Muhammad alikuwa mtunzi mzuri sana wa sanaa ya masimulizi


Islamic religion ni stori za kutunga baada ya Mohamed kusomewa Biblia na Hadija mwanamke aliyekua sister wa catholic kabla ya kuukana useja na kugawa mzigo kwa Mody. Stori za kwenye Biblia kazibadilisha na kuwaambia watu, vilivyoandikwa kwenye Biblia ni upotofu eti zakwake ni za kweli. Mohamed inaonyesha alikua ni mtu mjanja mjanja sana, maana aliweza kuwateka akili waarabu na wakampa utume feki.
 
True
 
Quran 53:1-5

" Naapa kwa nyota inapo tua, Mwenzenu huyu hakupotea, wala hakukosea.Wala hatamki kwa matamanio. Hayakuwa haya ila ni ufunuo (kutoka kwa Mungu) ulio funuliwa;Amemfundisha aliye mwingi wa nguvu (Malaika Jibril/Gabriel).
 
Hakuna palipo andikwa hayo , aya inasema kafa wengine wanasema kasimama wengine alikuwa kakaa

Nimeuliza swali sijajibiwa

Jumba lake la kifalme lilikuwa chini ni udongo ? Kama sio mchwa walipandeje

Na kwa Nini mfalme awe na fimbo ya miti?
Ili uwe mfalme unatakiwa uwe na fimbo gani nakwa sheria ipi ya kifalme???

Jamaa bana kwani funza hua anatokeaje kwa mtu ambae amekufa (kwa usilolijua sasa kama kuna uhusiano na ardhi basi mchwa atatokea tu maadam hio nyumba haielei chukua kabati weka juu ya bati huko baada ya mda mchwa watalifata huko huko)
 
Hii sasa ndio Qur’an 🙏🫡🫡
 
Quran

Hud 11:49

" Hizi ni katika khabari za ghaibu ( zilizofichikana / Unseen) tunazo kufunulia (Ewe Muhammad). Hukuwa ukizijua wewe, wala watu wako, kabla ya hii. Basi subiri! Hakika Mwisho ni wa wachamngu"
 
Ok umeandika hoja nyingi twende polepole.
*Unaposema Quran imeandikwa kifasaha unataka kusema hakuna mwanadamu anaweza kuandika kitabu chake kifasaha?
*Umesema Quran ina aya nyingi ila hazijipingi, ngoja nikuonyeshe Aya mbili zinazojipinga, jibu swali hili Kisha nakuja kukuonyesha Aya mbili zinavyojibu kwa kujipinga;
Kwa nini Allah hana mwana?
Toa jibu kwa mujibu wa aya ya Quran.
 
🤣Sijui kwa nini nasahau kukutag. Angalia jibu langu comment ya juu ya hii
 
Biblia inasema kuwa Hekalu la Mfalme Suleymani lilijengwa kimya kimya bila kusikika kwa sauti yoyote ya mawe wala vifaa vya chuma. Hii inawezekana vipi? Je kulikuwa na Viumbe wengine wajenzi?

Biblia inasema katika kitabu cha
1 wafalme 6:7

" Na nyumba ilipokuwa ikijengwa, ikajengwa kwa mawe yaliokwisha kuchongwa chimboni; wala nyundo, wala shoka, wala chombo cha chuma cho chote, sauti yake haikusikiwa ilipokuwa ikijengwa nyumba. "
 
Kama hawakudanganywa ilikuwaje mtu kakaa kwenye kiti hali haongei hajigusi haendi chooni wakawa hawajisumbui nae

Walinzi wake ilikuwaje

Sulemani muislamu alikuwa anaishi nyumba ya udongo na kutumia fimbo ya miti?
Hivi ikitokea rais wa nchi haonekani unaweza kwenda ikulu kumuulizia?
 
Kama Qur’an s a w kaitunga nanyie tungeni ama kopini ili mtu Arizona tu anajua hii kopi kama ile

bro. Si nishakuambia dini zote hizo 5 wametunga vitabu.
Tena ni story mpya kabisa.
Sio kama za Quran ambazo zimecopy za Biblia.

Ni kweli, kichaa pekee ndio anaweza kuchukua story za kitabu kimoja akageuza na kusema ameoteshwa na Jibril na kudai ni chake.
 

ile tu kwamba hakuna anayejua chochote khs maisha yake kabla ya kuwa mtume ambapo aliupata akiwa na miaka 40 tells you alot about the man, miaka 40 ya kwanza ya maisha yake hakuna anayejua chochote na ndiyo maana ni wakali (muslims) sana linapokuja swala la kuhoji maisha ya mtume wao, nchi nyingi islamic ile kuhoji tu unahukumiwa kifo kwa upanga hata saudi arabia ni hivyo mpaka leo hii, sasa kwa nini? ...
 
Sio hiyo tuu Nabii Sulayman a.s alikuwa akiweza kuuamuru upepo umbebe yeye na jeshi kusafiri safari ambayo ilikuwa ikichukua mwezi au miezi kwa kipindi hicho ila waliweza kusafiri kwa masaa tu. Siku moja alikuwa anaweza kuamka Jerusalem na Mchana akawa yupo Yemen na baadae akafika mpk Kabul na kisha kurudi tena Jerusalem.

Mungu anatuonesha kuwa hii technology yetu ya usafiri wa Anga kwa kutumia ndege si chohote kwani kabla ya hapo maelfu ya miaka huko nyuma tayari alikuwepo Mtume wake aliyekuwa akisafiri kwa kasi sana kwa kutumia upepo tu.
 
Hauendi ikulu ila lazima watu watapaza sauti ,kama kwa magu
Nani waliwasikiliza? Si mpaka amekufa?.
Haya mambo yalikuwepo tangu zamani.mfalme haonekani watu walikuwa wanahoji lakini walikuwa wanaogopa kumfata ikulu.
Si ajabu.ndo maana nimekwambia inawezekana watu wake walimtilia shaka kukaa kimya Kwake lakini nani angethubutu kumfata mfalme na kumtingisha?
 
Hivi Muhammad angekuwa ni muongo hivi angewezaje kusujudu kufata Qibla walichokuwa wakifata Wayahudi kwa miaka yote ?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…