangu uku hakuna waislamu wanawezaga kuzijibu
Swali lipo pale pale kwa mujibu wa maneno yako
Bwana Utam amesema "Na hapo mke kamaanisha kutoka kwenye uwepo wao huko walipo sio kwa sisi binaadamu wadhaifu"
Allah wapo wangapi huko walipo?
Ndugu yako katika Imani kasema aya maneno msaidie kufafanuaMkuu unatoka nchi ipi isiyojua kiswahili vizuri?
Raisi anaposema sisi watanzania anamaaniaha wananchi wote maana kwa mujibu wa maana serekali ni watu ndio maana anasema sisi watanzaniaMfano rais anapoongea yeye ila husema sisi Watanzania tumefanya kile na kile wakati anaongea pekeake ndio alosema Allah kwa plural ya majesty
Mimi nilikuuliza ukisema nyanya kutoka kwako maana yake ni kuwa wewe ndio nyanya zenyewe?Ndugu yako katika Imani kasema aya maneno msaidie kufafanua
Bwana Utam amesema "Na hapo mke kamaanisha kutoka kwenye uwepo wao huko walipo sio kwa sisi binaadamu wadhaifu"
Amesema hana mke ila akitaka angekuwa naye sasa hapo usichoelewa nini?Nafunga mjadala
Al-mukheef Bwana Utam
- Mara asema hana mke
- Koran 6:101. .... Itakuwaje awe na mwana naye hakuwa na mke?
- Akajistukia akasema akitaka mke anachukuwa kutoka jamii yake , yani atachukua mke houris au malaika
- Koran 21:17 Tafsir al-Jalalayn Had We desired ... partner or a child We would have found it with Ourselves from among the beautiful-eyed houris or angels were We to do so
- Mara akitaka mtoto atachagua
- Koran39:4. Lau kuwa Allah angeli taka kuwa na mwana, basi bila ya shaka angeli teua amtakaye katika alio waumba....
Kila nikisoma kisa cha Mfalme Suleiman katika Quran tukufu huwa naona kiwango cha juu sana cha utunzi wa sanaa ya masimulizi kwa Mtume Muhammad (PBUH).
Fikiria Muhammad anasema Suleiman alikuwa anaweza kuwasiliana na wanyama wote, ndege mpaka siafu alikuwa anawasikia.
Suleiman anahadithiwa aliweza kuhamisha kiti cha Ufalme wa malkia wa Sheba kutoka Yemen mpaka Israel kufumba na kufumbua. Mtume alikuwa anajua "time travel" enzi hizo
Muhammad anasema Sulemani alikuwa ana amri juu ya upepo (upepo enzi hizo ilikuwa ni kitu muhimu sana kwa jamii za Gulf zinazosafiri baharini)
Suleiman alikuwa ana amri juu ya majini/mapepo na hata aliwatumia kujenga msikiti wa Al-Aqsa.
Suleiman alipokufa majini na watu hawakujua mpaka alipoanguka kutoka kitini mwake na hapo ndipo ilipogundilika kwamba majini hayaoni mambo ya mbeleni.
Hii ni kama riwaya ya kubuni (fiction novel) ya hali juu sana.
ChaiMtu kasimama kafa alafu ata walinzi hawajui , mke watoto , wafanya kazi wote hawajui mwaka mzima yupo pale pale ? Mpaka mchwa ndio wakawasanua ? ata mtoto ukimpa hii story atakwambia ni uongo
Mwanetu kichwa chako kigumu kama jiwe. Mi sijasema Allah anataka mtoto, point ni kwamba hana haja na mtoto sawa, ila Aya 39:4 inasema akitaka anampata. Sasa nikiunganisha ile Aya 6:101 ambayo yenyewe inasema Allah ili apate mtoto ni lazima awe na mke.Naona unaendelea kuruka ruka kama bisi kikaangoni
Kuchagua mtoto awe wako hakukufanyi kua mtoto huyo atakua wako hta kama utasema wako
Allah s w kusema hayo nlokwambia kule juu ni kwamba angeamua kua na mtoto angeweza ila hawezi kua na mtoto sababu kua na mtoto ni sifa ya kiumbe hai pia kiumbe anae tegemea
Wenye watoto wote ni viumbe hai na wanategemea Allah s w anajitosheleza hana shida na mtoto wala nini
Yote maswali nimekujibu mfano wa wewe kua na mtoto ni kwamba mtoto alotajwa sio wako ila kama ungeamua kumpata uwezo unao
Ndio alicho sema s w kwamba kama angekua anataka mwana hilo swala kwake sio ishu maana kama aliweza kumuumba angeshindwa nini
Mkuu Hawa makobazi hawakuwezi nimeangalia hoja zako hapa zinawapwaya pakubwa sanaKwa hiyo Allah kwenye uwepo wao wako kina Allah wangapi, ambao sio wadhaifu?
Jamaa yangu ulienda shule kweli 😳heheheheRaisi anaposema sisi watanzania anamaaniaha wananchi wote maana kwa mujibu wa maana serekali ni watu ndio maana anasema sisi watanzania
Allah anaposema sisi yupo na nani?
Na anapo sema atachukua mke kutoka kwa sisi ni kina nani atachukua mke
Wewe ndio una kichwa kigumu na hutaki kuelewaMwanetu kichwa chako kigumu kama jiwe. Mi sijasema Allah anataka mtoto, point ni kwamba hana haja na mtoto sawa, ila Aya 39:4 inasema akitaka anampata. Sasa nikiunganisha ile Aya 6:101 ambayo yenyewe inasema Allah ili apate mtoto ni lazima awe na mke.
Ndo nahitimisha kwa kukuuliza swali simple,
Allah hana mtoto kwa sababu A=hana mke kama Aya 6:101 inavyosema
B=hana mtoto kwa sababu tu hajataka na akitaka anampata tu bila hata kuwa na mke kama inavyosema aya 39:4?
Moja kati ya 6:101 na 39:4 au unataka tuichambue Aya nyingine kabisa nje na hizi?Wewe ndio una kichwa kigumu na hutaki kuelewa
Nimeelewesha mpaka nimeelewesha tena
Leta aya moja moja twende nayo kama utaelewa
Ukishindwa kuelewa hapo sitakua na namna yakukuelewesha tena ili uelewe