Muhammad El Wahad: What is behind Corona Virus is business and financial gains

China viwanda vingi sana vimefungwa na kufanya hewa iwe Safi at least
Wengi wameanza kupona kwa hali ya hewa nzuri ambayo waliichafua kwa viwanda
Wale waliokuwa wanapiga kelele za tabianchi wanasherehekea kwani hata ndege ziko grounded
Dunia ilichafuka sana acha tu


Sent from my iPhone using Tapatalk
 
Ubaya wa biological weapons Ni rahisi mno kuupandikiza,hsihitaji delivery system Kama ndege,mzinga etc.
Kichupa tu anaenda kukifungulia sehemu Kisha huyooo,,kitendo Cha nukta tano tu,
Coincidence 1---ugonjwa umeanzia Wuhan,wiki mbili baada ya military game,
Coincidence 2--wuhan Ni mji ambao ulikuwa uwe shamba darasa la 5G,
Councidence3--marekani walikuwa opposed na 5G tech ya mchina kwani kwao ilikuwa tishio.
Coincidence4---US mwanzo walionekana hawana presha na huu ugonjwa na ndo maana hawakujiandaa kea lolote mpaka dakika za mwisho,kwa ufupi waliadhani hautawafikia etc
 
Sasa tunachanganyana wengine wanahisi marekani ndio katengeneza alafu amewatupia wachina

Wewe unasema China wametengeneza wenyewe

Mwaka huu tutasikia mengi sana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ni hatari sana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuna Agenda 21 ya kupunguza watu duniani...hii corona yaweza pelekea nchi zikaacha kutumia pesa za makaratasi na shilling ili kuepuka kusambaza virusi hivyo tukaishia kutumia hela kidigitali...mfano mpesa na kadi za benki..huo ni mpango wa NWO.....


Hii sehemi inanipa kaukweli flani

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hahahahaha
 
Mkuu hii username ni jina lako halisi??
 
Kitu kutotakiwa haimaanishi yakwamba ndio watu hawawezi kitumia mkuu tena visivyotakiwa maranyingi ndio vinaongoza kwakutumiwa japo sio kutumiwa nawengi ila hao wachache wanaokitumia hukitumia kwakiasi kikubwa angalia madawa yakulevya namengineyo mfano wahayo.....


Nb:Sijaunga Mkono Hoja Yakwamba US Katengeneza Hili Gonjwa Japokua Uwezo Wakufanya Hivyo Anao .....

Sent using My COVID-19
 
Wakuu, kati ya story hii na ya mleta uzi tuiamini ipi? Ipi ni nzuri kati hizi version mbili?
Consiparists ni vituko.
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…