Muhammad alikuwa mtunzi mzuri sana wa sanaa ya masimulizi

Mtume Muhammad (s.a.w) aliishi katika mji wa Madinah akiwa amezungukwa na wanazuoni wakubwa wa kiyahudi na kikristo ambao walimfuata mara kwa mara kumjaribu kwa maswali kuthibitisha utume wake na hakuwahi kishindwa kujibu hata mara moja. Wayahudi wenyewe walikiri ila kutokana na kiburi chao walimkataa kwasababu hakuwa myahudi.
 
Kwa hiyo watu wake wa karibu walikuwa wanajua kafa?
 
Wewe ni muongo! Sira (mwenendo wa maisha) ya mtume Muhammad unajulikana kuna vitabu kibao vinavyoelezea historia yake
 
Wengi hawajui jinsi Falme zilivyokuwa zikiendeshwa. Wafalme wa kale no tofauti kabisa na hawa marais wa kidemokrasi. Walikuwa wakiheshimika na kuogopeka vibaya mno.

Nguvu ya kwenda kumtingisha mfalme mtu wa kawaida alikuwa anaipata wapi? na mfalme alikuwa haonekani ovyo bila ya sababu
 
We ni takataka...Uislam upo toka Adam anaumbwa...unakuja kuufananisha na ukomunisti wa karne ya 18-19
 
Kumbuka alikaa hivyo kwa mwaka mzima

Na kwanini Allah alimfanyia hivyo si angempa tu uhai kwa mwaka mzima?

Hawakumfikia inamaana chakula ilikuwa hawampelekei , hali mwaka mzima na wakawa wanaona sawa tu
Hapa kwenye chakula pagumu kupaelezea mwaka mzima bila kula no way?
 
Aaaah hili nilikua sijaliona mzee Sasa nimeliona
Hakuna aya katika Qur’an ambayo inapingana na nyengine
Allah hana mwana kwasababu nyingi ila moja kubwa kwasababu A kutokua na mwana ni moja ya sifa yake kuu
Ninaposema ufasaha kinaweza kikawa fasaha ila kikakosa mambo mengine ya kukitofautisha na Quran nimekuekea hapo juu sababu zinazoifanya Quran iwe ya kipekee wewe umeona ufasaha tu mengine hujayaona 😁
Angekua na mwana asingekua Allah
 
Bado haviwezi kuwa na sifa nlizokutajia za Quran hapo juu ili kuonesha upkeep wake
Taja dini moja ambayo sio uislam halafu useme wanatumia kitabu gani ambacho unaweza ukakilinganisha na Qur’an halafu kiwe kimekamilika ila Qur’an ikawe na kasoro
Hakuna na hutakuja ukilete mpaka unakufa
 
Wewe ni mbumbu hizo habari za nabii Suleiman zipo katika vitabu vya Apoklifa vitabu ambavyo wajanja wenu waliyokuleteeni ukiristo wamevificha Ili msivisome

Na kazi Moja wapo ya Qurani ni kufichua Maneno ya Mungu ambayo makafiri wenzako wameyaficha
 
Mtu kasimama kafa alafu ata walinzi hawajui , mke watoto , wafanya kazi wote hawajui mwaka mzima yupo pale pale ? Mpaka mchwa ndio wakawasanua ? ata mtoto ukimpa hii story atakwambia ni uongo
tatizo unaleta imaginations zako za haww marais wa leo kulinganisha na mfalme. Ni vile labda sisi hatuna tawala za kifalme ila haya mambo ambayo Allah amemsimulia mtune kupitia malaika Jibril ni mambo ya ndani kabisa katika ufalme wa Sulayman ambayo watu wengi wa nje walikuwa hawayajui.

Suleymani ibn Dawood (a.s) alipewa ufalme ambao hatatokea mwanadamu mwengine kupewa mpaka dunia inakwisha.

1- Alipewa uwezo wa kuongea na kufahamu lugha za wanadamu ,majini,ndege na wadudu.

2- Alipewa Elimu,Hekima na uwezo mkubwa wa kuhukumu kwa haki.

3- Alipewa mali nyingi

4-Kutiishwa kwa upepo ili uweze kumsaidia kusafiri safari za masafa marefu yaliyochukua mwezi mzima ,yeye aliweza kusafiri kwa masaa machache tu.

5- Kutiishwa kwa majini ili wamtumikie na wale wakaidi (mashetani) alipewa mamlaka ya kuwahukumu na kuwaadhibu. Majini walifanya kazi ya kumjengea majumba makubwa, vyombo vikubwa vya kuhifadhia maji, walikuwa wazamiaji waliozama katika vina virefu vya bahari kwenda kumtafutia madini mbalimbali kama vile lulu.


6- Alipewa chemchem ya madini ya Shaba iliyokuwa ikitiririka kama mto...ambapo alitumia kutengenezea vifaa na silaha za kivita katika ufalme wake.

7-Alipewa Jeshi kubwa na lenye nguvu lililojumuisha wanadamu,majini na ndege.
 

Bro. Hujui hata huo uislam wenyewe.

kwasababu hiyo Quran unayoisema imecopy visa ambavyo viko kwa Biblia.
Mitume 19 wa Biblia.
Hakuna muujiza wowote wa Huyo jamaa yenu.

Ni normal tu guy. Ndio maana wajanja hawawez babaika nae.
Ila kama akili zikiwa finyu utamuamini.
 
1.Chimbuko la ulimwengu
2.Upanuzi wa ulimwengu
3.Hatua za mimba ya binaadam
4.Milima kama misumari
5.Kizuizi baina ya bahari mbili
7.Kila kitu kiumbe hai hutokana na maji

Mfano tu wa miujiza ya Qur’an ambayo iliiongelea miaka 1400 nyuma nyie na munaowaita wana sayansi wenu wamekuja kugundua leo

Hivyo vitabu vyenu munavyoona munaviandika kwa ufasaha ila ikipita miaka mbeleni munaibadilisha mueke neno jipya

Ila Qur’an tukea ije haijaongezeka wala kupungua hata sio neno hata herufi😁

Wewe unaweza ukatunga kitabu ila baadae ukaja msemo mpya ukataka ueke kuvutia kizazi cha mida huo

Ila Qur’an yenyewe imejiqinaisha yaani


Ila ndugu yangu chonde chonde usije ukafa kabla hujawa muislam aseeee

Na usije ukafa kabla hujakaa chini ukamsikia mtu alojaaliwa kuijua Qur’an kwa hukmu zake na akajaaliwa sauti utakua umekosa kitu adimu mnoooo

Oya Qur’an 🫡🙌🏿🙌🏿
 
😁😁😁

Sasa kama munaojiita wajanja hamubabaiki nae munakua munapingana nae kwa nini sasa na hawababaishi

Mungemuacha tu kwakua kakopi na kupaste tu story za watu maana yake hana madhara si kakopi vya watu hatishi😁

Ila kutwa kucha ndio kama hivi munazidi kumuundia nyuzi za jf munaamua kumchamba yaaani 🤣🤣🤣

Yaani mbele ya watu hatishi ila mukikaa huko tunajua hamulali mukakoroma😆😆
Sasa wewe unaeujua umeujua kwenye kipengele kipi?

Sasa kama kakopi na kupest si ndio mungemchunia tu kwanza kakopi story za watu maana yake hajui lolote lile

Hatishi ila kutwa kuchwa ndio kama hivi munaanzisha nyuzi munaamua kumchamba🤣🤣🤣

Yaani munaanzisha nyuzi za kumchamba mtu ambae hatishi hii inakaaje

Mbona hamujawahi kuanzisha hata nyuzi mukaanza kumchamba Bwana Utam ila nyie kutwa kuchwa na mtu asie tisha

Poleni sana kwa kwenye comments zako tu inaonesha mwamba anavyotisha

Mpaka munaamua kumchamba yaani hehehe
 
Suleiman alikua muumini wa judaísm, hakuna muislam acha kupotosha
 

Ni kweli hana Madhara.
na wala hatishi.

kuanzisha uzi ni namna ya kuonyesha upotofu wake.
Sio kila uzi unafunguliwa JF ni ili kuonyesha uzuri.

Nyuzi nyingi tu ziko kuonyesha upotofu.

Najua ww ni mdogo. Na hujui hizi dini.
jipe muda ujifunze. Utaelewa zaidi.
 
Lete sababu aliyoitoa yeye Allah kutoka kwenye Quran kwanini hana mwana?
 
😆😆😆
Kwahio pia kakopi vitabu vinavyopotosha ama???
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…